Mwamba huyu hapa

Mwamba huyu hapa

Musiwapoteze watu kwa ujinga wenu..tamaduni zitabaki kuwa tamaduni suala la kutokuwa na mahusiano/ndoa nalo linaeffect kubwa,akili zenu zimekuwa za kutafuta pesa as if hiyo pesa unazikwa nayo kumbe na wewe unaicha na haujui hata lini unakufa.

mna upuuzi sana wadau
 
Kunywa maji kwanza mkuu upunguze hasira

Anyway, pole ulioa mwenyew, acha kila mtu aishi maisha yake. kwani tamaduni zote zinafuatwa na ni nzuri?
 
Hatuwezi kushabikia huu upuuzi ambao upo kinyume na maumbile ya mwanadamu.Mungu alieumba mbingu na ardhi hakuwa mjinga kumuumba mwanamke kama msaidizi wa mwanaume.Kiasili mwanaume lazima aoe ili akili yake itulie na ikomae.Mungu akimpa watoto hapo ndoo penyewe sasa.Ndoa ni muhimu sana kwa maisha ya mwanadamu.Tuache kushabikia ujinga
 
Unalolitafuta utalipata
 
Utajiri wa 200m us dollars sii mchezo anaweza fanya lolote atakalo ndio maana hata sex akitaka ananunua.

Ni tofauti na Bongo ambapo vijana hatuna pesa mtu hana mke mbadala wake anaenda Riverside au Kimboka kutafuta K sii usenge huo kujiongezea mibalaa na nuksi.
Hakuna kitu kibaya maishani kama kijana 30+ anaeishi bachelor halafu hana pesa utaishi maisha ya stress balaa kuliko ambae anafamilia.
tofauti na Bongo ambapo vijana hatuna pesa mtu hana mke mbadala wake anaenda Riverside au Kimboka kutafuta K sii usenge huo kujiongezea mibalaa na nuksi.😂😂😂😂
 
Lazima tu stress utakuwa nayo mkuu. Kama unaishi maisha ya kuganga njaa ubachelor sio mzuri maana kuna vitu utatakiwa kufanya mwenyewe ambavyo haviendani na umri wako.
Vitu gani hutakiwi kufanya haviendani na umwili unaosema
 
Best stress free life mwamba ataishi miaka mingi sana akiwa na afya njema
1000039661.jpg
 
Vitu gani hutakiwi kufanya haviendani na umwili unaosema
Subiri ufike 35 or 40 yrs bahati mbaya uwe bado unajitafuta ndio utaelewa ni vitu gani utaonekana Fala mwanaume kufanya katika umri huo.
Lakini bachelor ambae ni don mambo huwa kwake ni mazuri zaidi maana pesa ndio humtumikia bila ya stress yoyote
 
Ukiishi maisha yakuangalia watu wanakutazamaje town ndo utapata shida mzee be you
 
Ni kweli lakini tunaishi kwa kutegemeana. Mfano mdada anafikisha miaka 40 hajaolewa lazima awe na maumivu kutoka ndani sii kwamba anapata kwa kuangalia watu wanamuonaje.
Nisawasawa kabisa na huyu bachelor mwenye 40+ hana familia na maisha pia hana.
 
Hatuwezi kushabikia huu upuuzi ambao upo kinyume na maumbile ya mwanadamu.Mungu alieumba mbingu na ardhi hakuwa mjinga kumuumba mwanamke kama msaidizi wa mwanaume.Kiasili mwanaume lazima aoe ili akili yake itulie na ikomae.Mungu akimpa watoto hapo ndoo penyewe sasa.Ndoa ni muhimu sana kwa maisha ya mwanadamu.Tuache kushabikia ujinga
Hahahah Umesema mwanaume lazima aoe ili akili itulie? Aisee nimecheka sana

Huu mtego, Mliopo kwenye ndoa mnatujaza upepo tujae
 
Back
Top Bottom