Uchaguzi 2020 Mwanamke ajitokeza kuwania Urais kupitia CHADEMA. Ni Msomi, Mwanamke wa Shoka, Ana uwezo na Jembe Kweli, ila...

Ninashangaa mpaka sasa mashabiki wa CDM na akina Kigogo, hawajampachika majina, matusi na hata kumzushia ni mradi wa magufuli kuiuwa chadema.

Akishindwa Mbowe Kumstopisha, tutamsikia mzee mtei alisema haiwezekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom