Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

Mkuu kuna pisi niliibwaga mwezivwa 6 aisee ile pisi ni zaidi ya kausha damu. Sikuwa naizingatia sana kwa sababu ni mpango wa kando ila ni zaidi ya jini. Haridhiki, hatosheki ukimpa 50K anataka laki ukimpa laki hakosi sababu ya kutaka zaidi. Na aibu hana kuna siku nilimwambia unatoka kumpa 50K ya kutumia alafu baada ya dakika chache anakuomba ya vocha. Nilivyompotezea alikuwa anapiga simu kama kaibiwa na kuomba misamaha daily.
Ke chuma ulete aina hii ndiyo wengi 999% kwa 1% kwa zama hizi.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Tegemezi wengi tu na wana mapenzi
Cha msingi mi hela sikuombi nitakufa na shida zangu usipotaka kunipa basi ...
Hahaa
Yani wewe ni kama huyu haombi kuna siku nilimuuliza mbona huniombi hela. Akajibu sasa niombe yanini na unanipa siku usiponipa natumia akiba ya ulizowahi kunipa. Tunaishi maisha ya kawaida na she is very happy. Sio wengine kila siku wanataka kula kuku
 
Back
Top Bottom