Muwasho baada ya kuoga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muwasho baada ya kuoga

Discussion in 'JF Doctor' started by mrs kigeugeu., Jan 10, 2012.

 1. mrs kigeugeu.

  mrs kigeugeu. Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF. Binafsi nnatatizo la luwashwa mili mzima pindi nnapo toka kuoga.

  Mara nyingi hunitokea nikioga maji ya baridi, lakini pia sometime hunitokea hata kwa hot water, sijajua tatizo nini ila nshaenda hosp nikapewa dawa lakini hali hajabadilika had sasa. Msaada tafadhali.
   
 2. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 866
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Duh! Mkuu tatizo ka langu aisee! Ila me uwa nafanya ka napasha miguu moto inapungua kidogo! Acha wataalamu wamwage maushauri hapa
   
 3. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 5,894
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  Poleni sana waungwana!
  siku moja nilisikikiza kipindi cha afya radio moja walikuwa wakizungumza juu ya tatizo la kuwachwa mara tu mtu unapotoka kuoga:-
  Sababu
  Ni allegy inayosababishwa na bacteria ambao aidha wanakuwemo kwenye maji au kwenye kifaa kinachotewa maji hasa magudulia yenye mfuniko mdogo ambayo hutunza uchafu ambao ambao husababisha fungus ambao mwisho wa siku ndio huleta mwasho mwilini. Pia huweza kutokea kwenye mabomba kutokana na mifumo mingi ya maji kutokuwa salama mfano mabomba ya maji safi kupasuka sehemu ambayo ni makutano na bomba la maji taka etc!

  Tiba:
  Hiyo ni allegy ivo unashauriwa kutumia anti-allegy lakini pia unaweza tumia shower gel ambayo hutengeneza layer laini inayokuwa ni kinga kwako wakati wa kuoga!

  Naomba kuwasilisha, mtaniwia radhi hzo ni point chache ambazo nilizidaka siku hiyo sina utalaam wowote wa kiafya kwa hiyo sitegemei swali la kitaluma! Asanteni.
   
 4. mrs kigeugeu.

  mrs kigeugeu. Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 5. Futota

  Futota JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Pia kama unatumia hizi sabuni za dukani za kuogea kama Lux, na nyinginezo nyingi, hizi huwa zina mchanganyiko wa kemikali za aina nyingi ambapo huenda ukawa na allergy na mojawapo, hivyo basi acha kuogea hizi sabuni na tumia sabuni zenye natural products, kama vile zile za mwarobaini nk, zinapatika maduka ya vyakula asilia.
   
 6. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2012
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jaribu kubadili sabuni. Jaribu dettol Origal Tshs 2,500/= hadi 3000/= Supermarket. Achana na sabuni za kutandazwa Manzese,buguruni etc halaf wanauza pieces 3 buku. May be this can work.
   
 7. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Poleni sana wakuu!
   
 8. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,712
  Likes Received: 1,591
  Trophy Points: 280
  mimi na mdogo wangu tuna tatizo hilihili..
   
 9. missmakabeza

  missmakabeza New Member

  #9
  Feb 23, 2014
  Joined: Jun 21, 2013
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna m2 kanambia shabu ni dawa kama utaiweka kweny maj ya kuoga !
   
 10. B

  BIMBILISAMAJI JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2014
  Joined: Dec 11, 2013
  Messages: 291
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tumia piriton,..vidonge
   
 11. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2014
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,117
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180
  Hats Mimi ninahilo tatizo kinachonisaidia nikutokuogea maji ya baridi au kupigwa na hewa baada ya kuoga vinyoleo vinapata hewa
  hivyo watu wengi wenye Hilo tatizo
   
 12. ram

  ram JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2014
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 5,865
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa na tatizo kama lako, namshukuru Mungu now limeisha, ukiniuliza limeishaje sijui, ila fanya yafuatayo, usioge maji ya baridi na ukimaliza kuoga tu jikaushe na upake mafuta au lotion yako mara baada ya kujikausha, utasahahu kuwashwa
   
Loading...