love more than100
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 2,061
- 715
Umekosea ku mquote baba wa watu.
Amemcngzia vngine...
Umekosea ku mquote baba wa watu.
Uwe mkweli mtumishi sio nusu bhana, na ajasema aneshangazwa amesema amejickia kuomba ombi hilo tena
Tunaishia kwa madada poawanaume nao vipi?
Njoo pm kama unataka kuolewa
Walisimama ni wadada na wakaka uache upotoshaji
Tatizo ni kwamba wote tunekuwa wababaishaji...
Mtu anaona kama maziwa anapata tena kwa bei nzuri basi hana haja ya kufuga ng'ombe
waoaji wenyewe hakuna siku hizi.
Mbona binti yake rubani hajaolewa
Acha kumsema Ana, fanya yanayokuhusu
Wanasema ukarimu huanzia nyumbani.
Kama kweli, then inakuwaje mtu awaombee wenzake wakati kwake hajatengeneza?
mkuu Angelita, hili ndilo tatizo, waoaji hamna. nafikiri sio maagano.waoaji wamejiingiza kwenye matumizi mabaya ya madawa ya kulevya, ushoga n.k; wengine wameamua kwa makusudi kabisa kutokutafuta cha kufanya, na hivyo kupelekea kujiogopa wenyewe hasa kwenye suala zima la kipato. waoaji badala ya kuoa wamekuwa wakiwarubuni wadada wa watu na kuendekeza umalaya-mf mvulana mmoja ana wachumba zaidi ya 100, ataoa yupi, anabaki kupuyanga tu.wadada wana kata tamaa na tabia hizo, wadada hawtaki kushare.lakini kwa upande mwingine, akina dada wamekuwa wakichagua sana, kwa vile yeye anakaijiuwezo kidogo anataka muoaji awe na uwezo zaidi n.k.Waoaji wenyewe hakuna siku hizi.
Waoaji wenyewe hakuna siku hizi.