Mwaka 2022, naituliza nafsi yangu hivi...

Mm nimepanga kuacha bia,ila nafsi bado ina kigugumizi
Mkuu uache beer ili uwe nani we endelea kunywa beer ukiacha beer tu unaanza kuwa kama kenzy utakuja kutulilia humu na mambo za mapenzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila Smart911 anasemaga mapenzi hayanaga muongozo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Acha mapepe shunie mi silii sikuhizi Kwanza soda sinywi maana mmeshazinajisi..šŸ˜‚
 
Acha mapepe shunie mi silii sikuhizi Kwanza soda sinywi maana mmeshazinajisi..[emoji23]
Vina muda basi tupo humu sisi tunasubiri bandiko lako [emoji1787]

Soda hunywi je ukiona ya chupa ya heinekenn na beer si utasema hautakunywa kabisa
 
Trust me silii tena.

Hebu hiyo ya heinken nione..šŸ¤”
 
Acheni vurugu mtakujaga kutuu wekeni picha zenye uendani mnatuvuruga..šŸ˜‚
Ukiingia JF unaanza kutazamwa(siyo kuwa kabla) kama una mawazo chanya,mweledi na fikra pevu.Unapaswa uenende hivyo.Utachezewa akili na nyuzi au avatar za wakuu humu,halafu ujidai unataka kupeleka mahari.Ndiyo maana ya fake id!
 
Nimekupata mkuu sirudii tena
 
Huu mwaka nataka niache michepuko yangu yotee nibaki njia kuu
 
Back
Top Bottom