Mwaka 2022, naituliza nafsi yangu hivi...

Mwaka 2022, naituliza nafsi yangu hivi...

Mkuu, Mie nakuombea ya kua huyu uliyempata asije akautoboa moyo wako (paragraph # 3) na asipelekee mfuko wako kutoboka (paragraph #4)
Heri, Baraka na mafanikio kwa mwaka 2022 🏃‍♀️🏃‍♀️
Hizi ndo komenti sasa bwana akubariki mtumishi.
 
Mkuu punyeto haliachiki hadi uoe! Mimi nilianza safari ya kupiga punyeto tangu nina 13yrs nilipofikisha 19years nikaamua kuacha lakini ikashindikana hadi nilipooa around 27years of age ndo nimeacha, im now 46
Mtu akiamua anaacha usiaafedheheshe walioacha ndugu utawafanya warudi!.
 
Mkuu, Mie nakuombea ya kua huyu uliyempata asije akautoboa moyo wako (paragraph # 3) na asipelekee mfuko wako kutoboka (paragraph #4)
Heri, Baraka na mafanikio kwa mwaka 2022 [emoji2088][emoji2088]
Hapa ndipo alipoharibu plan zake
 
Sitaki tena vurugu za mapenzi.

Ntajihamasisha kuangalia vitu vyengine zaidi, mapenzi nitawaachia magwiji.

Sitaki tena kuutoboa moyo wangu kwaajili ya mapenzi,fujo nilizozipata mwaka huu 2021 zimeninyonga vya kutosha!.

Sitaki mfuko wangu utoboke toboke nataka niuimarishe semeni "na iwe",nimeshachoka huu uchumi unaonichumu!.

Nitazingatia misingi ya afya kuanzia chakula,vinywaji na mazoezi.

Nitahakikisha naimarisha misingi ya utu wangu kiakili,kimwili na kihisia(ila hapa kwenye hisia za nyege bado sijapata muafaka,kuna vurugu ndani yangu tuombeane).

Nimeamua kumpenda Dada mmoja tu ambae nimeshamkabidhi moyo wangu na amani ya bwana imeshaamua ndani yetu!.

Shukurani zangu kwa wanajamiiforum wote,sibagui kwa wenye kunitakia heri au shari nachojua 2022 bwana atatenda yaliyo mema juu yangu.

2021 mwendo umeumaliza Ahsante sana kwa kunikunja moyo vilivyo,nimejifunza mengi.
IMEISHA HIYOO
 
Back
Top Bottom