Uchaguzi 2020 Mwanamke ajitokeza kuwania Urais kupitia CHADEMA. Ni Msomi, Mwanamke wa Shoka, Ana uwezo na Jembe Kweli, ila...

Hivi ndani ya chadema kigezo chakumpa mtu ubunge wa viti maalum au cheo chochote ni kua na elimu tu au ni pamoja na mchango wako ulioutoa kwenye chama?
Hizo ni sifa za msingi, ila kuna sifa nyingine ya UAMUZI Pascal ameinyaka kwa mbali ila hataki kutuwekea wazi. Tutajitahidi mpaka hiyo sifa iwekwe wazi ili wanachama wengi wa KE wajitokeza kwenye mchakato.
 
Wanabodi,

Baada ya kutulia kwa tishio ugonjwa wa Corona, sasa watu hawana uoga tena, hivyo sasa Vuguvugu la kugombea urais wa JMT uchaguzi Mkuu wa October, limeanza kupanda joto, kwa moto wa urais kuwashwa na mwanadada, msomi wa Ph.D, Dr. Mayrose Majinge, amekuwa ndie mwanamke wa kwanza kujitokeza kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa kugombea nafasi ya urais wa JMT kwa tiketi ya kupitia Chadema.

View attachment 1459773View attachment 1459775View attachment 1459776

Mimi nimetokea kumfahamu mwanamke huyu, kwanza ni msomi, pili ni mwanamke wa shoka, na anauwezo, yaani kama ni jembe, huyu mdada ni jembe kweli, na ni mwanaharakati wa ukweli ila kuna swali moja tuu najiuliza kumhusu huyu dada

Kama Chadema ina watu wazuri kama hawa tena wana CV nzito kama hii, walikuwa wapi siku zote hizi hadi mtu kama huyu asiteuliwe ubunge viti maalum Chadema, na badala yake Chadema ikatujazia baadhi ya yale makorokocho kule Bungeni?!.

Jibu langu ni moja tuu, kuna uwezekano ni kweli ubunge wa viti maalum Chadema unapatikana kwa namna fulani, ambayo kwa jinsi ninavyomfahamu huyu dada alivyo ni mtu wa msimamo, ni mcha Mungu, hivyo hizo namna za kumpatia ubunge wa viti maalum Chadema zilimshinda akaamua kutulia, sasa kama ubunge tuu wa viti maalum alishindwa kupewa Chadema, kutokana na misimamo ya kukataa mambo fulani, jee sasa kwenye urais ndio atapitishwa?!

Kwa vile mimi namfahamu vizuri huyu dada na niliwahi kumzungumza humu,

Uenyekiti wa UWT: Ni Vita Kati ya Ukweli na Ubatili! - JamiiForums
Huko nilichangia hivi

Haya niliyasema tarehe 3 Agust, 2012, leo nimeiona hii picha

Kiukweli Chadema imevuna Jembe!. Hata BAWACHA itafufuka na itasimama na kuipuku UWT!.
Hongera Mayrose kwa kuukubali ukweli. Nakukumbusha mane yangu haya

Hivyo naamini, mimi ni miongoni mwa waliomshawishi huyu dada kujiunga Chadema ya enzi ile, na kama amedumu Chadema muda wote huu, bila any recognition ya aina yoyote, then ile Chadema niliyomshauri kujiunga ni Chadema ile, ila kwa Chadema hii...
View attachment 1459777
Kwa wale mtakaopata nafasi, tumsikilize hapa asubuhi hii.

Ushauri wangu kwake ni saa hizi hajachelewa, ajirudie tuu nyumbani kumenoga, Chadema is a sinking ship, asipoamua mapema, ana zama nayo.

All the best Dada Dr. Mayrose Majinge.

Mimi ni Kaka yako Mkubwa
Paskali.
Ivi uyu mama kumbe yupo serious?
IMG_20200525_174546.jpeg
 
Ndugu Pascal, ni jambo la kufarahisha sana, kupna dada zetu wanajitutumua, wanao uwezo, Akili, Busara na Subra ya kiongoza nchi, tena vizuri sana kuliko wanaume, H3bu tuangalie nchi zilizo ongozwa na wanawake.

INDIA,UK,SRILANKA,ISRAEL,GERMANY,LIBERIA, BANGALADESH, NEWZEALAND N.K..., and All these women wameongoza vizuri sana, nadhani ni wakati muhimu sana kuwapa Dada zetu fursa ya kiuongozi.

Swali langu Ndugu PASCAL , iwapo atanyimwa nafasi hata ya kugombea ndani ya chama huko CDM, nataka uu visualize hayo matusi atakavyotukanwa na viongozi, washabiki wa chadema, na huyo CHOKORA ANAYEITWA KIGOGO, Ambaye ni majeshi ya kukodishwa.

Na pia akiamua kurudi ccm , watampakia matusi na kusingizia umalaya asiokuwa nao.

Ninampa pole zangu in Advance, knowing what may happen, i sincerely hope chadema has matured.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
suala ni kujiuliza,kwanini hakupata hata ubunge wa viti maalumu mtu potential kama huyu
 
Wanabodi,

Baada ya kutulia kwa tishio ugonjwa wa Corona, sasa watu hawana uoga tena, hivyo sasa Vuguvugu la kugombea urais wa JMT uchaguzi Mkuu wa October, limeanza kupanda joto, kwa moto wa urais kuwashwa na mwanadada, msomi wa Ph.D, Dr. Mayrose Majinge, amekuwa ndie mwanamke wa kwanza kujitokeza kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa kugombea nafasi ya urais wa JMT kwa tiketi ya kupitia Chadema.

View attachment 1459773View attachment 1459775View attachment 1459776

Mimi nimetokea kumfahamu mwanamke huyu, kwanza ni msomi, pili ni mwanamke wa shoka, na anauwezo, yaani kama ni jembe, huyu mdada ni jembe kweli, na ni mwanaharakati wa ukweli ila kuna swali moja tuu najiuliza kumhusu huyu dada

Kama Chadema ina watu wazuri kama hawa tena wana CV nzito kama hii, walikuwa wapi siku zote hizi hadi mtu kama huyu asiteuliwe ubunge viti maalum Chadema, na badala yake Chadema ikatujazia baadhi ya yale makorokocho kule Bungeni?!.

Jibu langu ni moja tuu, kuna uwezekano ni kweli ubunge wa viti maalum Chadema unapatikana kwa namna fulani, ambayo kwa jinsi ninavyomfahamu huyu dada alivyo ni mtu wa msimamo, ni mcha Mungu, hivyo hizo namna za kumpatia ubunge wa viti maalum Chadema zilimshinda akaamua kutulia, sasa kama ubunge tuu wa viti maalum alishindwa kupewa Chadema, kutokana na misimamo ya kukataa mambo fulani, jee sasa kwenye urais ndio atapitishwa?!

Kwa vile mimi namfahamu vizuri huyu dada na niliwahi kumzungumza humu,

Uenyekiti wa UWT: Ni Vita Kati ya Ukweli na Ubatili! - JamiiForums
Huko nilichangia hivi

Haya niliyasema tarehe 3 Agust, 2012, leo nimeiona hii picha

Kiukweli Chadema imevuna Jembe!. Hata BAWACHA itafufuka na itasimama na kuipuku UWT!.
Hongera Mayrose kwa kuukubali ukweli. Nakukumbusha mane yangu haya

Hivyo naamini, mimi ni miongoni mwa waliomshawishi huyu dada kujiunga Chadema ya enzi ile, na kama amedumu Chadema muda wote huu, bila any recognition ya aina yoyote, then ile Chadema niliyomshauri kujiunga ni Chadema ile, ila kwa Chadema hii...
View attachment 1459777
Kwa wale mtakaopata nafasi, tumsikilize hapa asubuhi hii.

Ushauri wangu kwake ni saa hizi hajachelewa, ajirudie tuu nyumbani kumenoga, Chadema is a sinking ship, asipoamua mapema, ana zama nayo.

All the best Dada Dr. Mayrose Majinge.

Mimi ni Kaka yako Mkubwa
Paskali.
hivi kule ccm mlimfanyeje Membe alipoonyesha nia kwa kiti cha jiwe
 
Aisee mkuu Mayala kuna siku unakua upande wa CDM unawatwanga lumumba Kuna siku unaenda lumumba unatupiga CDM yaani shagharabaghala tu yaan hueleweki like sigara ya nyota
 
Wanabodi,

Baada ya kutulia kwa tishio ugonjwa wa Corona, sasa watu hawana uoga tena, hivyo sasa Vuguvugu la kugombea urais wa JMT uchaguzi Mkuu wa October, limeanza kupanda joto, kwa moto wa urais kuwashwa na mwanadada, msomi wa Ph.D, Dr. Mayrose Majinge, amekuwa ndie mwanamke wa kwanza kujitokeza kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa kugombea nafasi ya urais wa JMT kwa tiketi ya kupitia Chadema.

View attachment 1459773View attachment 1459775View attachment 1459776

Mimi nimetokea kumfahamu mwanamke huyu, kwanza ni msomi, pili ni mwanamke wa shoka, na anauwezo, yaani kama ni jembe, huyu mdada ni jembe kweli, na ni mwanaharakati wa ukweli ila kuna swali moja tuu najiuliza kumhusu huyu dada

Kama Chadema ina watu wazuri kama hawa tena wana CV nzito kama hii, walikuwa wapi siku zote hizi hadi mtu kama huyu asiteuliwe ubunge viti maalum Chadema, na badala yake Chadema ikatujazia baadhi ya yale makorokocho kule Bungeni?!.

Jibu langu ni moja tuu, kuna uwezekano ni kweli ubunge wa viti maalum Chadema unapatikana kwa namna fulani, ambayo kwa jinsi ninavyomfahamu huyu dada alivyo ni mtu wa msimamo, ni mcha Mungu, hivyo hizo namna za kumpatia ubunge wa viti maalum Chadema zilimshinda akaamua kutulia, sasa kama ubunge tuu wa viti maalum alishindwa kupewa Chadema, kutokana na misimamo ya kukataa mambo fulani, jee sasa kwenye urais ndio atapitishwa?!

Kwa vile mimi namfahamu vizuri huyu dada na niliwahi kumzungumza humu,

Uenyekiti wa UWT: Ni Vita Kati ya Ukweli na Ubatili! - JamiiForums
Huko nilichangia hivi

Haya niliyasema tarehe 3 Agust, 2012, leo nimeiona hii picha

Kiukweli Chadema imevuna Jembe!. Hata BAWACHA itafufuka na itasimama na kuipuku UWT!.
Hongera Mayrose kwa kuukubali ukweli. Nakukumbusha mane yangu haya

Hivyo naamini, mimi ni miongoni mwa waliomshawishi huyu dada kujiunga Chadema ya enzi ile, na kama amedumu Chadema muda wote huu, bila any recognition ya aina yoyote, then ile Chadema niliyomshauri kujiunga ni Chadema ile, ila kwa Chadema hii...
View attachment 1459777
Kwa wale mtakaopata nafasi, tumsikilize hapa asubuhi hii.

Ushauri wangu kwake ni saa hizi hajachelewa, ajirudie tuu nyumbani kumenoga, Chadema is a sinking ship, asipoamua mapema, ana zama nayo.

All the best Dada Dr. Mayrose Majinge.

Mimi ni Kaka yako Mkubwa
Paskali.
Paschal lipo jambo hutaki kulinena, tatizo sio kulegeza na kulegea hata unapolegea lazima wakulungwa waangalie yaliyomo yamoo we mtu mzima tutakua tumeelewana
 
Kwa mara nyingine tena 2020 tunaweza shuhudia ccm ikisimamisha mgombea kwa chadema
Salam wanabodi,

Naona joto la propaganda na uratibu wa visa vya kuandaa "watu fulani" wajitokeze kwenye mambo fulani umeanza kwa kasi!!!

Uzi huu hapa chini umenisukuma kutaka kumjua zaidi mmama huyu aliejitokeza mapema kabisaa kuliko vyama vyote vya upinzani!!

Mwanamke Ajitokeza Kuwania Urais Kupitia Chadema, Ni Msomi, Mwanamke wa Shoka, Anauwezo na Jembe Kweli, ila... - JamiiForums

Najua ni haki yake kikatiba,je kwenye siasa,jamii na kimataifa amefanya nini?!! Wote walau tuanze na picha ambatanishi!!!

Salam kwa mwana mama wa 2015 kwenye uraisi,Anna Mghwira!!
 
pascal kwahiyo unatushauri nn au unaturaumu...maana ndan ya chadema kila mtu ni sawa mbele ya katiba ya chama kwahiyo hatuangalii kigezo cha elimu bali ni mwanachama na anakila sifa
 
Wanabodi,

Baada ya kutulia kwa tishio ugonjwa wa Corona, sasa watu hawana uoga tena, hivyo sasa Vuguvugu la kugombea urais wa JMT uchaguzi Mkuu wa October, limeanza kupanda joto, kwa moto wa urais kuwashwa na mwanadada, msomi wa Ph.D, Dr. Mayrose Majinge, amekuwa ndie mwanamke wa kwanza kujitokeza kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa kugombea nafasi ya urais wa JMT kwa tiketi ya kupitia Chadema.

View attachment 1459773View attachment 1459775View attachment 1459776

Mimi nimetokea kumfahamu mwanamke huyu, kwanza ni msomi, pili ni mwanamke wa shoka, na anauwezo, yaani kama ni jembe, huyu mdada ni jembe kweli, na ni mwanaharakati wa ukweli ila kuna swali moja tuu najiuliza kumhusu huyu dada

Kama Chadema ina watu wazuri kama hawa tena wana CV nzito kama hii, walikuwa wapi siku zote hizi hadi mtu kama huyu asiteuliwe ubunge viti maalum Chadema, na badala yake Chadema ikatujazia baadhi ya yale makorokocho kule Bungeni?!.

Jibu langu ni moja tuu, kuna uwezekano ni kweli ubunge wa viti maalum Chadema unapatikana kwa namna fulani, ambayo kwa jinsi ninavyomfahamu huyu dada alivyo ni mtu wa msimamo, ni mcha Mungu, hivyo hizo namna za kumpatia ubunge wa viti maalum Chadema zilimshinda akaamua kutulia, sasa kama ubunge tuu wa viti maalum alishindwa kupewa Chadema, kutokana na misimamo ya kukataa mambo fulani, jee sasa kwenye urais ndio atapitishwa?!

Kwa vile mimi namfahamu vizuri huyu dada na niliwahi kumzungumza humu,

Uenyekiti wa UWT: Ni Vita Kati ya Ukweli na Ubatili! - JamiiForums
Huko nilichangia hivi

Haya niliyasema tarehe 3 Agust, 2012, leo nimeiona hii picha

Kiukweli Chadema imevuna Jembe!. Hata BAWACHA itafufuka na itasimama na kuipuku UWT!.
Hongera Mayrose kwa kuukubali ukweli. Nakukumbusha mane yangu haya

Hivyo naamini, mimi ni miongoni mwa waliomshawishi huyu dada kujiunga Chadema ya enzi ile, na kama amedumu Chadema muda wote huu, bila any recognition ya aina yoyote, then ile Chadema niliyomshauri kujiunga ni Chadema ile, ila kwa Chadema hii...
View attachment 1459777
Kwa wale mtakaopata nafasi, tumsikilize hapa asubuhi hii.

Ushauri wangu kwake ni saa hizi hajachelewa, ajirudie tuu nyumbani kumenoga, Chadema is a sinking ship, asipoamua mapema, ana zama nayo.

All the best Dada Dr. Mayrose Majinge.

Mimi ni Kaka yako Mkubwa
Paskali.

Naona na wewe umeanza kuleta mada kama wanawake wa Mwananyamala, unataka kuaminisha watu kuwa vyeo vinatolewa cdm kwa kutoa ngono, na huyo mwanamke anayegombea urais hawezi kutoa ngono. Tunakuheshimu lakini naona unaanza kuleta mada za kihanithi.
 
Sisi CCM tunaye Shoka haswa, kuna mizizi mingi ya kukata, Jembe haliwezi hiyo kazi. Jembe au panga hatutaki ni laini sana kwa kung'oa visiki na mizizi iliyokomaa kwa ufisadi. Shoka letu ni Mh. JPM dunia nzima sasa inamjua ni Shoka haswa
at first time nlkua nakuona ni mtu smart sana ulkua unani inspire sana

Labda ni mtu smart kweli ila umejitoa ufahamu

Mkulima wa mahindi
 
Back
Top Bottom