Mwamba huyu hapa

Mwamba huyu hapa

Asofuata Uislamu lazima atahangaika kwenye hii dunia
Binadamu mnajiekea sheria zenu ambazo ni kandamizi kwenu wenyewe hlf mnajiita mna akili

Muumba katuletea Muongozo ila watu wameukataa wanafata matamanio yao tu na haya ndo matokeo yake
Upo sahihi mkuu
 
Kevin Durant ana utajiri wa dola milioni 200 na anakaribia miaka40, hana mke, hana watoto, hana rafiki wa kike, hana mswaki, hana cream. Ni yeye na Mama yake tu na mpira wa kikapu..

Mwana hata hajali chochote. Anaishi maisha yasiyo na stress.
Hivi majuzi alifanya interviee yenye utata:
'Jambo hili la uchumba ni mbaya sana. Mapenzi husababisha uraibu, mapenzi hayana uhuru. Ninapenda kujisikia huru, naridhika sana nikiwa huru. Na kuhusu ngono.. ningependa kulipa kuifanya, hakuna masharti. "
Anasema kuwa katika mahusiano mambo ni mengi, ni kama jela.... Na Ikitokea mambo yameenda vibaya, mwanamume hupoteza zaidi ya nusu ya utajiri wake...ambao mpenzi wake hakuutolea jasho.
Anamalizia kwa kusema...
Bora ukae peke yako na ufurahie amani yako ya akili. !! Utaishi maisha mengi
CC: #Team kataa ndoaView attachment 3360129
Kuna siri kubwa sana nyuma ya kuta za nyumba kwa mwanaume rijali ambaye ameshibana sana na mama yake mzazi na wanaishi single single kila mtu (mama hana mume na kijana hana mke).

Au basi
 
Musiwapoteze watu kwa ujinga wenu..tamaduni zitabaki kuwa tamaduni suala la kutokuwa na mahusiano/ndoa nalo linaeffect kubwa,akili zenu zimekuwa za kutafuta pesa as if hiyo pesa unazikwa nayo kumbe na wewe unaicha na haujui hata lini unakufa.

mna upuuzi sana wadau
Bwana wee raha ya dunia kutomberna
 
Ila kuishi kwenye ndo hakya ya mungu nikuuza uhuru,yaan huwi huru mwenyew mpaka na uchumi wako

Aiseee ni ujinga kabisa
Mie sielewi kabisa yaani wanawake wazuri walivyojaa mtaani eti wee na akili zako unasema utulie nda i na mmoja🤣🤣🤣🤣
Raha ya dunia ni kutomberner bwana tena mademu tofauti tofauti
 
Mwanamme anayekataa ndoa ni:

1) Hana nguvu za kiume.
2) Mwenyewe anatamani aolewe (ni wale wale).
3) Ana mume wake wa siri.
 
Utajiri wa 200m us dollars sii mchezo anaweza fanya lolote atakalo ndio maana hata sex akitaka ananunua.

Ni tofauti na Bongo ambapo vijana hatuna pesa mtu hana mke mbadala wake anaenda Riverside au Kimboka kutafuta K sii usenge huo kujiongezea mibalaa na nuksi.
Hakuna kitu kibaya maishani kama kijana 30+ anaeishi bachelor halafu hana pesa utaishi maisha ya stress balaa kuliko ambae anafamilia.
Acha kupotosha watu mkuu,, narudia tena acha kama unaamini hoja yako ina mashiko njoo kwa ground tubattle kwa hoja mimi naipinga hoja yako hapa hapa na naamini nitakumeza.
 
Acha kupotosha watu mkuu,, narudia tena acha kama unaamini hoja yako ina mashiko njoo kwa ground tubattle kwa hoja mimi naipinga hoja yako hapa hapa na naamini nitakumeza.
Mbona kama una stress ndugu sasa tubattle nini tena na nilishaandika hoja yangu nikamaliza hili ni jukwaa huru unaweza andika na zako pia hakuna anaekuzuia
 
Mbona kama una stress ndugu sasa tubattle nini tena na nilishaandika hoja yangu nikamaliza hili ni jukwaa huru unaweza andika na zako pia hakuna anaekuzuia
Nimekupa mualiko mkuu sio mpaka nikutag
Na kuhusu stress huna uwezo wa kulibaini hilo,
Karibu.
 
Back
Top Bottom