AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 1,807
- 4,590
Mwanaume hakikisha umeanza kuichapa tena ikiwezeka masaa kadhaa baada ya kufahamiana nje na hapo atakuwa ww kukupiga mzinga (SASAIVI NI MWENDO WA KUWAIANA ila mwanaume ndio muadhilika zaid)
Ooh kumbe ni wewe my wangu🤧 nimefurahi nina muda sijawa humu sana.Ooh karibu
Nimerudisha username yangu ya zamani ....ya muda tayana...
😄
Muwe na vyanzo vya kipato, dunia ya sasa kuomba au kutegemea kupewa ni kujidhalilisha. Mtu akupe kama bonus ila isiwe hata vocha ya 5k tu mtu unahaha.Kiukweli jmn kuomba hela ni kazi asikwambue mtu!nje ya mzazi, kaka, dada ni kipengele...
Napenda mtu yeye aelewe mi ni mwanamke nina matumizi yale ya kawaida tu, anipe yeye mwenyewe sio mpk nimuombe jmn!
Kwanza nikipewa bila kuomba nafurahi najua kuna mtu ananifikiria.
Yaani niombe pale ambapo ss sina namna nimekwama kabisa..
dah,Huyo alitaka 600K
Akashuka hadi 200K
Then 50K nikaona huyu kuna namna ananiona ngoja nimpotezee
Huo uzi utakua mzuri sana.Sijaoa mkuu nae nilikuwa nimemuweka kwenye wish list ila baadae nikaona hanifai kabisa.
Kuna siku ntaleta uzi wa wish list yangu muone visa na visanga kwa sasa nimeshaselect 1 naeona ni sahihi nimetulia
Bando sio kitu ya kunishinda mkuu. Tatizo muda mkuu mambo mengi ila nitaileta ina matukio ya kutisha sana humo ndani na cast list ni kubwa ingia toka ni nyingi.Leta leo jioni buda kama ni bando ntakutumia mimi
Najua buda bando halikushindi.Bando sio kitu ya kunishinda mkuu.
Leta ili tujifunze zaidi andika ata usiku wa manane,Tatizo muda mkuu mambo mengi ila nitaileta ina matukio ya kutisha sana humo ndani na cast list ni kubwa ingia toka ni nyingi.
Karibu pm 🤣🤣🤣No for real njoo pm tujenge kipenz
Yule alikuwa anajua napata hela ila hajawahi kujua ni kwa kiasi gani. Nilivyombwaga alituma hadi marafiki zake kuokoa jahazi lakini wapi. Sina bahati ya kukutana na wapiga vizinga ila huyu ni moto wa kuotea mbali ila ni pisi kweli ni kazuri kila idara shida ni akili tu hamna anawaza kuvaa kupendezadah,
wanawake wengine ni vichomi sana just imagine demu kama huyo umshikirike plan za kiuchumi
NdioOoh kumbe ni wewe my wangu🤧 nimefurahi nina muda sijawa humu sana.
Bora mtu ufanye kazi uwe na hela zako ukipewa iwe ziada.Wanatoa ndio
Ila wengine mpk uombe
Na wapo ambao wala huombi
Nitatulia niuandae niulete.Huo uzi utakua mzuri sana.
Nishawahi kua kwenye mahusiano mimi kama side chick ila nikashinda kombe.
Jambo la heri kumbe upendagi pesa?Ndio
Tunashukuru kwa uzima
Allah anifanyie wepesi kwenye hili😁Karibu pm 🤣🤣🤣
Hahaha nimechekaBora mtu ufanye kazi uwe na hela zako ukipewa iwe ziada.
Kushindwa kupata usingizi kwa kusubiri muamala uingie ni mateso kuliko kuamka alfajiri kwenda kuuza vitumbua.
Umetulia kwa mda, ukishaoa gari itaingia tena barabarani, sema sio sheria!Sijaoa mkuu nae nilikuwa nimemuweka kwenye wish list ila baadae nikaona hanifai kabisa.
Kuna siku ntaleta uzi wa wish list yangu muone visa na visanga kwa sasa nimeshaselect 1 naeona ni sahihi nimetulia
Usiku wa manane wenyewe nipo busy mkuu hizi hela zitatumalizaNajua buda bando halikushindi.
Leta ili tujifunze zaidi andika ata usiku wa manane,
🤣🤣We connection hutaki kunipa za watu wazito unataka niwe naomba pesa halafu uje kunianzishia uzi?Miujiza sio mpaka kwa Mwamposa 🤣