DadekiI'll keep only private my private parts haya mengine ni mali za umma.
🙄Mbwembwe hizi
🙄Tawileeee!
Siwezi kuachana nayo mimi na huyo jua katoka kwa bwana wa majeshi..😊Mkuu achana kabisa na mapenzi.... Huyo mpenzi uliyemkabidhi moyo ni swala la muda tu.... Naye ataanza kutopokea simu zako...
Life is not that serious
Acha ubishi mkuu,, sisi tunakuzuia usianguke wewe unalazimisha kudondoka,,,Haya tumeacha,,basi tunasubiri tukuokoteSiwezi kuachana nayo mimi na huyo jua katoka kwa bwana wa majeshi..😊
Nyie ndo wachawi nyinyi..😃Acha ubishi mkuu,, sisi tunakuzuia usianguke wewe unalazimisha kudondoka,,,Haya tumeacha,,basi tunasubiri tukuokote
KENZY si christmas tu juzi hapa umetoka kupigwa na kitu kizito,,...
Hao ni walewale,,, hatukuombei njaa ila tunataka ukae mguu sawa,,Lolote laweza kutokea,saa yoyote...Uwe tayari..
Thank me later
Sasa mtu unataka uache punyeto kwa sababu gani? Kwamba inakutia hasara au?Kitu kidogo hicho wapo wanaohangaika na punyeto huo ndo mziki..🤣
Madhara gani?Nyeto inamadhara wewe
Unasemaje kuhusu matumizi ya chupa?I'll keep only private my private parts haya mengine ni mali za umma.
Acha uzwazwa bata wewe 22 malizia utotoSitaki tena vurugu za mapenzi.
Ntajihamasisha kuangalia vitu vyengine zaidi, mapenzi nitawaachia magwiji.
Sitaki tena kuutoboa moyo wangu kwaajili ya mapenzi,fujo nilizozipata mwaka huu 2021 zimeninyonga vya kutosha!.
Sitaki mfuko wangu utoboke toboke nataka niuimarishe semeni "na iwe",nimeshachoka huu uchumi unaonichumu!.
Nitazingatia misingi ya afya kuanzia chakula,vinywaji na mazoezi.
Nitahakikisha naimarisha misingi ya utu wangu kiakili,kimwili na kihisia(ila hapa kwenye hisia za nyege bado sijapata muafaka,kuna vurugu ndani yangu tuombeane).
Nimeamua kumpenda Dada mmoja tu ambae nimeshamkabidhi moyo wangu na amani ya bwana imeshaamua ndani yetu!.
Shukurani zangu kwa wanajamiiforum wote,sibagui kwa wenye kunitakia heri au shari nachojua 2022 bwana atatenda yaliyo mema juu yangu.
2021 mwendo umeumaliza Ahsante sana kwa kunikunja moyo vilivyo,nimejifunza mengi.
Mwisho wa mwaka Kama huu ukiweza nenda nyumbani kwenu siyo kwako noo kwenu. Kaa anagalia changamoto za kwenu na jinsi ya kuzitatua zitakupa objectives nzuri za mwakaniSitaki tena vurugu za mapenzi.