Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,892
- 44,265
Halloo mambo ni motošNimeshasema Wewe ni dereva na yeye ni kondakta daladala (Upendo) utaendaje ?
Halloo mambo ni motošNimeshasema Wewe ni dereva na yeye ni kondakta daladala (Upendo) utaendaje ?
10 years? bado ni age mate Red black son suala likienda vyema tuambie sisi kaka zako.Eeh mi millenia ye gen z ni mdogo wangu kwa muongo 1š¤£š¤£
Watu mko radašHajafungua PM bado ?
ššššRed black upo serious kweli ? Maana watu tunapambana hapa halafu kumbe unazingua , sitaki kuja kuanzishiwa uzi wa vichambo hapa. Naheshimika mimi ššš
Duh10 years? bado ni age mate Red black son suala likienda vyema tuambie sisi kaka zako.
Tutasimamia hili jambo.
Christine_1 huu ndo mda sahihi mambo mazuri huwa yanakuja in unexpected ways..
Nipo tayari kuweka Baraka hili jambo.
Huyo alikuwa Hana mapenzi na wewe alikuwa anakutumia sijui kwanini ulishindwa kugunduka mapemaSirudii tena mwanamke anaeendekeza pesa sitaki hata kumsikia. Huyo alikuwa kausha damu haswa tukikutana inakatika kama 100K hivi na hapo bado anataka zaidi. Ogopa sana mwanamke unampa hela lakini bado anashindwa hata kununua maji ya tsh 500/=
Usisahau kunitag mkuu kwenye huo uzi wako nami Nina visangaNitatulia niuandae niulete.
Ulishindaje?
Ni kwasababu more selectiveDunia ina maajabu sana, Ke waelewa aina yako huwa mnaangukia kwa matapeli.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Mwanamke mzuri ni yule anaetoa Tigo.UNAPODATE MWANAMKE AMBAYE NI ASSET KWENYE MAISHA YAKO ,
Utakuwa unapata message za aina hizi. šš
(1) Habari za asubuhi mpenzi. Nafurahi ulilala salama. Ukoje leo? Amka ujiandae kwenda kazini. Usisahau kutuma maombi ya ile kazi niliyokwambia jana, na hakikisha unajisitiri vizuri na hali ya hewa .
(2) Mpenzi, nimekumiss sana. Natumaini siku yako itakuwa nzuri. Mimi naelekea kwenye kikao. Tutaongea baadaye, jitunze. Nakupenda.
(3) Ndio mpenzi, nipo dukani nanunua mahitaji ya nyumbani. Wakati mwingine nitakuja na wewe.
(4) Usijiwekee presha mpenzi wangu. Najua utafikia malengo yako. Una msaada wangu wote.
(5) Usisahau kusali kabla hujatoka nyumbani. Kumbuka nguvu zetu ziko kwa Mungu. Nipigie ukiwa tayari kwa maombi ili tuweze kusali pamoja mtandaoni kama utahitaji.
(6) Habari mpenzi, umesharudi kutoka kazini? Siku yako imekuwaje? Natumaini haikuwa ya kuchosha sana. Sasa kunywa kahawa kidogo halafu kaoge upumzike.
(7) Habari za jioni mpenzi. Nilitaka tu kujua una mipango gani kwa ajili ya wikendi yetu.
UNAPODATE MWANAMKE AMBAYE NI MZIGO KWENYE MAISHA YAKO (LIABILITY). šš
(1) Baby itumie elfu kumi haraka.
(2) Habari mpenzi, nakuja kwako tule pizza mchana. Halafu kuna mtu anauza mafuta mazuri, naweza kuchukua moja tafadhali? Nakupenda sana.
(3) Hey handsome, ninunulie data. Pia jirani yangu anauza skinny jeans, viatu vizuri vya Marekani na nywele za Brazilian. Utanijulisha ukiwa tayari kuninunulia hivyo. Nakupenda sana.
(4) Sina nguo ya kuvaa, na marafiki zangu wana birthday wikendi hii Life Power. Ijumaa lazima tuhudhurie zote.
(5) Baby, sijisikii kuongea, tuchat tu.
(6) Mtoto wa Dada angu amemeza sh 50. Nitumie 100k haraka, nikamcheki hospitali.
Mwanaume mwenye busara atachagua kumuoa mwanamke ambaye ni asset kwenye maisha yake, sio Liability.
BINTI
Kama unajiuliza kwa nini wanaume wanakuacha, jiangalie kwanza. Huenda baadhi ya tabia zako zikawa zinachangia changamoto unazokutana nazo katika mahusiano.
019 ina maana gani?We mgeni au sio
019 ni mgeniš¤£š¤£š¤£
šššalipoingia019 ina maana gani?
Wapo sema wanaponzwa na wengine kiasi ambacho inaonekana hakunaIla wanaume wasiochepuka wapo?
Code zipo nyingi au ni vile naachwa na Duniašššalipoingia
Wewe jeWapo sema wanaponzwa na wengine kiasi ambacho inaonekana hakuna
Wewe unasema mke sisi tunazungumzia mpenziBasi itakuwa mimi nina tatizo somewhere kichwani kwangu, kwasababu napenda na nafurahi kumpe mke wangu pesa hata kama sio nyingi, ila kuna furaha flani napata na huwa haniombi ombi