Mwaka 2022, naituliza nafsi yangu hivi...

Mwaka 2022, naituliza nafsi yangu hivi...

January si mbali, utakuja hapa na uzi tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuanzia saa6 usiku tu simu isipopokelewa ataanzisha thread "siamini kama simu zangu hazipokelewi" [emoji23][emoji23] .

All the best mtoa mada 2022 ikawe yenye baraka zaidi kwako
 
Kuanzia saa6 usiku tu simu isipopokelewa ataanzisha thread "siamini kama simu zangu hazipokelewi" [emoji23][emoji23] .

All the best mtoa mada 2022 ikawe yenye baraka zaidi kwako
Mahusiano yake yaliyowahi kudumu sana yalikuwa ni ya siku 4.
 
Mnachoniongelea si kitu chema haswa! Nimeamua kubadirika lakini hamnitii moyo zaidi ya masimango!.. naimani nitashinda na nitapita Kama Musa alivyopita katikati ya bahari na wana wa Israel.
 
Sitaki tena vurugu za mapenzi.

Ntajihamasisha kuangalia vitu vyengine zaidi, mapenzi nitawaachia magwiji.

Sitaki tena kuutoboa moyo wangu kwaajili ya mapenzi,fujo nilizozipata mwaka huu 2021 zimeninyonga vya kutosha!.

Sitaki mfuko wangu utoboke toboke nataka niuimarishe semeni "na iwe",nimeshachoka huu uchumi unaonichumu!.

Nitazingatia misingi ya afya kuanzia chakula,vinywaji na mazoezi.

Nitahakikisha naimarisha misingi ya utu wangu kiakili,kimwili na kihisia(ila hapa kwenye hisia za nyege bado sijapata muafaka,kuna vurugu ndani yangu tuombeane).

Nimeamua kumpenda Dada mmoja tu ambae nimeshamkabidhi moyo wangu na amani ya bwana imeshaamua ndani yetu!.

Shukurani zangu kwa wanajamiiforum wote,sibagui kwa wenye kunitakia heri au shari nachojua 2022 bwana atatenda yaliyo mema juu yangu.

2021 mwendo umeumaliza Ahsante sana kwa kunikunja moyo vilivyo,nimejifunza mengi.
Huna namna zaidi ya kunipenda zaidi😘
 
I wish all jf members happy new year 2022 mema kwa wote.
 
Back
Top Bottom