MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,299
Wadau nawasabahi.
Naomba nije kwenye Mada yangu.
Watanzania MZANZIBAR kutoka Zanzibar yupo HURU kugombea na Tumeshuhudia Mzee MWINYI Mzanzibar akiwa Rais wa Tanzania vile vile na RAIS SAMIA ambaye pia ni Mzanzibar Hapo inaonyesha URAIS wa TANZANIA ni wa MUUNGANO.
URAIS wa ZANZIBAR ni wa WAZANZIBAR TU hakuna MTANGANYIKA aliyewahi kugombea au kuwa RAIS.Ili MUUNGANO uwe sawa ni Vema na TANGANYIKA ikawepo ili URAIS wa TANGANYIKA ugombewe na Mtanganyika tu kama ilivyo ZANZIBAR na kwa kuwa TANGANYIKA na ZANZIBAR ziliungana na Kuzaa TANZANIA basi URAIS wa TANZANIA ugombewe na Mgombea kutoka Tanganyika au Zanzibar ili kuonyesha MUUNGANO wa Tanganyika na Zanzibar.