Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 20,889
- 52,762
- Thread starter
- #321
Nakazia hata Bible imeamdika mwenye hofu hakukamilishwa na upendo lakini Red black kaonyesha upendo hadharaniPoaaa
Karibu sn millenia hatuna mambo mengi 🤣
Nakazia hata Bible imeamdika mwenye hofu hakukamilishwa na upendo lakini Red black kaonyesha upendo hadharaniPoaaa
Karibu sn millenia hatuna mambo mengi 🤣
nafurahi sana kukupata mpenziPoaaa
Karibu sn millenia hatuna mambo mengi 🤣
Eeh kweli leo manyaza hutaki utaniNakazia hata Bible imeamdika mwenye hofu hakukamilishwa na upendo lakini Red black kaonyesha upendo hadharani
1 John 4:18
18 There is no fear in love. But perfect love drives out fear, because fear has to do with punishment. The one who fears is not made perfect in love.
Ni jambo kubwa nalichukulia kwa uzito mkubwa na nililokuwa nalisubiri for many years hatimae leo limetimia na kuwa kweliHakika kaka maana hili si jambo dogo
Mkuu wala usiangalie umri raisi wa Ufaransa Macron mke wake ana watoto wakubwa kuliko hata yeye na ndoa ipo stable kabisanafurahi sana kukupata mpenzi
nshakwambia age means nothing it's just a number cha muhimu ni true love na heshima tu kama hii ninayoenda kukuogesha mamii
Hapa sitii nenoNakazia hata Bible imeamdika mwenye hofu hakukamilishwa na upendo lakini Red black kaonyesha upendo hadharani
1 John 4:18
18 There is no fear in love. But perfect love drives out fear, because fear has to do with punishment. The one who fears is not made perfect in love.
Ndio maana nimemwambia kipengele cha umri akiweke kando.Mkuu wala usiangalie umri raisi wa Ufaransa Macron mke wake ana watoto wakubwa kuliko hata yeye na ndoa ipo stable kabisa
Kama ana 36yrs basi mi ntafanya hivi 36÷2 = 18 sasa 18yrs si Bado kigori kabisa as long as ntampenda,kumjali, kuheshimu...nkHuyo atakuwa kwenye 36 au 37 bado mbichi kabisa
Uwiii age isizidi 6 yrs noma tena itategemea na mwiliMkuu wala usiangalie umri raisi wa Ufaransa Macron mke wake ana watoto wakubwa kuliko hata yeye na ndoa ipo stable kabisa
Mama weeeHuyo atakuwa kwenye 36 au 37 bado mbichi kabisa
Uwoya na Dogo Janja takataka zile , maisha feki hawana ishu. Sasa kama hao Mastaa wa kike wana watu wao wamewapa namba za simu ukimtaka huyo dalali unampa 20,000 anampigia unayemtaka unakubaliana naye dau unaenda kumalizana nayeUwiii age isizidi 6 yrs noma tena itategemea na mwili
Mambo ya uwoya na na dogo janja
No nilimaanisha kwenye ageUwoya na Dogo Janja takataka zile , maisha feki hawana ishu. Sasa kama hao Mastaa wa kike wana watu wao wamewapa namba za simu ukimtaka huyo dalali unampa 20,000 anampigia unayemtaka unakubaliana naye dau unaenda kumalizana naye
Briggite Macron (Wife) miaka 73Uwiii age isizidi 6 yrs noma tena itategemea na mwili
Mambo ya uwoya na na dogo janja
😷😷😷😷Nimekosea ???
Christine_1 nikisema age means nothing it's just a number naomba unielewe mpenzi.♥️Briggite Macron (Wife) miaka 73
Emanuel Macron miaka 48
Watoto wa Briggite
Sébastien Auzière (born 1975)
Laurence Auzière (born 1977)
Tiphaine Auzière (born 1984)