Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

Wanaume mda mwingine tuna roho mbaya sana
 
Naombeni.kura zenu kila mwenye kupitia hapa aangalie hili andiko na alete mchango wake wa kimawazo na ushauri ruksa [emoji1313]



Jinsi ya kupiga kura fungua link[emoji1312] soma mwisho wa andiko utaona option ya ku vote gusa mara moja

Mfano angalia picha chini kwenye duara ndipo paku vote[emoji1313][emoji1313]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli
 
Mimi kitu sitofanya hapa duniani, ni kumpenda mwanaume ambae hana pesa.yaani mimi lazima niwe na mwanaume ambae pesa sio tabu kwake, tutakwazana mengine ila sio pesa
Wanawake wa aina yako ni wapumbavu wa mwisho! Hauna mapenzi ya kweli,Wewe unachoangalia ni pesa! Siku zikiisha na wewe unaingia mitini.MSALITI kama wewe hupaswi kuachwa kuishi! Badala ya kuangalia mapenzi ya dhati unaangalia material things! Utapata tu mwenye pesa alafu akutoe kafara! Kwa kuwa hana mapenzi ya kweli na wewe siku akiugua au akafukuzwa kazi akafilisika ndio mwisho weni! MUNGU akusaidie!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…