Sasa wee unapesa zaoo mwanaume wa nini tena akutunze....Khaaa
Ht nikiwa na hiyo pesa siwezi tumia mwanaume km chombo cha starehe
Ila mwanamke kutunzwa kuko palepale ht km anazo pesa
Naanza kuamini wanawake hawapendi sex wanapenda kula hela za mwanaume tuu