Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

Mgunduzi upo sahihi sana. Ukiwa real utapata vingi kama sio vyote. Mwanaume haoni shida kwenye hilo hasa akiwa anakuelewa
Halafu wanawake hawajui tu
Yaani ukitaka mwanaume awe anakununulia vitu, anza wewe kumnunulia Kwa hela yako hiyohiyo hata kama ni kidogo.
Utaona atakavyokushangaza.

Njia Moja wapo ya kumfundisha mtu kutoa, ni wewe kuonyesha mfano wa kutoa.

Halafu sasa hela Zenyewe tunazowanunulia zawadi, ndio hizohizo ambazo baadaye mnatupa.

..
Hii inafanya kazi kwa real men
Siyo wale Marioo
 
Btw, kwann usubiri mpk mwanamke wako akuombe pesa ?

Sio sawa, fanya kwa sehem yako kwa uwezo wako hiohuo ulionao...
Ni nzuri kuliko mpk usubiri uombwe sio poa wakaka
Wanawake wa Sasa wanaomba sana badala ya kuwa mpenzi unageuka kuwa kama Baba yake mzazi hiyo ndio shida iliyopo huo muda wakujiongeza unautoa wapi wakati hapo kakuminya kwa kila angle ataomba hela ya kuudhuria kwenye happy birthday ya rafiki yake, ikiisha gas wewe, vocha wewe,Kodi wewe, wigi wewe, hela ya sikukuu wewe, Happy birthday party yake wewe, outing wewe, ugonjwa wa familia yake wewe n.k achagui wapi pakuomba na wapi si pakuomba yaani ni hela heka acha tu
 
Halafu wanawake hawajui tu
Yaani ukitaka mwanaume awe anakununulia vitu, anza wewe kumnunulia Kwa hela yako hiyohiyo hata kama ni kidogo.
Utaona atakavyokushangaza.

Njia Moja wapo ya kumfundisha mtu kutoa, ni wewe kuonyesha mfano wa kutoa.

Halafu sasa hela Zenyewe tunazowanunulia zawadi, ndio hizohizo ambazo baadaye mnatupa.

..
Hii inafanya kazi kwa real men
Siyo wale Marioo
Hakuna kanuni maalum.
 
Ulimuacha huyo mchepuko?
huyo nilikuwa nishamuacha ila whatsapp ilifanya back up automatically ikarestore kila kitu na kwa bahati mbaya alishika simu kufungua alikuta convo ya muda sana nikaona isiwe kesi nika uniinstall chap baada ya kujua ni backup maana ile ni convo moja tu kaona ila zilikuwa nyingine. Nashukuru tu alivyoiona ile alipaniki na kuanza kulia hakuendelea na convo nyingine maana ingekuwa mbaya. Kwahiyo nilikomaa na kisingizio ni back up na hizo convo zilikuwa ni za kabla hata hatujawa wapenzi maana tulianzia urafiki. Akanielewa japo ndio hivyo namba kaja kuzifuta sijui lini.
 
Wanawake wa Sasa wanaomba sana badala ya kuwa mpenzi unageuka kuwa kama Baba yake mzazi hiyo ndio shida iliyopo huo muda wakujiongeza unautoa wapi wakati hapo kakuminya kwa kila angle ataomba hela ya kuudhuria kwenye happy birthday ya rafiki yake, ikiisha gas wewe, vocha wewe,Kodi wewe, wigi wewe, hela ya sikukuu wewe, Happy birthday party yake wewe, outing wewe, ugonjwa wa familia yake wewe n.k achagui wapi pakuomba na wapi si pakuomba yaani ni hela heka acha tu
🤣🤣🤣
 
Halafu wanawake hawajui tu
Yaani ukitaka mwanaume awe anakununulia vitu, anza wewe kumnunulia Kwa hela yako hiyohiyo hata kama ni kidogo.
Utaona atakavyokushangaza.

Njia Moja wapo ya kumfundisha mtu kutoa, ni wewe kuonyesha mfano wa kutoa.

Halafu sasa hela Zenyewe tunazowanunulia zawadi, ndio hizohizo ambazo baadaye mnatupa.

..
Hii inafanya kazi kwa real men
Siyo wale Marioo
Wanasemaga ukiona ke kakununulia kitu ujue kwako anapata mara 2 yake.
Mkipendana kila kitu mtafanyiana kwa upendo.
 
Back
Top Bottom