Mwafaka wa Umeya wa Arusha wapatikana

avatar28733_1.gif.jpg
We knew all these since day one!
Technology vipi tena avator yako, yaani naona msopaganzi umeuweka openly kwa nini? Back to the topic, mtoa mada aache kuleta uchonganishi yeye alitaka jamaa wafanyaje?
 
Mara baada ya ubabe na ukiukaji wa waziwazi wa uchaguzi wa Meya mjini Arusha Desemba 2010,Chadema na wakazi wa Arusha waliamua kuionyesha dunia kuwa wanaweza kudai haki hata kwa gharama yoyote.CCM kwakutoamini nguvu ya umma wakapambana na raia na kuwauwa watu watatu na kudhihirisha nguvu ya umma haizuiliki siku ya mazishi serikali yote ikaenda likizo kwa hofu ya maelfu ya watu walioandamana na kufanya maziko kwa amani.

Viongozi wa Chadema na wananchi walipigwa,kudhalilishwa na kujeruhiwa na wengine wana vilema vya maisha achilia mbali wale waliouwawa.Hamasa yote ilitokana na viongozi wa kitaifa na mkoa wa CDM kuwatia moyo wananchi kudai haki zao nakuonyesha wako pamoja nao kwa matangazo ya redio,magari barabarani,mabango n.k.Leo hii bila taarifa yoyote kwa wananchi wa Arusha tunaambiwa CDM wamemkubali Meya FEKI na CDM watachukua unaibu meya na TLP(wenye diwani mmoja).Hakika wanasiasa ni wapuuzi wa hali ya juu kabisa hapa duniani wao wanachowaza ni madaraka tu na wananchi tunafanya daraja lao.CHADEMA MNAWACHEKA NA KUWATUKANA CUF KWA KUFUNGA NDOA HALALI (KWA KATIBA YA ZNZ) HUKU NYIE MKIFUNGA NDOA YA MKEKA WA WEZI WA MCHANA.SHAME ON YOU SIMPLE MINDED LEADEARS OF CDM ESPECIALLY LEMA,ambaye nakuhesabu kama mcheza komedi fulani NA MAPOLISI WA aRUSHA.

Hakuna asiyetaka maelewano na amani na mwenzake lakini kwanini wadau hatujashirikishwa na kupewa taarifa kama wakati wa sekeseke na mnaendelea kukaa kimya mkijidai mko busy bungeni kumbe ni matumbo yenu tu.

Arusha huwa hatuangalii chama tunaamua kwa kuangalia watendaji na misimamo yao hivyo CDM msidhani mmepata mnaweza poteza kila kitu hapa kwa unafiki wenu.Au mmesahau Arusha ilikuwa ya NCCR na baadaye TLP na nyie hamkuwa na hata diwani?

PEOPLES POWER HAICHAGUI CHAMA!!!!!!!!!!!!

Mada hii iko hapa hapa kwa nini unafungua nyingine? It makes no sense at all na kupata solution ndiyo jambo jema na watumikiwe wapiga kura .
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom