Mwambie mdogo wako anaenda shule kusomea taaluma sio kazi, anaweza kusoma uhasibu akawa dobi

Tatizo bado tunasomea degree badala ya kusomea kazi, hapo ndipo tunakosea. Zipo kozi ambazo mtu husoti kabisa unaweza ukajiajiri au ukafanya mwenyewe shughuli yako kwa elimu uliyoipata, mfano rahisi niliacha Bachelor of Science with Information technology niliyopangiwa (maana sikuiomba hii) na tcu pale IFM nikaenda kusoma Horticultural diploma pale Tengeru, Alhamdulillah niliajiliwa nikiwa field mwaka wa pili lakini naamini ningefuata sifa IFM ningekua na bahasha yangu mpaka leo hii. Kila mtu asomee anachopenda moyoni ambacho anajua
1.Ajira zake anajua atapata vipi au wapi
2.Anaweza hata yeue kujiajiri binafsi, hapo chuo ataenda kujifunza wala hakutokua na haja ya kumkumbusha chuo kafuata nini maana anajua akitoka chuo mtupu itakula kwake anatakiwa atoke na ujuzi mwingi ili autumie akitoka tu chuo.
 
1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi.

2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha.

3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi.

4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea Mtwara, tena kule ndanindani.

5. Mwambie Marafiki wa chuo hubadilika kila baada ya semester. Kuendelea kung'ang'ania wale wa awali ataisoma namba.

6. Mwambie semester1 atakuwa na wapenzi wengi sana ila atumie kinga kwa gharama yoyote ile.

7. Mwambie makundi makundi chuoni humaliza hundi mfukoni.

8. Mwambie Boom huwa linakuja ila Laki5 ya chuoni sio Laki5 ya nyumbani.

9. Mwambie chuoni atakutana na semina mbalimbali za ujasiriamali ila chaajabu kila mtu anauza ubuyu na kalamu. Ajaribu bahati yake.

10. Mwambie ajiandae kupokea lawama na hata kuachana na yule mpenzi wake aliyemwacha nyumbani.

11. Mwambie wahadhiri (Lecturers) wa kitanzania wanajua kila kitu na wako juu ya sheria hivyo kama ni wa kike ajifunze kusali.

12. Mwambie Chuoni kuna Makanisa na Misikiti. Wanafunzi ni zaidi ya 1000 lakini waumini ni wachache. Akumbuke kusali.

13. Mwambie kama ni wa kike,marafiki zaidi ya 3 hatoweza kudumu nao. Watagombana tu.

14. Mwambie kwa "Kapuku",kila mtu huwa anataka kuwasaidia wazazi awapo chuoni lakini kuna nyakati inakuwa nje ya uwezo wetu.

15. Mwambie Simu na nguo za gharama ni muhimu lakini sio lazima.

16. Mwambie marafiki wanaokuwa naye kipindi hana hela asiwasahau.

17. Mwambie chuoni ni sehemu ya kutengeneza Connection na watu muhimu.

18. Mwambie zile bata alizokuwa akiskia zikibadilika asishangae.

19.Mwambie pia baada ya kumaliza chuo haina maana amewin maisha. Hapa ndipo msoto mpya unapoanzia.

20. Mwambie Maisha ni mafupi sana Adumu kumcha Mungu na kufanya mambo mazurii, Lastly Asimdharau mtu yeyote.

Over
nitamwambia
 
Jamii forums tu ndo unaeza kuyapata haya .
Obligado...
 
*MWAMBIE MDOGO WAKO ANAEKWENDA CHUO*

1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi.

2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha.

3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi.

4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea Mtwara,ama Manyara tena kule ndani ndani kusikofika jua kwa urahisi.

Hayo maneno ya busara sana, na ingebid vyuo vifanye semina kuwaeleza hayo pindi waingiapo vyuon
 
hii ni kwa nyinyi mnaotoka familia masikini! Over!
 
Mara nyingine hekima hupatikana kutokana na mtu kujifunza kupitia makosa flani lakini inakuwa njema mtu akijifunza kwa waliopita. Maisha ya chuo ni ya kifirauni na yanatamanisha ila nawahusia kwa kosa langu

Chuoni kuna muda mwingi sana hivyo asiwafuatishe watu. Chuoni kuna kila aina ya watu wenye connection, Life skills, vipaji , Biashara na pia muda mwingi haswaa kwa vyuo vyenye course za social science. Muda wa ziada anaoupata autumie katika kuwatumia watu wa namna hii maana atatoka chuo na makaratasi lakini na vitu vitakavyompush kuona life simple.

Movie, series ,games, groups, mahusiano mia mia na bata ni vitu atakavyolazimishwa kuvipenda ili apoteze ule muda wa ziada ila akumbuke huo muda ni Dhahabu.atakuja kuujutia akitoka chuo
 
Mwambie hata baada ya kupata PhD anaweza kujikuta yupo kijijini akitegemea ndugu na wazazi ambao wameishia darasa la Saba.
 
*MWAMBIE MDOGO WAKO ANAEKWENDA CHUO*

1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi.

2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha.

3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi.

4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea Mtwara,ama Manyara tena kule ndani ndani kusikofika jua kwa urahisi.

5. Mwambie Marafiki wa chuo hubadilika kila baada ya semester. Kuendelea kung'ang'ania wale wa awali ataisoma namba.

6. Mwambie semester1 atakuwa na wapenzi wengi sana ila atumie kinga kwa gharama yoyote ile.

7. Mwambie makundi makundi chuoni humaliza hundi mfukoni.

8. Mwambie Boom huwa linakuja ila Laki5 ya chuoni sio Laki5 ya nyumbani.

9. Mwambie chuoni atakutana na semina mbalimbali za ujasiriamali ila chaajabu kila mtu anauza ubuyu na kalamu. Ajaribu bahati yake.

10. Mwambie ajiandae kupokea lawama na hata kuachana na yule mpenzi wake aliyemwacha nyumbani.

11. Mwambie wahadhiri (Lecturers) wa kitanzania wanajua kila kitu na wako juu ya sheria hivyo kama ni wa kike ajifunze kusali.

12. Mwambie Chuoni kuna Makanisa na Misikiti. Wanafunzi ni zaidi ya 1000 lakini waumini ni wachache. Akumbuke kusali.

13. Mwambie kama ni wa kike,marafiki zaidi ya 3 hatoweza kudumu nao. Watagombana tu.

14. Mwambie kwa "Kapuku",kila mtu huwa anataka kuwasaidia wazazi awapo chuoni lakini kuna nyakati inakuwa nje ya uwezo wetu.

15. Mwambie Simu na nguo za gharama ni muhimu lakini sio lazima.

16. Mwambie marafiki wanaokuwa naye kipindi hana hela asiwasahau.

17. Mwambie chuoni ni sehemu ya kutengeneza Connection na watu muhimu.

18. Mwambie zile bata alizokuwa akiskia zikibadilika asishangae.

19.Mwambie pia baada ya kumaliza chuo haina maana amewin maisha. Hapa ndipo msoto mpya unapoanzia.

20. Mwambie Maisha ni mafupi sana Adumu kumcha Mungu na kufanya mambo mazurii, Lastly Asimdharau mtu yeyote.

Over
No.18. Connection za mademu, kazi, madesa au migomo? Mbona sioni impact yake kila siku watu wanamaliza wanaishia mitaani tu!TP na FİELD ndio sehemu za kupata connection.Mwanafunzi kuwa makini sana unapotafuta sehemu za field au tp huko ndiko utakapopata connection za kazi biashara nk, chuoni ni asilimia ndogo sana.
 
pia tuwaambie kuwa unaweza ukawa na elfu 10 mfukoni ya chakula lakini akala mlo m1 kwa siku.
 
*MWAMBIE MDOGO WAKO ANAEKWENDA CHUO*

1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi.

2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha.

3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi.

4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea Mtwara, tena kule ndanindani.

5. Mwambie Marafiki wa chuo hubadilika kila baada ya semester. Kuendelea kung'ang'ania wale wa awali ataisoma namba.

6. Mwambie semester1 atakuwa na wapenzi wengi sana ila atumie kinga kwa gharama yoyote ile.

7. Mwambie makundi makundi chuoni humaliza hundi mfukoni.

8. Mwambie Boom huwa linakuja ila Laki5 ya chuoni sio Laki5 ya nyumbani.

9. Mwambie chuoni atakutana na semina mbalimbali za ujasiriamali ila chaajabu kila mtu anauza ubuyu na kalamu. Ajaribu bahati yake.

10. Mwambie ajiandae kupokea lawama na hata kuachana na yule mpenzi wake aliyemwacha nyumbani.

11. Mwambie wahadhiri (Lecturers) wa kitanzania wanajua kila kitu na wako juu ya sheria hivyo kama ni wa kike ajifunze kusali.

12. Mwambie Chuoni kuna Makanisa na Misikiti. Wanafunzi ni zaidi ya 1000 lakini waumini ni wachache. Akumbuke kusali.

13. Mwambie kama ni wa kike,marafiki zaidi ya 3 hatoweza kudumu nao. Watagombana tu.

14. Mwambie kwa "Kapuku",kila mtu huwa anataka kuwasaidia wazazi awapo chuoni lakini kuna nyakati inakuwa nje ya uwezo wetu.

15. Mwambie Simu na nguo za gharama ni muhimu lakini sio lazima.

16. Mwambie marafiki wanaokuwa naye kipindi hana hela asiwasahau.

17. Mwambie chuoni ni sehemu ya kutengeneza Connection na watu muhimu.

18. Migomo na mihemuko yenye uovu aviepuke maana si kila aliyeko chuon amekuja kusoma bali wengine ndo wako kazin

19. Mwambie zile bata alizokuwa akiskia zikibadilika asishangae.

20.Mwambie pia baada ya kumaliza chuo haina maana amewin maisha. Hapa ndipo msoto mpya unapoanzia

21. Mwambie Maisha ni mafupi sana Adumu kumcha Mungu na kufanya mambo mazurii, Lastly Asimdharau mtu yeyote.

IKIKUFAA IFANYIE KAZI
 
Back
Top Bottom