Muwaache wanafunzi waliorudi likizo, msiwarubuni kimapenzi

Unataka matusi na kudharirishwa hapo sasa. Kwanza uwezi jua kama ni mwanafunzi pili yeye vinajidai kubehave kama viwatu vizima, salamu utasikia "mambo" au "mambo we kaka" wakat ukikaangalia umekapita age kama miaka 10
Mimi nawaulizaga mambo yangu utayaweza..?, Maana nikijibu poa nimemla
 
Huyo mzee anaishi wapi? Kama ni dar, basi ni sehemu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…