ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 973
- 665
Kama ni mkristo 70 x 7
Teh! Eti uwezo wangu wa kufikiri umeishia hapo! Sawa mkongwe nikuelewa.Kama huelewi maana ya viulizo manaake ndo uwezo wako wa kufikiria umeishia hapo.
Ungekua mkongwe ungepitia thread zote za huyu binti kabla ya kuniqoute
Mmmmh non senseMpaka ulipofika nakushukuru kwa hekima yako. Inaonyesha kabisa unamoyo wa suluhu. Sio jambo rahisi hekima kubwa sana inahitajika.
Hapo nikuokoa mstakabili wa watu watatu , wewe, mdogo wako na mtoto. Zaweza kuwepo njia tatu. Ya kwanza wewe kuondoka na mdogo wako kubaki. Pili wewe kubaki na dogo kuondoka. Tatu wote kuondoa.
Vikwazo wewe ni mwandoa, mwenyewe mimba ni mdogo wako, mtoto atakayezaliwa ni mtoto wako pia cause ni wa mdogo wako. Kuna uwezekano wa kujenga chuki ya milele baina yako na dogo.
Ukimsamehe dogo ukamchukia mume hakuna upendo wa kweli. Ukimuachia mdogo wako mji wako utafedheheka kwa muda mrefu na hiyo kitu.
Nakuomba kama ulivyowaomba wakupishe na wakakubali. Mumeo amekupa heshima kiasi omba hekima ya Mungu ikuokoe.
Kwa mtazamo wangu mpe mmeo nafasi ya Pili. Dogo arudi home wasamehe wote 3 yaan pamoja na mtoto. Ili apate kibali machoni pako Kwa sababu kuna wakati atakaa kwako.
Anglia pia msimamo wako wa kutozaa mpaka umalize shule kama unaweza kuwa sababu. Pima kama wewe ndiye ulikuwa unavuta zaidi hilo litokee. Iombe nafsi yako msamaha ili uwe radhi.
Wewe ni mkubwa mfichie mdogo wako aibu, watu wote watamsema kuwa amekutoa kwa mume wako. Mhifadhi ata pata shida muda mrefu sana ukitoka kwenye hiyoo ndoa
Hicho sio kigezo cha kuzaa nje ,Pole sana Leah naomba niseme kwamba nimeliangalia hili kiundani na kuona root cause (kisababishi ) cha tatizo lililojitokeza ni pale wewe uliposema kwamba usibebe mimba kwa kisingizio cha wewe kuwa masomoni.
Hongereni, nawe kama unataka mimba nje ya ndoa yako kulipiza kisasi nitafute.Habari za asubuhi wanajamvi,
Nimekuwa kwenye wakati mgumu kwa muda sasa.
Nimeolewa na Nina miaka miwili kwenye ndoa lakn sikuwa tayari kuzaa kwakuwa tulikubaliana mpaka nimalizie masomo yangu ya masters ambayo natarajia kumaliza mwaka huu.
Tumekuwa tunaishi vizuri tu na mume wangu nikimtii na kuwajibika kwa majukumu yangu yote kama mke kwa mumewe pamoja kuwa Ninafanya kazi na kusoma pia.
Mimi ni muajiriwa lkn mume wangu wangu ni mfanyabiashara kariakoo.
Nina mdogo wangu ambaye aligraduate mwaka jana akaomba akae kwangu wakati anatafuta kazi, sikuona shida nikamkubalia.
Tangu aje tumekuwa tukiishi vizuri tena kwa amani.
Kama Dada nilijitahidi kumtengea mdogo wangu bajeti yake toka kwenye mshahara wangu kwa kila mwenzi iliaweze kumudu kufuatilia mambo yake kirahisi.
Baada yakuwa nae kwa miaezi mitano nikaanza kuona mabadiriko kadhaa.
Akawa karibu na mume wangu sana, sikujali nikajua ni ushemeji tu.
Siku moja nilirudi nyumbani mapema sikukuta mtu.
Nikaendelea na maandalizi ya chakula cha jioni, nikiwa jikoni nikasikia sauti ya mume wangu na mdogo wangu wanabishana.
Niliposogea dirishani nisikilize vizuri huku nikichungulia nje nikaona dogo analia na mume wangu anambembeleza huku akimfuta machozi.
Nikatulia nione nini kinaendelea, nikasikia mume wangu anamwambia itabidi tuitoe maana Dada yako akijua wote tutakuwa nawakati mgumu..
Nikachukua simu yangu nikawa nawarekodi, baada ya muda wakaingia ndani nami nikajifanya sijui chchte.
Sikuwauliza chchte nikijipa muda wa kufanya utafiti zaidi.
Baada ya wiki, mdogo wangu akaniambia kuwa ana shida na Mimi.
Nikamsikiliza akaniambia kuwa ana mimba..
Sikuhamaki wala kuonyesha kama najua chchte, nilimuulize nani muhusika akajibu hajui.
Nikamwambia kama hujui sina namna ya kukusaidia siku ukijua utaniambia nijue jinsi ya kukusaidia.
Akaanza kulia na kunipigia magoti huku akisema nisamehe Dada, nikamwambia wala hujanikosea.
Nikamwambia wewe ni mtu mzima umeamua kuzaa kunashida gani?
Baba wa mtoto naamini yupo kwahiyo sikuhukumu.
Akasema, kuna jambo nataka nikwambie..
Niikamwambie aniambie..
Akasema lakini naomba unisamehe, shemeji ndo amenipa mimba.
Kwakweli niliumia sana, nikamuuliza wana muda gani tangu waanze mahusiano akajibu ni miezi minne sikujibu neno, nikaendelea na shughuli zangu.
Mume wangu alikuwa matembezi, aliporudi nikawaita wote wawili, nikamwambie Dogo aseme alichoniambia mbele ya shemeji yake.
Akasema tena ana mimba ya shemeji yake..mume wangu kusikia vile akataka kuwa mkali..
Nikamwambia hana haja ya kufoka, nikanyamaza sikusema wala kulaumu chchte.
Nikaamua kuwaita wazazi wangu na wake pia bila wao kujua,
Walipo kuja nikawambie Mimi ndiye niliyewaita lkn mume wangu na mdogo wangu ndiyo wanachakuwaambia.
Walipoulizwa wanasemaje dogo akaeleza kuwa anamimba ya shemeji yake..
Mume wangu alipoulizwa kwa unyonge sana alikubali. Wazazi wakaniuliza Nina maamuzi gani?
Nikawajibu nimeamua kumuachia mume mdogo wangu.
Wazazi wakanisihi nimsamehe na tuendelea na maisha ya ndoa..na dogo arudi kwa wazazi.
Niliwakatalia nakuwambia kuwa nisingeweza kuvumilia ndoa ya aina Ile..nikamwambia wasijipotezee muda wao kuniambia cha kufanya niliwaita waje wasikie uchafu niliofanyiwa then baada ya hapo mimi ndo nitoe maamuzi
Nilisisitiza maamuzi yangu nikutoendelea na ndoa tena.
Waliniambia nisichukue uamuzi bila kutafakari wakanipa wiki tatu za kufikiria Leo hii ni siku ya nane tangu nipewe muda wa kutafakari..
Niliwaomba niwe mbali na watuhumiwa wangu kipindi cha kutafakari.
Nikawasihisi watuhumiwa wao ndo wanipishe nyumbani kwangu, maana tunapoishi ni kwangu.
Wameondoka na sijui walipo kwenda.
Binafsi sijisikii kuendelea kuishi na huyu mwanaume ingawa kweli tumeshafunga ndoa lkn siwezi kuwa na raha ya ndoa ktk mazingira kama haya.
Najiuliza heshima yangu iko wapi?
Jamii inanionaje?
Na mtoto atayezaliwa ntamuonaje?
Naona dhambi hii ni kubwa sana siwezi kuibeba.
Wadau naomba msaada maamuzi niliyochukua naweza kuwa sahihi? Nisaidie plz.
Naomba plz sihitaji matusi wala mizaha nahitaji ushauri na faraja.
Naamini ktk wingi wamashauri hapakosi hekima.
Pia hata huyu dada usomi wake na elimu yake,anafikiri ndio inayotumika kuendesha ndoa,mdogo wake anaweza kua na vigezo kadhaa vya kumzidi dada yake,ndio hapo ni kwako umesema wakuachie huoni hata baadae mngelumbana na mumeo still ungetaka akuachie kwako,mwache akatafute pake,anacho kianzio yaani mdogo wako na mtoto mtarajiwa_we pamabna na kwako na elimu yako utapata msomi mwenzio mtaruka pamojaPagumu hapo. Pole. Kuna maswali ya kujiuliza.. Je, wakiishi pamoja uko tayari kumuita huyo mumeo shemeji? Mumeo alijuta na kuomba msamaha kwa dhati? Hapo kuna tatizo kubwa sana kwenye mahusiano wewe na mdogo wako.
Chuki yako haitakwisha kwake akiendelea kuishi na Mumeo na ndo aibu itaendelea milele.
Ushauri mumeo akijirudi itakua nafuu na mdogo wako angeondoka angeolewa baadae na mtu mwingine ungepata nafuu kidogo ya chuki. Kwa sasa hata ukija pata mtu mwingine baadae wa kukuoa akisikia hii story anaweza kubadili mawazo.
Ukiweza kapatane na mumeo.
Waliachana.Ni takribani miaka 8 sasa tangu hili jambo litokee. Ingependeza kama tungepata mrejesho kutoka kwa leah2. Hili suala liliishaje......?
Hahahahah......ndio fanya yaishe maana yake kakubali mchezo umeisha,wewe kama refa fanya utakalo.....chunguza sana umri na elimu na mali zako unazojiendesha utakavyo wakati unapaswa kua chini ya mamlakaAsante sana nao..kinachoniuma zaidi yeye anaona ni jambo la kawaida sana yaani hasumbuki..tangu nimegundua sijawahi kusikia neno nisamehe kutoka kwake zaidi ya kisema yaishe
Wakitoa hiyo mimba huyu dada atamnyanyasa mumewe badae pakishapoa,maana anaonekana ana ujuaji fulani usioonekana harakaDah mimi nmewaza sana . kiukweli mimi sijaoa lakin nayajua kiasi mambo ya ndoani maana naishi ndan ya jamii
Hapo ni pagumu sana, ukimuachia mume maumivu hayataisha kamwe,na utawachukia wote .
Ukisema uvumilie nae hapo ndo balaa mara mbil, watakucheat tena, mtoto atahitaji matunzo ya baba na mama maana hakuna raha dunian kama ya kuwa na baba. Ko uwepo wa mtoto utawalazimisha wawe karibu. Kwa hili dada sikushauri
USHAURI WANGU HIYO MIMBA TOENI , NI ZAMBI LAKIN APO AMNA NAMNA
Mbwa kabisaMungu gani anataka wanawake wapange ratiba za lini anatka kuzaa na lini hataki?? tatizo la wanawake wengi huku kusoma kwenu kunawapotosha sana, yaani wewe uolewe alafu hapohapo upange ratiba ya kuzaa, na sio wewe tu ni wengi wanagongewa wadogo zao au beki tatu na humu pia wamo ila hizo mimba hazijaingia ndio maana wako vifua mbele kukutetea.
Hilo umelitaka mwenyewe kwa kupanga ratiba za mechi na lini uzae, ndoa changa kabisa na makalenda kibaoooooooooooo. ulitakiwa ukae na ndoa yako kwanza kisha upate kamtoto kakumliwaza mzee ndio sasa ukasome hayo madudu yako. sasa masters ukae 2 years bila kuzaa, then PhD ukae 5 years bila kugegedwa we utakuwa unawazimu sio bure.
Mliobaki sasa hili ni somo kwenu, ukiolewa angalia ndoa kwanza kiasi cha 5 years, sio leo kesho unaanza minyodo ya masters. Ukija kuona jamaa ameparamia muhudumu wa tigo pesa anaweza kuoa kabisa na wewe ukabaki na makabrasha yako ya masters.
Halafu anajitapa hapa watajua mbele ya safariMkuu mkeo muuaji..na anaonekana anauzoefu na hilo..jiangalie
Hii ishu alitoa mrejesho aliachana na mume wake huyl dada.Halafu anajitapa hapa watajua mbele ya safari
"Naona dhambi hii ni kubwa sana siwezi kuibeba."......dhambi isiyo yako unaibebaje? Uamuzi uliochukua ni sahihi ikiwa moyo wako una amaniHabari za asubuhi wanajamvi,
Nimekuwa kwenye wakati mgumu kwa muda sasa.
Nimeolewa na Nina miaka miwili kwenye ndoa lakn sikuwa tayari kuzaa kwakuwa tulikubaliana mpaka nimalizie masomo yangu ya masters ambayo natarajia kumaliza mwaka huu.
Tumekuwa tunaishi vizuri tu na mume wangu nikimtii na kuwajibika kwa majukumu yangu yote kama mke kwa mumewe pamoja kuwa Ninafanya kazi na kusoma pia.
Mimi ni muajiriwa lkn mume wangu wangu ni mfanyabiashara kariakoo.
Nina mdogo wangu ambaye aligraduate mwaka jana akaomba akae kwangu wakati anatafuta kazi, sikuona shida nikamkubalia.
Tangu aje tumekuwa tukiishi vizuri tena kwa amani.
Kama Dada nilijitahidi kumtengea mdogo wangu bajeti yake toka kwenye mshahara wangu kwa kila mwenzi iliaweze kumudu kufuatilia mambo yake kirahisi.
Baada yakuwa nae kwa miaezi mitano nikaanza kuona mabadiriko kadhaa.
Akawa karibu na mume wangu sana, sikujali nikajua ni ushemeji tu.
Siku moja nilirudi nyumbani mapema sikukuta mtu.
Nikaendelea na maandalizi ya chakula cha jioni, nikiwa jikoni nikasikia sauti ya mume wangu na mdogo wangu wanabishana.
Niliposogea dirishani nisikilize vizuri huku nikichungulia nje nikaona dogo analia na mume wangu anambembeleza huku akimfuta machozi.
Nikatulia nione nini kinaendelea, nikasikia mume wangu anamwambia itabidi tuitoe maana Dada yako akijua wote tutakuwa nawakati mgumu..
Nikachukua simu yangu nikawa nawarekodi, baada ya muda wakaingia ndani nami nikajifanya sijui chchte.
Sikuwauliza chchte nikijipa muda wa kufanya utafiti zaidi.
Baada ya wiki, mdogo wangu akaniambia kuwa ana shida na Mimi.
Nikamsikiliza akaniambia kuwa ana mimba..
Sikuhamaki wala kuonyesha kama najua chchte, nilimuulize nani muhusika akajibu hajui.
Nikamwambia kama hujui sina namna ya kukusaidia siku ukijua utaniambia nijue jinsi ya kukusaidia.
Akaanza kulia na kunipigia magoti huku akisema nisamehe Dada, nikamwambia wala hujanikosea.
Nikamwambia wewe ni mtu mzima umeamua kuzaa kunashida gani?
Baba wa mtoto naamini yupo kwahiyo sikuhukumu.
Akasema, kuna jambo nataka nikwambie..
Niikamwambie aniambie..
Akasema lakini naomba unisamehe, shemeji ndo amenipa mimba.
Kwakweli niliumia sana, nikamuuliza wana muda gani tangu waanze mahusiano akajibu ni miezi minne sikujibu neno, nikaendelea na shughuli zangu.
Mume wangu alikuwa matembezi, aliporudi nikawaita wote wawili, nikamwambie Dogo aseme alichoniambia mbele ya shemeji yake.
Akasema tena ana mimba ya shemeji yake..mume wangu kusikia vile akataka kuwa mkali..
Nikamwambia hana haja ya kufoka, nikanyamaza sikusema wala kulaumu chchte.
Nikaamua kuwaita wazazi wangu na wake pia bila wao kujua,
Walipo kuja nikawambie Mimi ndiye niliyewaita lkn mume wangu na mdogo wangu ndiyo wanachakuwaambia.
Walipoulizwa wanasemaje dogo akaeleza kuwa anamimba ya shemeji yake..
Mume wangu alipoulizwa kwa unyonge sana alikubali. Wazazi wakaniuliza Nina maamuzi gani?
Nikawajibu nimeamua kumuachia mume mdogo wangu.
Wazazi wakanisihi nimsamehe na tuendelea na maisha ya ndoa..na dogo arudi kwa wazazi.
Niliwakatalia nakuwambia kuwa nisingeweza kuvumilia ndoa ya aina Ile..nikamwambia wasijipotezee muda wao kuniambia cha kufanya niliwaita waje wasikie uchafu niliofanyiwa then baada ya hapo mimi ndo nitoe maamuzi
Nilisisitiza maamuzi yangu nikutoendelea na ndoa tena.
Waliniambia nisichukue uamuzi bila kutafakari wakanipa wiki tatu za kufikiria Leo hii ni siku ya nane tangu nipewe muda wa kutafakari..
Niliwaomba niwe mbali na watuhumiwa wangu kipindi cha kutafakari.
Nikawasihisi watuhumiwa wao ndo wanipishe nyumbani kwangu, maana tunapoishi ni kwangu.
Wameondoka na sijui walipo kwenda.
Binafsi sijisikii kuendelea kuishi na huyu mwanaume ingawa kweli tumeshafunga ndoa lkn siwezi kuwa na raha ya ndoa ktk mazingira kama haya.
Najiuliza heshima yangu iko wapi?
Jamii inanionaje?
Na mtoto atayezaliwa ntamuonaje?
Naona dhambi hii ni kubwa sana siwezi kuibeba.
Wadau naomba msaada maamuzi niliyochukua naweza kuwa sahihi? Nisaidie plz.
Naomba plz sihitaji matusi wala mizaha nahitaji ushauri na faraja.
Naamini ktk wingi wamashauri hapakosi hekima.
Pole sana na hongera kwa kweli wewe ni mwanamke na nusu. Hujakurupuka umefanya kila kitu kwa hekima. Binafsi uamuzi uliochukua ni wa busara pia. Mungu akusaidie.Habari za asubuhi wanajamvi,