Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Dah mimi nmewaza sana . kiukweli mimi sijaoa lakin nayajua kiasi mambo ya ndoani maana naishi ndan ya jamii

Hapo ni pagumu sana, ukimuachia mume maumivu hayataisha kamwe,na utawachukia wote .

Ukisema uvumilie nae hapo ndo balaa mara mbil, watakucheat tena, mtoto atahitaji matunzo ya baba na mama maana hakuna raha dunian kama ya kuwa na baba. Ko uwepo wa mtoto utawalazimisha wawe karibu. Kwa hili dada sikushauri

USHAURI WANGU HIYO MIMBA TOENI , NI ZAMBI LAKIN APO AMNA NAMNA
 
Ni kosa kubwa kumdhalilisha mumeo Wa ndoa kiasi hicho yeye si wakwanza au Wa mwisho, si bora amezaa na
Mdogo wako jee angezaa na mtu mwingine kabsa unge fanyaje, fumilia kwenye ndoa kuna mengi yako yananafuu, pili ukitaka ndoa idumu ondoka kwako mfuate mwanaume hata kinyume na hapo utakuwa kimada tu.Nafikir mtarudiana ila Mimi siwezi kurudi, mwanaume hapewi taraka
Hivi huyu Dada ndo kamzalilisha mmewe ama mme ndo kamzalilisha mkewe? Nauliza tu
 
Mimi kuwasamehe ni kwa namna hii akizaa tu nimchukue mtoto uleee mwenyewe na huyo dogo aondoke akake hukoooo .. Ili kuondoa u karibu wa mume wangu na Mdogo MTU .. Naonekanaga mkorofi ila ni marufuku madogo kumsogelea Mr bila sababu .. Sababu ndiyo mwanzo wa shetani kupitia
 
mkuu pole sana kwa mkasa uliokupata. je, huyo mdogo wako ni TOKA NITOKE au mna undugu wa mbali kidogo? hata hivyo, kwa maoni yangu (ikiwa hii sio tamthlia), uamuzi uliochukua ni sahihi 101% na ninakupongeza kwa maamuzi yako chanya ya KUTUMBUA JIPU.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Habari bibie Leah

I feel sorry for you kwa kile kilichotokea.
Ninafikiri ukikubali kuendelea na huyo mmeo hakutakuwa na ndoa tena, hata kwenye Biblia inaruhusiwa kumwacha mwana ndoa kwa uasherati.

Bahati mbaya sana jipu limeota pabaya, I am very sure Mdogo wako hataolewa na huyo the so called mmeo, umetumia hekima kubwa sana kushirikisha Pande zote mbili.

You've got to think about uamzi wako huo, labda nikwambie kitu kimoja, achana na mume wako, samehe na sahau, ila wakiamua waoane na waoane, asipomuoa usimchukie Mdogo wako, na natakiwa kuwa karibu sana na Mdogo wako ndiye mwenye wakati mgumu kuzidi hata wew na anaweza chukua maamzi ya ajabu sana, msamehe Mdogo wako hata kama kakukosea pakubwa.
Unafikiri akiondoka na kubaki ni wapi atakuwa amempa unafuuu mdogo wake
 
Unataka uwe mgunduzi wa nn ktk huu ulimwengu kama ukiendelea Na huyo mumeo?
 
Pole sana dada Leah 2,

ushauri wangu, kama yeye ameshavunja masharti nawe hauna bud ya kuendelea nae, kaa pebeni,. Endelea kumuomba Mungu akusaidie upate mme mwenye busara na anae jitambua.,
Naunga mkono hoja mia kwa mia.
 
Mimi kuwasamehe ni kwa namna hii akizaa tu nimchukue mtoto uleee mwenyewe na huyo dogo aondoke akake hukoooo .. Ili kuondoa u karibu wa mume wangu na Mdogo MTU .. Naonekanaga mkorofi ila ni marufuku madogo kumsogelea Mr bila sababu .. Sababu ndiyo mwanzo wa shetani kupitia
Aisee una moyo binafsi hata kumlea huyu mtoto nisingeweza niwe mkweli kwa Mungu coz angenikumbusha kipindi kigumu kama hiki.
 
Pole sana.
Maisha yanahitaji furaha basi.
Unahitaji kufanya maambo 2
1. Kumsamehe mumeo na kusonga mbele
2. Kuachana na mumeo na kusonga mbele.

Ili upate furaha pia hutakiwi kufanya jambo 1
1. Kumruhusu mdogo wako aolewe na mumeo

Ili upate baraka kwa Mungu unahitajika kufanya jambo 1
1. Kutomchukia mtoto atakayezaliwa na mdogo wako.
 
Pole kwa mkasa mzito mtoa mada, ndo ups and down za maisha ya mwanadam hapa duniani....yangu ni haya.....Jambo la kwanza kaa chini ujiulize kwanni ulipinduliwa,ur weakness or his weakness? Pili, ni ngumu mdogo wako kuishi na mumeo huyo, sababu hyo mimba ni jambo la tamaa na wala si mapenzi ya dhati kati ya hao wawili. Tatu, mdogo wako hana maisha ya uhakika kwasasa kwan umesema alikuomba hifadhi ili atafute ajira! kitu ambacho kitamfanya awe na maisha magumu wakati wa kulea huo ujauzito japo alijitakia mwenyewe eidha makusud au bahat mbaya,so ni wwe kuamua kuendelea kumsaidia au lah!. Nne, maamuzi ya jumla kumbuka mna ndoa kabisa na si rahis kuweza kuwa na spirit uliyokuwa nayo mwanzo au kuonesha mapenzi ya awali...nakushauri hyo ndo ivunjwe kwa kufuata taratibu za kifamilia na kikanisa kila mtu ashike hamsini zake. Hapo utakuwa huru na salama zaid,kulikon kusameheana na kuishi kwa kinyongo.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Aisee una moyo binafsi hata kumlea huyu mtoto nisingeweza niwe mkweli kwa Mungu coz angenikumbusha kipindi kigumu kama hiki.
Sehemu angenikamata ni huyo mtoto tu tena namchukua baada ya mwezi moja sababu napenda watoto na nikimwachia mtoto Mdogo wangu mitajikuta natunza ni bora kumchukua mtoto kwa makubaliano ya kusamehewa tu... Wakati mwingine inabidi iwe hivyo
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mnaoshauri aachane na mumewe kuna mambo mawili kama si matatu:

1. Mumewe being desperate atamuoa huyo mdogo mtu (in which im not sure kama bado hajafanya hivyo) kawafukuza kwake na hajui walipokwenda. Mdogo mtu hana kazi, lazima atamtegemea shemeji mtu. Mume mtu ni mfanyabiashara, vi shilingi vya hapa na pale havimpigi chenga. In her life, she (leah) will never get away with this itakuja kuonekana ni mke alishindwa kumzalia mtoto and mume ended up eloping with her sister. Itakuuma zaidi kuliko kuachana na mumeo

2. Mtoto atakayezaliwa bado atakuwa anakupa uchungu, unless kama utakuwa na control juu ya ukuaji wake na aku acknowledge kama "mama mkubwa" point ambayo ukiachana na huyu mumeo hii heshima haitakuwepo tuu. A second thing you will not get away with it.

3. Undugu una heshima, utakapomrudisha mumeo nyumbani, utaset clear boundaries na ndugu yako kwamba una maamuzi juu ya ndoa yako kama mke wa ndoa,nafasi ambayo yeye hatakuwa nayo.

So uchaguzi bado ni wako, ila kwa upumbavu wangu naona madhara yakuachana ni ya muda mrefu na kidonda chake kitakuuma zaidi kuliko hilo lililotokea.
Good advice
 
Mumeo kafanya zinaa
u halali kumuacha na kuendelea na maisha mapya.
Uzuri ni kwamba hamna kiunganishi kuti yenu kuhusu hiyo ndoa.
Msamehe dogo shemejiye ndiye nyoka.
 
Back
Top Bottom