Mwamba huyu hapa

Mwamba huyu hapa

Kevin Durant ana utajiri wa dola milioni 200 na anakaribia miaka40, hana mke, hana watoto, hana rafiki wa kike, hana mswaki, hana cream. Ni yeye na Mama yake tu na mpira wa kikapu..

Mwana hata hajali chochote. Anaishi maisha yasiyo na stress.
Hivi majuzi alifanya interviee yenye utata:
'Jambo hili la uchumba ni mbaya sana. Mapenzi husababisha uraibu, mapenzi hayana uhuru. Ninapenda kujisikia huru, naridhika sana nikiwa huru. Na kuhusu ngono.. ningependa kulipa kuifanya, hakuna masharti. "
Anasema kuwa katika mahusiano mambo ni mengi, ni kama jela.... Na Ikitokea mambo yameenda vibaya, mwanamume hupoteza zaidi ya nusu ya utajiri wake...ambao mpenzi wake hakuutolea jasho.
Anamalizia kwa kusema...
Bora ukae peke yako na ufurahie amani yako ya akili. !! Utaishi maisha mengi
CC: #Team kataa ndoaView attachment 3360129
He is an imbecile...
 
NO REFORM NO ELECTION
NO REFORMA NO ELECCIÓN
PAS DE RÉFORME PAS D'ÉLECTION
لا إصلاح لا انتخابات
不改革,不选举
НЕТ РЕФОРМЫ – НЕТ ВЫБОРОВ
कोई सुधार नहीं, कोई चुनाव नहीं
কোনো সংস্কার নেই, কোনো নির্বাচন নেই
SEM REFORMA, SEM ELEIÇÃO
HAKUNA MAGEUZI, HAKUNA UCHAGUZI
改革なし、選挙なし
KEINE REFORM, KEINE WAHL
개혁 없으면 선거 없다
REFORM YOK, SEÇİM YOK
NESSUNA RIFORMA, NESSUNA ELEZIONE
KHÔNG CẢI CÁCH, KHÔNG BẦU CỬ
بدون اصلاحات، بدون انتخابات
کوئی اصلاح نہیں، کوئی انتخاب نہیں
ਕੋਈ ਸੁਧਾਰ ਨਹੀਂ, ਕੋਈ ਚੋਣ ਨਹੀਂ
ไม่มีการปฏิรูป ไม่มีการเลือกตั้ง
BABU GYARA, BABU ZABE
ÌYÍPADÀ KÒ SÍ, ÌDÌBÒ KÒ SÍ
AKUKHO GUQULO, AKUKHO UKHETHELO
ምንም �ውጥ �ልመጣ ምንም ምርጫ የለም
ENWEGHỊ NDOGHARỊ, ENWEGHỊ NTULỊAKA
JIJJIIRAA HIN QABNU, FILANNOS HIN QABNU
Babu gyara, Babu zabe
 
Asofuata Uislamu lazima atahangaika kwenye hii dunia
Binadamu mnajiekea sheria zenu ambazo ni kandamizi kwenu wenyewe hlf mnajiita mna akili

Muumba katuletea Muongozo ila watu wameukataa wanafata matamanio yao tu na haya ndo matokeo yake
Wewe nae ndio walewale Sasa uislamu ndio nini?
 
Atakuwa ananunua huduma sana.

Swali la kizushi, kwa nini sisi wababa huwa hatupendwi na watoto wa kiume? Kila mmoja aliyefanikiwa anasemama mama mama mama; au jamaa hajui naye atakuwa mzee?​
 
Sijasema zinanitatiza,soma uelewe kilichoandikwa.
Ni sahihi mkuu, na mimi sijawa na maana ya kwamba wewe binafasi zinakutatiza. Lakin trust me kuna watu hiz kitu zinawatatiza na ulichokisema ni kitu sahihi na cha kwel
 
Unaweza kumuita demu geto ambae huyo demu anamichepuko yake ukawa nae usiku mzima. Nitofauti kabisa na mtu anaetoa 10k anaenda kununua malaya ambae muda huo huo ananuka jasho la wanaume wengine.
Mkuu kwa majibu haya, wewe hujanunua malaya bado. Na hao malaya unaowasemea wewe ni wale choka mbaya wa uswahilini kabisa wa elfu mbili mbili
 
OK
Atakuwa ananunua huduma sana.

Swali la kizushi, kwa nini sisi wababa huwa hatupendwi na watoto wa kiume? Kila mmoja aliyefanikiwa anasemama mama mama mama; au jamaa hajui naye atakuwa mzee?​
Kiasili watoto wa kiume humpenda mama na watoto wa kike humpenda baba.. Gender conflict
 
Wanaume tuna utamu wetu ila Kyle tunafata utelezi tuuu
 
October TUNATIKI ✅✅✅
October TUNATIKI ✅✅✅✅
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅✅
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅✅✅
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅✅✅✅
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅✅✅✅✅
 
October TUNATIKI ✅✅✅
October TUNATIKI ✅✅✅✅
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅✅
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅✅✅
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅✅✅✅
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅✅✅✅✅
IMG-20250608-WA0019.jpg
 
Back
Top Bottom