TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

Mwenza kapitia magumu. Wenda msongo umechangia.
Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia.

Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia Vyombo vya Habari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
 
Naungana na Makamu wa Rais kuwapa WATANZANIA wote pole kwa MSIBA mzito,

Namwombea Mzee Arfidhi Pumziko jema sana apumzike kwa Amani,
Nimewaza sana nikajiuliza hivi huyu Mama Rais angeolewa na Mume mwenye Gubu kama wanaume wa kiswahili wakina Jakaya, au msukuma sijui nani ikulu hisingekalika.

Baba alikuwa mtu mwema sana Mungu Amrehemu ampatie KAULI thabiti kwenye kaburi lake Ameeni

WATANZANIA tuombe tujue eda tunakaa siku ngapi.

Anaenda kama alivyokuja. Mungu kwelu fundi.
 
Naungana na Makamu wa Rais kuwapa WATANZANIA wote pole kwa MSIBA mzito,

Namwombea Mzee Arfidhi Pumziko jema sana apumzike kwa Amani,
Nimewaza sana nikajiuliza hivi huyu Mama Rais angeolewa na Mume mwenye Gubu kama wanaume wa kiswahili wakina Jakaya, au msukuma sijui nani ikulu hisingekalika.

Baba alikuwa mtu mwema sana Mungu Amrehemu ampatie KAULI thabiti kwenye kaburi lake Ameeni

WATANZANIA tuombe tujue eda tunakaa siku ngapi.
Waliisha achana siku nyingi sema alikuwa mume ceremonial tu
 
As long as hio familia inapitia wakati mgumu watu walioumizwa watashangilia tu...

Kwenye Biblia unakumbuka Mungu alimpa adhabu Daudi?, Daudi alilala na Bathsheba, alikuwa mke wa askari wake mwaminifu aitwaye Uria, Bathsheba akapata ujauzito , Daudi akapanga njama Uria afe vitani...

Mungu akamtuma Nathani kumuambia Daudi juu ya dhambi aliyofanya...

Yule mtoto wa Bathsheba baada ya kuzaliwa Mungu akampiga kwa ugonjwa mbaya, yule mtoto akafariki licha ya Daudi kutubu , kuomba na kufunga kwa siku saba...

Daudi alitubu mbele ya Nathani ili kifo kisimpate yeye...

Wewe unafikiri Mungu alikosea kumpiga yule mtoto ugonjwa? Unafikiri Mungu alikosea? Yule mtoto alikuwa na kosa gani?

Kama umeelewa utafahamu kwanini watu wanashangilia...

Mungu alimpiga yule mtoto kwa ugonjwa ili Daudi apitie maumivu, Mfalme Daudi alifunga na kuomba kwa siku saba akilala sakafuni ili Mungu asimpige kwa ugonjwa yule mtoto afe... lakini Mungu akaamua alicho amua...

Nadhani umenielewa...
Sawa
 
Ipo ivi st Anne, mwana Liverpool, watu wanashangilia vifo vyao Kwa sababu ya madhila na dhihaka hao watu wa serikali/Dola na ndgu zao krbu wanavyowatendea wananchi na wakosoaji serikali Kwa ujumla jinsi wanavyofanyiwa kutekwa,kuuwawa,kung'olewa meno na plies,kulawitiwa nk na still Bado wakifa Wana dhihaki vifo vyao as if wao au ndugu zao km huyo mzee ameir hawatofariki...
Mfno kifo Cha magufuli na Cha Oct29, watu wengi wa Dola akiwemo Rais Samia alidhihaki, kifo ni kifo tu, kifo Cha magu akina zitto kabwe,ridhiwani kikwete,Makamba junior na senior,Nape Nnauye,Rais Samia mwnywe ht kbl yakutangaza kifo chake nknk kdgo kikwete mwnywe alikuwa smart na ulimi wake lkn nae anaekwa kundi hilohilo) wote hao walishangilia sana kifo Cha magufuli Bdo raia wa kawaida na watumishi... So hio ni demokrasia mbaya tuliyoiasisi, hapo Bado akifa au akiumwa ht traffic police raia wanavyofurahi aisseeeh!!
Sawa
 
Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia.

Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia Vyombo vya Habari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
 
Attachments

  • d94fa653e14d12a00ca9d14ae8b0018b_1788782699448.mp4
    7.1 MB
Back
Top Bottom