Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

Dawa ya yote haya ni kuoa mke mmoja na kutengeneza nae familia.

Cha msingi ukae nae na katiba yenu ijulikane na ibara zake zote. Priorities zote ziwe ni nyinyi tu, si nani wala nani, nyie kwanza. Hata kama mmoja ndo mleta pesa, mwingine ajue majukumu yake.

Mwanaume epuka michepuko, hao mpango wa kando wanamaliza sana pesa na focus. Usiwe na mpenzi mwingine ila mke wako. Na mke afanye vivyo hivyo. Usipende kula gengeni, kula alichopika mkeo. Ikipidi akuandalie chakula hata kama ni chai ubebe uende nayo job. Kula home made.

Tunza mkeo na watoto wako, wakipata furaha hata nawe utakuwa na furaha. Akipotoka mjenge kisaikolojia na ongea nae mara kwa mara kumjenga. Kama ni mwelewa utadumu nae. Kama si wa kukaa, basi hata ufanyaje ataondoka tu.

A woman is either wifeable or fu**kable. Ukipenda namba 2 itakula kwako.
Sio kwa hawa watu weusi
Wachache sn wanaweza kuwa na mtu 1
 
Back
Top Bottom