Uchaguzi 2020 Mwanamke ajitokeza kuwania Urais kupitia CHADEMA. Ni Msomi, Mwanamke wa Shoka, Ana uwezo na Jembe Kweli, ila...

Wanabodi,

Baada ya kutulia kwa tishio ugonjwa wa Corona, sasa watu hawana uoga tena, hivyo sasa Vuguvugu la kugombea urais wa JMT uchaguzi Mkuu wa October, limeanza kupanda joto, kwa moto wa urais kuwashwa na mwanadada, msomi wa Ph.D, Dr. Mayrose Majinge, amekuwa ndie mwanamke wa kwanza kujitokeza kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa kugombea nafasi ya urais wa JMT kwa tiketi ya kupitia Chadema.

View attachment 1459773View attachment 1459775View attachment 1459776

Mimi nimetokea kumfahamu mwanamke huyu, kwanza ni msomi, pili ni mwanamke wa shoka, na anauwezo, yaani kama ni jembe, huyu mdada ni jembe kweli, na ni mwanaharakati wa ukweli ila kuna swali moja tuu najiuliza kumhusu huyu dada

Kama Chadema ina watu wazuri kama hawa tena wana CV nzito kama hii, walikuwa wapi siku zote hizi hadi mtu kama huyu asiteuliwe ubunge viti maalum Chadema, na badala yake Chadema ikatujazia baadhi ya yale makorokocho kule Bungeni?!.

Jibu langu ni moja tuu, kuna uwezekano ni kweli ubunge wa viti maalum Chadema unapatikana kwa namna fulani, ambayo kwa jinsi ninavyomfahamu huyu dada alivyo ni mtu wa msimamo, ni mcha Mungu, hivyo hizo namna za kumpatia ubunge wa viti maalum Chadema zilimshinda akaamua kutulia, sasa kama ubunge tuu wa viti maalum alishindwa kupewa Chadema, kutokana na misimamo ya kukataa mambo fulani, jee sasa kwenye urais ndio atapitishwa?!

Kwa vile mimi namfahamu vizuri huyu dada na niliwahi kumzungumza humu,

Uenyekiti wa UWT: Ni Vita Kati ya Ukweli na Ubatili! - JamiiForums
Huko nilichangia hivi

Haya niliyasema tarehe 3 Agust, 2012, leo nimeiona hii picha

Kiukweli Chadema imevuna Jembe!. Hata BAWACHA itafufuka na itasimama na kuipuku UWT!.
Hongera Mayrose kwa kuukubali ukweli. Nakukumbusha mane yangu haya

Hivyo naamini, mimi ni miongoni mwa waliomshawishi huyu dada kujiunga Chadema ya enzi ile, na kama amedumu Chadema muda wote huu, bila any recognition ya aina yoyote, then ile Chadema niliyomshauri kujiunga ni Chadema ile, ila kwa Chadema hii...
View attachment 1459777
Kwa wale mtakaopata nafasi, tumsikilize hapa asubuhi hii.

Ushauri wangu kwake ni saa hizi hajachelewa, ajirudie tuu nyumbani kumenoga, Chadema is a sinking ship, asipoamua mapema, ana zama nayo.

All the best Dada Dr. Mayrose Majinge.

Mimi ni Kaka yako Mkubwa
Paskali.
Tunamjua vizuri sana huyo ni agent wa TISS, na hatutamruhusu kutuharibia Chama
 
Project za kitego hizi, huyu mama yuko USA mshikaji wake dk.Slaaa. alikimbiaga baada ya kutofautiana na wenyewe
 
Nimeishagundua PhD means nothing hasa tukija kwa watanzania, nimekaa na watu wengi wenye PhD alafu mkianza kuongelea mambo mbalimbali ya maisha yanayotoka mdomoni mwao unasikia unatamani hata kulia jinsi walivyo na upeo mdogo. Sisemi wote wako hivyo ila goes to show kua PhD ni title tu, what matters ni mtu yeye yukoje, so mtu anayetanguliza PhD mbele namuona ovyo tu.
Angetanguliza mafanikio yake, kafanya nini significant, ana plan zipi ambazo wengine hawana, utendaji wake wa kazi ukoje, that’s more important kuliko cheti chochote kile.

Jiwe mwenyewe ana PhD ya kemia ila angalia baadhi ya mambo anavyokurupuka. PhD zimejaa bungeni totally useless mtu anatamka kitu unajiuliza huyu darasa la saba?
 
Mimi sioni tatizo lolote kwake kutangaza nia....

Kwa sababu utafika ule wakati wa kupepeta mchele na pumba....

Mchele utawekwa kulia na pumba kushoto. Hopefully huyu mama atakuwa upande wa pumba tu...
 
Wanabodi,

Baada ya kutulia kwa tishio ugonjwa wa Corona, sasa watu hawana uoga tena, hivyo sasa Vuguvugu la kugombea urais wa JMT uchaguzi Mkuu wa October, limeanza kupanda joto, kwa moto wa urais kuwashwa na mwanadada, msomi wa Ph.D, Dr. Mayrose Majinge, amekuwa ndie mwanamke wa kwanza kujitokeza kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa kugombea nafasi ya urais wa JMT kwa tiketi ya kupitia Chadema.

View attachment 1459773View attachment 1459775View attachment 1459776

Mimi nimetokea kumfahamu mwanamke huyu, kwanza ni msomi, pili ni mwanamke wa shoka, na anauwezo, yaani kama ni jembe, huyu mdada ni jembe kweli, na ni mwanaharakati wa ukweli ila kuna swali moja tuu najiuliza kumhusu huyu dada

Kama Chadema ina watu wazuri kama hawa tena wana CV nzito kama hii, walikuwa wapi siku zote hizi hadi mtu kama huyu asiteuliwe ubunge viti maalum Chadema, na badala yake Chadema ikatujazia baadhi ya yale makorokocho kule Bungeni?!.

Jibu langu ni moja tuu, kuna uwezekano ni kweli ubunge wa viti maalum Chadema unapatikana kwa namna fulani, ambayo kwa jinsi ninavyomfahamu huyu dada alivyo ni mtu wa msimamo, ni mcha Mungu, hivyo hizo namna za kumpatia ubunge wa viti maalum Chadema zilimshinda akaamua kutulia, sasa kama ubunge tuu wa viti maalum alishindwa kupewa Chadema, kutokana na misimamo ya kukataa mambo fulani, jee sasa kwenye urais ndio atapitishwa?!

Kwa vile mimi namfahamu vizuri huyu dada na niliwahi kumzungumza humu,

Uenyekiti wa UWT: Ni Vita Kati ya Ukweli na Ubatili! - JamiiForums
Huko nilichangia hivi

Haya niliyasema tarehe 3 Agust, 2012, leo nimeiona hii picha

Kiukweli Chadema imevuna Jembe!. Hata BAWACHA itafufuka na itasimama na kuipuku UWT!.
Hongera Mayrose kwa kuukubali ukweli. Nakukumbusha mane yangu haya

Hivyo naamini, mimi ni miongoni mwa waliomshawishi huyu dada kujiunga Chadema ya enzi ile, na kama amedumu Chadema muda wote huu, bila any recognition ya aina yoyote, then ile Chadema niliyomshauri kujiunga ni Chadema ile, ila kwa Chadema hii...
View attachment 1459777
Kwa wale mtakaopata nafasi, tumsikilize hapa asubuhi hii.

Ushauri wangu kwake ni saa hizi hajachelewa, ajirudie tuu nyumbani kumenoga, Chadema is a sinking ship, asipoamua mapema, ana zama nayo.

All the best Dada Dr. Mayrose Majinge.

Mimi ni Kaka yako Mkubwa
Paskali.
Through the heading I knew your conclusion
 
Nimeishagundua PhD means nothing hasa tukija kwa watanzania, nimekaa na watu wengi wenye PhD alafu mkianza kuongelea mambo mbalimbali ya maisha yanayotoka mdomoni mwao unasikia unatamani hata kulia jinsi walivyo na upeo mdogo. Sisemi wote wako hivyo ila goes to show kua PhD ni title tu, what matters ni mtu yeye yukoje, so mtu anayetanguliza PhD mbele namuona ovyo tu.
Angetanguliza mafanikio yake, kafanya nini significant, ana plan zipi ambazo wengine hawana, utendaji wake wa kazi ukoje, that’s more important kuliko cheti chochote kile.

Jiwe mwenyewe ana PhD ya kemia ila angalia baadhi ya mambo anavyokurupuka. PhD zimejaa bungeni totally useless mtu anatamka kitu unajiuliza huyu darasa la saba?

HAKURUPUKI ILA HAYO NDIYO MAAMUZI YAKE KAMA KIONGOZI, NA UNGEKUWA WEWE PIA UNGEKUWA NA MAAMUZI YAKO KAMA UNAVYOAMUA CHOCHOTE KATIKA FAMILIA YAKO..............ILA KIDUKU WA KULE KOREA MNAMWITAA JEMBE JPM HUKU MNAMWITA MJINGA
 
Kama Chadema ina watu wazuri kama hawa tena wana CV nzito kama hii,
Iko wapi?

Unajaza mada mambo ya pembeni unaacha ya msingi ili watu wamjue.

Alishaongoza chochote huko ndani ya CHADEMA?

Ni nini mchango wake ndani ya chama hicho.

Amefanya nini kukiimarisha chama.

Kwa vile umeshangilia sana "usomi", nikuulize - unalo chapisho lolote lenye jina lake nasi tujue "usomi" wake, au ni porojo tu ambazo sasa zitakuwa zikiambatana na jina lako humu JF!

Imekuwa kawaida sasa. No seriousness on anything!
 
HAKURUPUKI ILA HAYO NDIYO MAAMUZI YAKE KAMA KIONGOZI, NA UNGEKUWA WEWE PIA UNGEKUWA NA MAAMUZI YAKO KAMA UNAVYOAMUA CHOCHOTE KATIKA FAMILIA YAKO..............ILA KIDUKU WA KULE KOREA MNAMWITAA JEMBE JPM HUKU MNAMWITA MJINGA
Huyo 'Kiduku' ukimgusa unanuka. Wewe unadhani kazi hiyo ni ndogo?
Huyu unayemtetea hapa hata haieleweki anatupeleka wapi! Inaonyesha hata yeye hajui tunakoelekea; anajipigia tu bora liende.
 
HAKURUPUKI ILA HAYO NDIYO MAAMUZI YAKE KAMA KIONGOZI, NA UNGEKUWA WEWE PIA UNGEKUWA NA MAAMUZI YAKO KAMA UNAVYOAMUA CHOCHOTE KATIKA FAMILIA YAKO..............ILA KIDUKU WA KULE KOREA MNAMWITAA JEMBE JPM HUKU MNAMWITA MJINGA
Sijasoma ulichoandika, mi ukiniandikia kwa herufi kubwa najua tayari una matatizo, ukifix tatizo lako rudi tena.
 
at first time nlkua nakuona ni mtu smart sana ulkua unani inspire sana

Labda ni mtu smart kweli ila umejitoa ufahamu

Mkulima wa mahindi

Haaa Baba Swahele, being CCM strong
member & supporter it doesn't make someone not to be extremely intelligent, kiukweli Mh. Magufuli kwa sasa ndio wakati wake, utake usitake yeye Magufuli ndio bora kabisa kwa wakati huu, hata umlete nani hapa Tanzania kwa sasa, ebu fikiria vema kwa upole, utulivu, acha ushabiki wowote, just say inside ur inner heart, Magu na mwingine yeyote kwenye siasa kwa sasa nani atamzidi, nasemea kwa sasa, utapata jibu langu, so ikiwa ni hivyo, basi let's support him, i know kama human being anafanya makosa ya hapa na pale, likewise mm nafanya makosa pia, kama ilivyo ww na mwingine, ila Magu is better off at present time, yuko at his prime in leadership kwa Urais kuliko yeyote hapa Tz. So politically, that is my position, but scientifically & my mental power, financial power, am another big dude, ok Baba Swalehe.. Haa, JF tuko as a family kidogo just to pass time na kufurahi au kuvurugana kidogo kwa maneno tukipata muda sbb muda ni mdogo sana kwa sisi wengine, tumia akili vema, make money uishi vema Baba Swalehe, hilo muhimu sana, Siku njema sana nikutakie with brightest future days ahead, na Mungu akubariki in your endeavors, na kwaheriiii. 👋👋
 
AMESHAFELI TAYARI, MASLAHI YA MUME WAKE YATAMUANGUSHA KWA UPANDE WAPILI.....MBOWE HAWEZI KUKUBALI KUMPISHA KITI

Mkubwa naona kama umepitwa kushoto vile na maudhui ya uzi wote kabisa....

Huyu mama hagombei "kiti" cha Ubunge wa Mbowe kule jimbo la Hai, Kilimanjaro ama cha Uenyekiti wa CHADEMA (taifa)....

Huyu ametia nia kugombea "kiti" cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) kwa kudhaminiwa na CHADEMA ambacho kwa sasa "kiti" hicho kinakaliwa na JOHN POMBE MAGUFULI (CCM)....!!

Labda ungesema "MAGUFULI wa CCM" hawezi kumpisha, hapo kidogo ungeeleweka....

Ujumbe muhimu kwako ni kuwa, kabla ya kukomenti, soma article kwa uangalifu na kuelewa "maudhui" yake ndipo unatoa maoni yako......!
 
Haaa Baba Swahele, being CCM strong
member & supporter it doesn't make someone not to be extremely intelligent, kiukweli Mh. Magufuli kwa sasa ndio wakati wake, utake usitake yeye Magufuli ndio bora kabisa kwa wakati huu, hata umlete nani hapa Tanzania kwa sasa, ebu fikiria vema kwa upole, utulivu, acha ushabiki wowote, just say inside ur inner heart, Magu na mwingine yeyote kwenye siasa kwa sasa nani atamzidi, nasemea kwa sasa, utapata jibu langu, so ikiwa ni hivyo, basi let's support him, i know kama human being anafanya makosa ya hapa na pale, likewise mm nafanya makosa pia, kama ilivyo ww na mwingine, ila Magu is better off at present time, yuko at his prime in leadership kwa Urais kuliko yeyote hapa Tz. So politically, that is my position, but scientifically & my mental power, financial power, am another big dude, ok Baba Swalehe.. Haa, JF tuko as a family kidogo just to pass time na kufurahi au kuvurugana kidogo kwa maneno tukipata muda sbb muda ni mdogo sana kwa sisi wengine, tumia akili vema, make money uishi vema Baba Swalehe, hilo muhimu sana, Siku njema sana nikutakie with brightest future days ahead, na Mungu akubariki in your endeavors, na kwaheriiii.
tuko pamoja sana mzee by the way sina chama mkuu si upinzani wala ccm wanaofanya vyema ni Madudu tupu kuna muda nawaza hata hiyo nchi wakipewa wapinzani itakuaje

Mkulima wa mahindi
 
Back
Top Bottom