Mwambie mdogo wako anaenda shule kusomea taaluma sio kazi, anaweza kusoma uhasibu akawa dobi

1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi.

2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha.

3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi.

4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea Njombe, tena kule ndanindani.

5. Mwambie Marafiki wa chuo hubadilika kila baada ya semester. Kuendelea kung'ang'ania wale wa awali ataisoma namba.

6. Mwambie semester1 atakuwa na wapenzi wengi sana ila atumie kinga kwa gharama yoyote ile.

7. Mwambie makundi makundi chuoni humaliza hundi mfukoni.

8. Mwambie Boom huwa linakuja ila Laki5 ya chuoni sio Laki5 ya nyumbani.

9. Mwambie chuoni atakutana na semina mbalimbali za ujasiriamali ila chaajabu kila mtu anauza ubuyu na kalamu. Ajaribu bahati yake.

10. Mwambie ajiandae kupokea lawama na hata kuachana na yule mpenzi wake aliyemwacha nyumbani.

11. Mwambie wahadhiri (Lecturers) wa kitanzania wanajua kila kitu na wako juu ya sheria hivyo kama ni wa kike ajifunze kusali.

12. Mwambie Chuoni kuna Makanisa na Misikiti. Wanafunzi ni zaidi ya 1000 lakini waumini ni wachache. Akumbuke kusali.

13. Mwambie kama ni wa kike,marafiki zaidi ya 3 hatoweza kudumu nao. Watagombana tu.

14. Mwambie kwa "Kapuku",kila mtu huwa anataka kuwasaidia wazazi awapo chuoni lakini kuna nyakati inakuwa nje ya uwezo wetu.

15. Mwambie Simu na nguo za gharama ni muhimu lakini sio lazima.

16. Mwambie marafiki wanaokuwa naye kipindi hana hela asiwasahau.

17. Mwambie chuoni ni sehemu ya kutengeneza Connection na watu muhimu.

18. Mwambie zile bata alizokuwa akiskia zikibadilika asishangae.

19.Mwambie pia baada ya kumaliza chuo haina maana amewin maisha. Hapa ndipo msoto mpya unapoanzia.

20. Mwambie Maisha ni mafupi sana Adumu kumcha Mungu na kufanya mambo mazurii, Lastly Asimdharau mtu yeyote.
 
Naongeza na hili..

Kuna tofauti kubwa kati ya maisha ya chuo na life ya huku kitaa.

Huku mtaani kusukuma Guta ni jambo la kawaida, hata kama una Phd yko kichwani.
 
⌚📦MWAMBIE MDOGO WAKO ANAEKWENDA CHUO

1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi.

2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha.

3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi.

4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea Mbeya, Rukwa, Mtwara N.k, tena kule ndanindani.

5. Mwambie Marafiki wa chuo hubadilika kila baada ya semester. Kuendelea kung'ang'ania wale wa awali ataisoma namba.

6. Mwambie semester 1 atakuwa na wapenzi wengi sana ila atumie kinga kwa gharama yoyote ile.

7. Mwambie makundi makundi chuoni humaliza hundi mfukoni.

8. Mwambie Boom huwa linakuja ila Laki 5 ya chuoni sio Laki 5 ya nyumbani.

9. Mwambie chuoni atakutana na semina mbalimbali za ujasiriamali ila chaajabu kila mtu anauza ubuyu na kalamu. Ajaribu bahati yake.

10. Mwambie ajiandae kupokea lawama na hata kuachana na yule mpenzi wake aliyemwacha nyumbani.

11. Mwambie wahadhiri (Lecturers) wa kitanzania wanajua kila kitu na wako juu ya sheria hivyo kama ni wa kike ajifunze kusali.

12. Mwambie Chuoni kuna Makanisa na Misikiti. Wanafunzi ni zaidi ya 1000 lakini waumini ni wachache. Akumbuke kusali.

13. Mwambie kama ni wa kike,marafiki zaidi ya 3 hatoweza kudumu nao. Watagombana tu.

14. Mwambie kwa "Kapuku",kila mtu huwa anataka kuwasaidia wazazi awapo chuoni lakini kuna nyakati inakuwa nje ya uwezo wetu.

15. Mwambie Simu na nguo za gharama ni muhimu lakini sio lazima.

16. Mwambie marafiki wanaokuwa naye kipindi hana hela asiwasahau.

17. Mwambie chuoni ni sehemu ya kutengeneza Connection na watu muhimu.

18. Mwambie zile bata alizokuwa akiskia zikibadilika asishangae.

19.Mwambie pia baada ya kumaliza chuo haina maana amewin maisha. Hapa ndipo msoto mpya unapoanzia.

20. Mwambie Maisha ni mafupi sana Adumu kumcha Mungu na kufanya mambo mazurii, Lastly Asimdharau mtu yeyote.

Over... Greataziz
 
Chuoni mambo yanakuwa mob Boss yaani fasta tu kabla hujatoa hela bank unakuta umebaki na kama 20 iliyo huru haina matumizi ya chuo hahahahaha

Sema vijana wa hapo wanakuwa na uzungu uzungu labda, hiyo pesa kubwa sana kwa mtu ambae hana familia na watu wa kumtegemea
 
KAMA UNA MDOGO WAKO NA ANAJIANDAA KWENDA SHULE MKUMBUSHE JUU YA HAYA

REPOST

Back
Top Bottom