Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
- Thread starter
- #21
Mbowe na Pinda walikubaliana madiwa wakae wakubalie wanagawana je, ndipo leo madiwa walipo kutana na kufikia mwafaka huo...Sasa huo uchaguzi umefanyika lini? bado ni uvunywaji wa sheria na kanuni maana wanahitajika kuitisha full council na kufanya uchaguzi wa Meya baada ya idadi ya wajumbe wanaohitajika kufika. Hapo bado sheria imekiukwa!!