Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

1. Wazee walipaswa wamwambie dogo apige chini hiyo mimba...mkiruhusu mtoto azaliwe, basi huo uadui na mdogowako utakuwa wa milele ...
2. Baada ya hapo, mpige chini mumewako.
Ni hayo tu kwasasa...nitarudi baadae
 
Kama hutakuwa na mpango wa kuolewa tena achana naye. Iwapo utamwacha na kuolewa, waweza kupatwa na magumu zaidi. Kama unampenda mumeo msamehe.
KUSAMEHE kutoke wapi mkuu? hii skandali mbona unaichukulia kirahisi hivyo?
 
Hii nilishawahi kuishuhudia ambapo dada mtu alichukua uamuzi wa hatari sana,yaan alichemsha uji mwepesi na akumta amekaa bila kujua chochote akamwagia usoni...
 
Habari za asubuhi wanajamvi,

Nimekuwa kwenye wakati mgumu kwa muda sasa.

Nimeolewa na Nina miaka miwili kwenye ndoa lakn sikuwa tayari kuzaa kwakuwa tulikubaliana mpaka nimalizie masomo yangu ya masters ambayo natarajia kumaliza mwaka huu.

Tumekuwa tunaishi vizuri tu na mume wangu nikimtii na kuwajibika kwa majukumu yangu yote kama mke kwa mumewe pamoja kuwa Ninafanya kazi na kusoma pia.

Mimi ni muajiriwa lkn mume wangu wangu ni mfanyabiashara kariakoo.

Nina mdogo wangu ambaye aligraduate mwaka jana akaomba akae kwangu wakati anatafuta kazi, sikuona shida nikamkubalia.

Tangu aje tumekuwa tukiishi vizuri tena kwa amani.

Kama Dada nilijitahidi kumtengea mdogo wangu bajeti yake toka kwenye mshahara wangu kwa kila mwenzi iliaweze kumudu kufuatilia mambo yake kirahisi.

Baada yakuwa nae kwa miaezi mitano nikaanza kuona mabadiriko kadhaa.
Akawa karibu na mume wangu sana, sikujali nikajua ni ushemeji tu.

Siku moja nilirudi nyumbani mapema sikukuta mtu.

Nikaendelea na maandalizi ya chakula cha jioni, nikiwa jikoni nikasikia sauti ya mume wangu na mdogo wangu wanabishana.

Niliposogea dirishani nisikilize vizuri huku nikichungulia nje nikaona dogo analia na mume wangu anambembeleza huku akimfuta machozi.

Nikatulia nione nini kinaendelea, nikasikia mume wangu anamwambia itabidi tuitoe maana Dada yako akijua wote tutakuwa nawakati mgumu..

Nikachukua simu yangu nikawa nawarekodi, baada ya muda wakaingia ndani nami nikajifanya sijui chchte.

Sikuwauliza chchte nikijipa muda wa kufanya utafiti zaidi.

Baada ya wiki, mdogo wangu akaniambia kuwa ana shida na Mimi.

Nikamsikiliza akaniambia kuwa ana mimba..

Sikuhamaki wala kuonyesha kama najua chchte, nilimuulize nani muhusika akajibu hajui.

Nikamwambia kama hujui sina namna ya kukusaidia siku ukijua utaniambia nijue jinsi ya kukusaidia.

Akaanza kulia na kunipigia magoti huku akisema nisamehe Dada, nikamwambia wala hujanikosea.

Nikamwambia wewe ni mtu mzima umeamua kuzaa kunashida gani?

Baba wa mtoto naamini yupo kwahiyo sikuhukumu.

Akasema, kuna jambo nataka nikwambie..
Niikamwambie aniambie..
Akasema lakini naomba unisamehe, shemeji ndo amenipa mimba.

Kwakweli niliumia sana, nikamuuliza wana muda gani tangu waanze mahusiano akajibu ni miezi minne sikujibu neno, nikaendelea na shughuli zangu.

Mume wangu alikuwa matembezi, aliporudi nikawaita wote wawili, nikamwambie Dogo aseme alichoniambia mbele ya shemeji yake.

Akasema tena ana mimba ya shemeji yake..mume wangu kusikia vile akataka kuwa mkali..

Nikamwambia hana haja ya kufoka, nikanyamaza sikusema wala kulaumu chchte.

Nikaamua kuwaita wazazi wangu na wake pia bila wao kujua,

Walipo kuja nikawambie Mimi ndiye niliyewaita lkn mume wangu na mdogo wangu ndiyo wanachakuwaambia.

Walipoulizwa wanasemaje dogo akaeleza kuwa anamimba ya shemeji yake..

Mume wangu alipoulizwa kwa unyonge sana alikubali. Wazazi wakaniuliza Nina maamuzi gani?
Nikawajibu nimeamua kumuachia mume mdogo wangu.

Wazazi wakanisihi nimsamehe na tuendelea na maisha ya ndoa..na dogo arudi kwa wazazi.

Niliwakatalia nakuwambia kuwa nisingeweza kuvumilia ndoa ya aina Ile..nikamwambia wasijipotezee muda wao kuniambia cha kufanya niliwaita waje wasikie uchafu niliofanyiwa then baada ya hapo mimi ndo nitoe maamuzi
Nilisisitiza maamuzi yangu nikutoendelea na ndoa tena.

Waliniambia nisichukue uamuzi bila kutafakari wakanipa wiki tatu za kufikiria Leo hii ni siku ya nane tangu nipewe muda wa kutafakari..

Niliwaomba niwe mbali na watuhumiwa wangu kipindi cha kutafakari.

Nikawasihisi watuhumiwa wao ndo wanipishe nyumbani kwangu, maana tunapoishi ni kwangu.

Wameondoka na sijui walipo kwenda.

Binafsi sijisikii kuendelea kuishi na huyu mwanaume ingawa kweli tumeshafunga ndoa lkn siwezi kuwa na raha ya ndoa ktk mazingira kama haya.

Najiuliza heshima yangu iko wapi?

Jamii inanionaje?

Na mtoto atayezaliwa ntamuonaje?

Naona dhambi hii ni kubwa sana siwezi kuibeba.

Wadau naomba msaada maamuzi niliyochukua naweza kuwa sahihi? Nisaidie plz.

Naomba plz sihitaji matusi wala mizaha nahitaji ushauri na faraja.

Naamini ktk wingi wamashauri hapakosi hekima.
Pole sana dada hakika huo ni mtihani mzito sana. Naona baadhi ya wachangiaji wanachukulia suala la wewe kukataa kupata mtoto ukiwa unamalizia masterz yako kama sababu ya huyo mume kufanya huo uchafu,kwaweli hili hizi lawama si sahihi. Kila binadamu hakosi sababu ya kutenda jambo fulani, Yaani wanandoa wa zama hizi wanahalalisha uzinifu,Unapata ushahidi mumeo/mkeo ni mzinzi mwisho wa siku wanakuja kujuta mbele yetu na kuomba msamaha then tunawapokea kwa mikono miwili. Na wanawake ndio wamekuwa wahanga wakubwa maana ktk hali yakawaida mwanaume awe muaminifu/si mwaminifu akiwa na ushahidi wa usaliti wako hapo huwa hakuna majadiliano,ndoa ni lazima ifikie tamati. Kwanini wanawake mnawavumilia wanaume wazinzi? Hii hali mmeilea kwa muda mrefu sasa ni wakati wa kusema hapana. Dada leah wewe ni mwanamke jasiri kwa namna ulivyoweza kulikabili hilo jambo na hatua ulizochukua yaonyesha ni mwanamke wa kipekee sana,Mola akuongoze dada uweze kumaliza mkia uliobaki. Hapo hakuna kurudi nyuma huyo (mwanaharamu) hustahili kuishi nae hata kwa sekunde,Amekuvunjia heshima ktk kiwango cha ufedhuli wa hali juu sana, huu ni usaliti ndani ya familia na hauvumiliki. Mshukuru mungu huyo jamaa hukuzaa naye na naamini hayo yote uliyapitia ulikjwa ni mtihani Mungu anataka kukuonyesha mumeo ni mtu wa aina gani. Kuanzia sasa huyo jamaa he is just a stranger na kuiepusha familia na uadui zaidi maana vizazi na vizazi vitazungumza juu ya hilo iwapo utaacha mdogo wa amzalie mtoto huyo jamaa,ni muhimu kumrudisha mdogo wako nyumbani mzungumze kifamilia muyamalize,ni muhimu mimba itolewe na nyie muanza maisha mapya,nasisitiza ni muhimu kufuta historia ya huyo jamaa ndani ya ukoo wenu. Pole sana
 
Duh! Huyo dada yako kiboko. Ana moyo wa chuma aseee

Angefanyaje na kapenda , na karudi umri wa kuzaa ushapita , pia alikuja gunduwa wakati keshachelewa kwamba watoto washazaliwa !
hapo walitengana zaidi ya miaka 20 lakini hakupata wa kumpeti kama yule.

Mapenzi yana nguvu mkuu ,
 
1. Wazee walipaswa wamwambie dogo apige chini hiyo mimba...mkiruhusu mtoto azaliwe, basi huo uadui na mdogowako utakuwa wa milele ...
2. Baada ya hapo, mpige chini mumewako.
Ni hayo tu kwasasa...nitarudi baadae

Kuna mzee mmoja aliniambiaga kitu lakini pamajo na hii scandar ya huyu dada ndo nimeona. Alisema kwamba levo za maisha zipo na zitaendelea kuwepo. Kwamba kama mtu anakuzidi tambua hilo. Akanambia hivi: "mwanangu sikujui hunijui; ila mwanamke anaekuzidi elimu; anaekuzidi kipato na hela; anaekuzidi urefu, sahau usidhani hiyo ndoa itadumu"! Sasa nayaona kwa wenzangu.
Af pili; kwenye tatizo kila mtu hujitetea. Dada sikujui hunijui lakini kama tungekuwa tunaweza ona ndani ya nafsi yako; kwa hela zako na elimu yako umechangia 70% ya haya mambo kutokea. Maana wewe ndoto zako ziko mbali saaaana. Ndo maana jama akaona bora huyo wanaenda sawa
 
Yesu alisema jambo la kuachna lilisemwa Hivyo kwa sababu ya mioyo yenu kuwa migumi. Lakini tangu Mwanzo Mungu hakuumba kuachna. Kuachna sio option ya Mungu .
2. Kwa mtazamo wangu alimwachia mdogo wake atachukua milele

3.akiondoka atamuumiza milele sababu dogo atajihisi amevunja ndoa ya dada. Kwangu mimi abaki.

Kuondoka home yeye ndiye aliyewaambia wampishe atafakari.
Msimwingize yesu kwenye uzinzi wenu bana haya ni mambo yenu wanadamu.
 
Dada Leah kweli pole saaana,ndoa ni maisha ni zaidi ya pesa kwa hilo lililokukuta hakika hutoipata amani wala furaha ,,,,angalau tu umwache mumeo ili umpate mwingine ataye kupa hata faraja walau....mumeo kakosa hekima mpaka kashindwa tofautisha kati ya chungwa na chenza
 
Pole sana dada mm ni mtu mzima ushaur wangu soma maandiko matakatifu ya mungu kuhusu mume na mke ktk ndoa. Google BIBLIA INASEMA NINI KUHUSU MME AU MKE KUFANYA UASHERATI. utapata jibu sahihi na maamuzi utafanya. Pole
 
How old are you?
Partly kabla ya kuanza kumlaumu mumeo nitakulaumu na wewe.
  1. Kutokuufwatilia kwa karibu uhusiano kati ya mdogo wako na shemeji yake. Mbali na kuwa ni ndugu yako wa damu,utakuwa unajua tabia zake na ni mwanamke kama wanawake wengine.
  2. Hilo la kuchelewa kumzalia mumeo mtoto. Inaweza kuwa lilikuwa jambo lako tuu na namna alivyokubali inaweza kuwa kutokana na sababu zako ila je? mliridhiana pasipo shaka kwamba atakubali wewe umalize kusoma ndio umzalie mtoto?
Wanaume ni wadhaifu being a man I know this, na wanahitaji kufuatiliwa kwa ukaribu sana hasa kwenye mambo kama haya yanayohusisha hisia. Ki mtazamo sijui namna mambo unavyoyaendesha nyumbani kwako ni maoni yangu kuwa unaipa sana kazi yako na masomo as priority kuliko mume wako (sisemi usithamini kazi) to me, family comes first. Na hiyo weakness shetani ndio akapitia hapo hapo.

Bottom line: Fuata ushauri wa wazazi, dogo arudi kijijini ajifungue mtoto, mtoto akiwa mkubwa, aje hapo nyumbani, kaeni kikao cha kifamilia mdogo wako na mumeo waombe msamaha kwa jambo lililotokea na mzungumzie utaratibu wa matunzo ya mtoto. Life goes on. Ukishindwa hilo. File for a divorce ukaolewe na mtu atakayekusubiria umalize shule (tena Masters, unga na PHd kabisa) ndio ukubali kumzalia mtoto.

Nimependa Ushauri wako Aisee.Nampango 2030 Kugombea Urais Utaweza Pata Shavu Ata La Ushauri Wa Rais.Unaonekana Ni Mtu wa Heshima.Appreciate 100%
 
Dhambi ipi ambayo Yesu haingizwi?
Alikufya msalabani kwa ajili ya nani?
Unakuwaje mtakatifu bila damu ya Yesu?
Je dhambi moja inahalalisha nyingi?
Kiwango cha hekima hupimwa na wingi wa msamaha na makosa?
Ayesamehe sana husamehewa sana pia
 
Msimwingize yesu kwenye uzinzi wenu bana haya ni mambo yenu wanadamu.
Dhambi ipi ambayo Yesu haingizwi?
Alikufya msalabani kwa ajili ya nani?
Unakuwaje mtakatifu bila damu ya Yesu?
Je dhambi moja inahalalisha nyingi?
Kiwango cha hekima hupimwa na wingi wa msamaha na makosa?
Ayesamehe sana husamehewa sana pia
 
"Kilichounganishwa na Mungu, mwanadam hawezi kivunja..... mme na amwache mke wake ikiwa tu kwa sababu ya uzinzi..."
Naona mke nae amwache mmewe kwa ikiwa tu kwa sababu ya uzinz.
 
Leah achana na huyo mbw.... Ibilisi hana adabu na kaleta laana kutembea na damu moja huyo amekupa jeraha kubwa sana ambalo halisahauliki
 
Habari za asubuhi wanajamvi,

Nimekuwa kwenye wakati mgumu kwa muda sasa.

Nimeolewa na Nina miaka miwili kwenye ndoa lakn sikuwa tayari kuzaa kwakuwa tulikubaliana mpaka nimalizie masomo yangu ya masters ambayo natarajia kumaliza mwaka huu.

Tumekuwa tunaishi vizuri tu na mume wangu nikimtii na kuwajibika kwa majukumu yangu yote kama mke kwa mumewe pamoja kuwa Ninafanya kazi na kusoma pia.

Mimi ni muajiriwa lkn mume wangu wangu ni mfanyabiashara kariakoo.

Nina mdogo wangu ambaye aligraduate mwaka jana akaomba akae kwangu wakati anatafuta kazi, sikuona shida nikamkubalia.

Tangu aje tumekuwa tukiishi vizuri tena kwa amani.

Kama Dada nilijitahidi kumtengea mdogo wangu bajeti yake toka kwenye mshahara wangu kwa kila mwenzi iliaweze kumudu kufuatilia mambo yake kirahisi.

Baada yakuwa nae kwa miaezi mitano nikaanza kuona mabadiriko kadhaa.
Akawa karibu na mume wangu sana, sikujali nikajua ni ushemeji tu.

Siku moja nilirudi nyumbani mapema sikukuta mtu.

Nikaendelea na maandalizi ya chakula cha jioni, nikiwa jikoni nikasikia sauti ya mume wangu na mdogo wangu wanabishana.

Niliposogea dirishani nisikilize vizuri huku nikichungulia nje nikaona dogo analia na mume wangu anambembeleza huku akimfuta machozi.

Nikatulia nione nini kinaendelea, nikasikia mume wangu anamwambia itabidi tuitoe maana Dada yako akijua wote tutakuwa nawakati mgumu..

Nikachukua simu yangu nikawa nawarekodi, baada ya muda wakaingia ndani nami nikajifanya sijui chchte.

Sikuwauliza chchte nikijipa muda wa kufanya utafiti zaidi.

Baada ya wiki, mdogo wangu akaniambia kuwa ana shida na Mimi.

Nikamsikiliza akaniambia kuwa ana mimba..

Sikuhamaki wala kuonyesha kama najua chchte, nilimuulize nani muhusika akajibu hajui.

Nikamwambia kama hujui sina namna ya kukusaidia siku ukijua utaniambia nijue jinsi ya kukusaidia.

Akaanza kulia na kunipigia magoti huku akisema nisamehe Dada, nikamwambia wala hujanikosea.

Nikamwambia wewe ni mtu mzima umeamua kuzaa kunashida gani?

Baba wa mtoto naamini yupo kwahiyo sikuhukumu.

Akasema, kuna jambo nataka nikwambie..
Niikamwambie aniambie..
Akasema lakini naomba unisamehe, shemeji ndo amenipa mimba.

Kwakweli niliumia sana, nikamuuliza wana muda gani tangu waanze mahusiano akajibu ni miezi minne sikujibu neno, nikaendelea na shughuli zangu.

Mume wangu alikuwa matembezi, aliporudi nikawaita wote wawili, nikamwambie Dogo aseme alichoniambia mbele ya shemeji yake.

Akasema tena ana mimba ya shemeji yake..mume wangu kusikia vile akataka kuwa mkali..

Nikamwambia hana haja ya kufoka, nikanyamaza sikusema wala kulaumu chchte.

Nikaamua kuwaita wazazi wangu na wake pia bila wao kujua,

Walipo kuja nikawambie Mimi ndiye niliyewaita lkn mume wangu na mdogo wangu ndiyo wanachakuwaambia.

Walipoulizwa wanasemaje dogo akaeleza kuwa anamimba ya shemeji yake..

Mume wangu alipoulizwa kwa unyonge sana alikubali. Wazazi wakaniuliza Nina maamuzi gani?
Nikawajibu nimeamua kumuachia mume mdogo wangu.

Wazazi wakanisihi nimsamehe na tuendelea na maisha ya ndoa..na dogo arudi kwa wazazi.

Niliwakatalia nakuwambia kuwa nisingeweza kuvumilia ndoa ya aina Ile..nikamwambia wasijipotezee muda wao kuniambia cha kufanya niliwaita waje wasikie uchafu niliofanyiwa then baada ya hapo mimi ndo nitoe maamuzi
Nilisisitiza maamuzi yangu nikutoendelea na ndoa tena.

Waliniambia nisichukue uamuzi bila kutafakari wakanipa wiki tatu za kufikiria Leo hii ni siku ya nane tangu nipewe muda wa kutafakari..

Niliwaomba niwe mbali na watuhumiwa wangu kipindi cha kutafakari.

Nikawasihisi watuhumiwa wao ndo wanipishe nyumbani kwangu, maana tunapoishi ni kwangu.

Wameondoka na sijui walipo kwenda.

Binafsi sijisikii kuendelea kuishi na huyu mwanaume ingawa kweli tumeshafunga ndoa lkn siwezi kuwa na raha ya ndoa ktk mazingira kama haya.

Najiuliza heshima yangu iko wapi?

Jamii inanionaje?

Na mtoto atayezaliwa ntamuonaje?

Naona dhambi hii ni kubwa sana siwezi kuibeba.

Wadau naomba msaada maamuzi niliyochukua naweza kuwa sahihi? Nisaidie plz.

Naomba plz sihitaji matusi wala mizaha nahitaji ushauri na faraja.

Naamini ktk wingi wamashauri hapakosi hekima.
Mdogo wangu Leah uamuzi wa kuachana na mumeo ni sahihi, nachokiona hapo katika ndoa yako na wewe umechangia sana inaonekana ulikuwa bize sana na kusahau majukumu ya kitandani na yale ya kuwa karibu na mumeo hivyo mdogo wako asivyo na haya akapata nafasi, vilevile mdogo wako anamakosa inaonekana alikuwa na tabia ya tamaa iliyopitiliza.
Mdogo wako mtakuwa maadui hadi mnaondoka dunia hii, hivyo jitahidi kuepuka hilo
Nakushauri ukianzisha mahusiano mengine kuwa makini na uwe karibu sana na mwenzi wako
 
Pole sana dada hakika huo ni mtihani mzito sana. Naona baadhi ya wachangiaji wanachukulia suala la wewe kukataa kupata mtoto ukiwa unamalizia masterz yako kama sababu ya huyo mume kufanya huo uchafu,kwaweli hili hizi lawama si sahihi. Kila binadamu hakosi sababu ya kutenda jambo fulani, Yaani wanandoa wa zama hizi wanahalalisha uzinifu,Unapata ushahidi mumeo/mkeo ni mzinzi mwisho wa siku wanakuja kujuta mbele yetu na kuomba msamaha then tunawapokea kwa mikono miwili. Na wanawake ndio wamekuwa wahanga wakubwa maana ktk hali yakawaida mwanaume awe muaminifu/si mwaminifu akiwa na ushahidi wa usaliti wako hapo huwa hakuna majadiliano,ndoa ni lazima ifikie tamati. Kwanini wanawake mnawavumilia wanaume wazinzi? Hii hali mmeilea kwa muda mrefu sasa ni wakati wa kusema hapana. Dada leah wewe ni mwanamke jasiri kwa namna ulivyoweza kulikabili hilo jambo na hatua ulizochukua yaonyesha ni mwanamke wa kipekee sana,Mola akuongoze dada uweze kumaliza mkia uliobaki. Hapo hakuna kurudi nyuma huyo (mwanaharamu) hustahili kuishi nae hata kwa sekunde,Amekuvunjia heshima ktk kiwango cha ufedhuli wa hali juu sana, huu ni usaliti ndani ya familia na hauvumiliki. Mshukuru mungu huyo jamaa hukuzaa naye na naamini hayo yote uliyapitia ulikjwa ni mtihani Mungu anataka kukuonyesha mumeo ni mtu wa aina gani. Kuanzia sasa huyo jamaa he is just a stranger na kuiepusha familia na uadui zaidi maana vizazi na vizazi vitazungumza juu ya hilo iwapo utaacha mdogo wa amzalie mtoto huyo jamaa,ni muhimu kumrudisha mdogo wako nyumbani mzungumze kifamilia muyamalize,ni muhimu mimba itolewe na nyie muanza maisha mapya,nasisitiza ni muhimu kufuta historia ya huyo jamaa ndani ya ukoo wenu. Pole sana

Binadam wengine siwaelewagi kabisa.Na wewe unaona huo ushauri unafaa! Dhambi zote mbele za Mungu nasikiaga sawa.Ila ya kumtoa mtu uhai aise! Labda kwanza ujiunge na Boko Haram au Al Shabab! Mdogo wake si ana mbunye? Sasa mimba watoe ya nini! Kashaona chaguo la mme wake. Kama vipi amuachie mdogo wake aendelee na maisha yake. Kama fedheha ilishatokea; ya kutoa mimba yataleta nyingine. Hapo simple mbona! Amesababisha hajasababisha lilishatokea. Mi nikiwa na uhakika wife wangu kuna mshikaji kachovya, basi huyo huyo ameona ndo wa maana! Tunawaita watu tunaachana kihalali kabisa tena kwa amani
 
aise inawezakana alizidisha sana usomi mpaka kusahau majukumu ya familia kama mke ndiyo maana jamaa uzalendo ukamshinda atatembea na mdogo wake ajifunze cku nyingine ndoa na usomi ni vitu viwili tofauti
Lakini haihalalishi kutembea na mdogo mtu ningekua Mimi namurestisha in peace chah upuuzi gani huo bora mnavologangwa
 
Habari za asubuhi wanajamvi,

Nimekuwa kwenye wakati mgumu kwa muda sasa.

Nimeolewa na Nina miaka miwili kwenye ndoa lakn sikuwa tayari kuzaa kwakuwa tulikubaliana mpaka nimalizie masomo yangu ya masters ambayo natarajia kumaliza mwaka huu.

Tumekuwa tunaishi vizuri tu na mume wangu nikimtii na kuwajibika kwa majukumu yangu yote kama mke kwa mumewe pamoja kuwa Ninafanya kazi na kusoma pia.

Mimi ni muajiriwa lkn mume wangu wangu ni mfanyabiashara kariakoo.

Nina mdogo wangu ambaye aligraduate mwaka jana akaomba akae kwangu wakati anatafuta kazi, sikuona shida nikamkubalia.

Tangu aje tumekuwa tukiishi vizuri tena kwa amani.

Kama Dada nilijitahidi kumtengea mdogo wangu bajeti yake toka kwenye mshahara wangu kwa kila mwenzi iliaweze kumudu kufuatilia mambo yake kirahisi.

Baada yakuwa nae kwa miaezi mitano nikaanza kuona mabadiriko kadhaa.
Akawa karibu na mume wangu sana, sikujali nikajua ni ushemeji tu.

Siku moja nilirudi nyumbani mapema sikukuta mtu.

Nikaendelea na maandalizi ya chakula cha jioni, nikiwa jikoni nikasikia sauti ya mume wangu na mdogo wangu wanabishana.

Niliposogea dirishani nisikilize vizuri huku nikichungulia nje nikaona dogo analia na mume wangu anambembeleza huku akimfuta machozi.

Nikatulia nione nini kinaendelea, nikasikia mume wangu anamwambia itabidi tuitoe maana Dada yako akijua wote tutakuwa nawakati mgumu..

Nikachukua simu yangu nikawa nawarekodi, baada ya muda wakaingia ndani nami nikajifanya sijui chchte.

Sikuwauliza chchte nikijipa muda wa kufanya utafiti zaidi.

Baada ya wiki, mdogo wangu akaniambia kuwa ana shida na Mimi.

Nikamsikiliza akaniambia kuwa ana mimba..

Sikuhamaki wala kuonyesha kama najua chchte, nilimuulize nani muhusika akajibu hajui.

Nikamwambia kama hujui sina namna ya kukusaidia siku ukijua utaniambia nijue jinsi ya kukusaidia.

Akaanza kulia na kunipigia magoti huku akisema nisamehe Dada, nikamwambia wala hujanikosea.

Nikamwambia wewe ni mtu mzima umeamua kuzaa kunashida gani?

Baba wa mtoto naamini yupo kwahiyo sikuhukumu.

Akasema, kuna jambo nataka nikwambie..
Niikamwambie aniambie..
Akasema lakini naomba unisamehe, shemeji ndo amenipa mimba.

Kwakweli niliumia sana, nikamuuliza wana muda gani tangu waanze mahusiano akajibu ni miezi minne sikujibu neno, nikaendelea na shughuli zangu.

Mume wangu alikuwa matembezi, aliporudi nikawaita wote wawili, nikamwambie Dogo aseme alichoniambia mbele ya shemeji yake.

Akasema tena ana mimba ya shemeji yake..mume wangu kusikia vile akataka kuwa mkali..

Nikamwambia hana haja ya kufoka, nikanyamaza sikusema wala kulaumu chchte.

Nikaamua kuwaita wazazi wangu na wake pia bila wao kujua,

Walipo kuja nikawambie Mimi ndiye niliyewaita lkn mume wangu na mdogo wangu ndiyo wanachakuwaambia.

Walipoulizwa wanasemaje dogo akaeleza kuwa anamimba ya shemeji yake..

Mume wangu alipoulizwa kwa unyonge sana alikubali. Wazazi wakaniuliza Nina maamuzi gani?
Nikawajibu nimeamua kumuachia mume mdogo wangu.

Wazazi wakanisihi nimsamehe na tuendelea na maisha ya ndoa..na dogo arudi kwa wazazi.

Niliwakatalia nakuwambia kuwa nisingeweza kuvumilia ndoa ya aina Ile..nikamwambia wasijipotezee muda wao kuniambia cha kufanya niliwaita waje wasikie uchafu niliofanyiwa then baada ya hapo mimi ndo nitoe maamuzi
Nilisisitiza maamuzi yangu nikutoendelea na ndoa tena.

Waliniambia nisichukue uamuzi bila kutafakari wakanipa wiki tatu za kufikiria Leo hii ni siku ya nane tangu nipewe muda wa kutafakari..

Niliwaomba niwe mbali na watuhumiwa wangu kipindi cha kutafakari.

Nikawasihisi watuhumiwa wao ndo wanipishe nyumbani kwangu, maana tunapoishi ni kwangu.

Wameondoka na sijui walipo kwenda.

Binafsi sijisikii kuendelea kuishi na huyu mwanaume ingawa kweli tumeshafunga ndoa lkn siwezi kuwa na raha ya ndoa ktk mazingira kama haya.

Najiuliza heshima yangu iko wapi?

Jamii inanionaje?

Na mtoto atayezaliwa ntamuonaje?

Naona dhambi hii ni kubwa sana siwezi kuibeba.

Wadau naomba msaada maamuzi niliyochukua naweza kuwa sahihi? Nisaidie plz.

Naomba plz sihitaji matusi wala mizaha nahitaji ushauri na faraja.

Naamini ktk wingi wamashauri hapakosi hekima.
Pole sana dada,nakubaliana na uamuzi wako kwa kiasi kikubwa tu.Lakini kabla ya kufanya uamuzi ni lazima uwe na taarifa za kutosha ya huku unapoondoka na kule uendako.Ni rahisi sana kuwalaumu mr wako na mdogo wako,pia ni vizuri kujiuliza TATIZO ni nini?,ni wao au WEWE?.Nakupa hongera kwa utulivu wako na namna ulivyoikabili hii hali.What happens in our daily life doesn't matter but our REACTION to it.
 
Back
Top Bottom