Sina tabia ya kuchepukaWewe je
Sina tabia ya kuchepukaWewe je
Hiyo ndio imekaa poa we imagine mtu unaombwa mpaka hela ya lambi lambi ungekuwa ni mwanaume ungejua visanga tunavyokutana navyo ni vile tu hatuongei kama wanawake ndio maana tunaonekana ni wabayaMwanaume yoyote ana mwanamke wake anaempa pesa tena bila hata kuombwa
Ndiyo maana mimi siwezi kumuomba mwanaume pesa unless nimetingwa kupita kawaida yaan nimezidiwa sana

Red flag zinaonekana ni vile wanaume dhaifu wanazipuuzia na kukubali kuongozwa na hisia badala ya akili. Wanawake ni wepesi sana kuonesha hisia zao kama anakupenda na kama hakupendi na pia na mapenzi yake yakiwa yameisha kwako.Ukimpata wa kukuchezea ndio shida inaanzia hapo na kumjua ni ngumu
Dah! Nimecheka ile mbayaEti mtoto wa dada kameza sh 50 tuma laki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hela ya lambi lambi uwiiii🤣🤣Hiyo ndio imekaa poa we imagine mtu unaombwa mpaka hela ya lambi lambi ungekuwa ni mwanaume ungejua visanga tunavyokutana navyo ni vile tu hatuongei kama wanawake ndio maana tunaonekana ni wabaya
Super sub kwenye ubora wakoAmekua mdogo ako tena.! Unataka kumnyima nini?
Sio tu lambi lambi mpaka hela ya sikukuuHela ya lambi lambi uwiiii🤣🤣
Mpe tu mkuu hakuna ubaya 😊Sio tu lambi lambi mpaka hela ya sikukuu
Insha'AllahHakika na atuepushie watu wasiotustahili
Imagine 🤣🤣🤣🤣Dah! Nimecheka ile mbaya
Tatizo linaanzia hapo kwenye kutumia hisia. Kuna mwanamke tangu siku ya kwanza kabisa unaona redflag ila unakomaa upigeRed flag zinaonekana ni vile wanaume dhaifu wanazipuuzia na kukubali kuongozwa na hisia badala ya akili. Wanawake ni wepesi sana kuonesha hisia zao kama anakupenda na kama hakupendi na pia na mapenzi yake yakiwa yameisha kwako.
Kidumu baba kidumu 🙌🏾Tatizo linaanzia hapo kwenye kutumia hisia. Kuna mwanamke tangu siku ya kwanza kabisa unaona redflag ila unakomaa upige
Poa mkuu nitauleta kwa mtiririko maalamUsisahau kunitag mkuu kwenye huo uzi wako nami Nina visanga
Nilijua mapema ila nikawa najaribu kumuelimisha nilivyoona ana ujinga mwingi nikala konaHuyo alikuwa Hana mapenzi na wewe alikuwa anakutumia sijui kwanini ulishindwa kugunduka mapema
🤣Kidumu baba kidumu 🙌🏾
Christine_1 ni wapi ungepata mtu anaejua kumshukuru Mungu kwa ajili yako kwa kiasi hiki. Hii ni zaidi ya mibaraka kwako. Wengine wanataka hata anaepumua tu ila wewe umepewa mwenye mibaraka tele.Ni jambo kubwa nalichukulia kwa uzito mkubwa na nililokuwa nalisubiri for many years hatimae leo limetimia na kuwa kweli
Christine_1Christine_1 ni wapi ungepata mtu anaejua kumshukuru Mungu kwa ajili yako kwa kiasi hiki. Hii ni zaidi ya mibaraka kwako. Wengine wanataka hata anaepumua tu ila wewe umepewa mwenye mibaraka tele.