TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

Kwa nini anatajwa kama mume wa Samia, badala ya kutajwa 'ALIYEKUWA mume wa Samia? Mbona tuliambiwa kuwa Samia alikwishamwacha, na kwamba alimwambia atafute mwanamke mwingine, na kwamba yeye angemlipia mahari.

Pole sana kwa wanafamilia, marehemu hajawahi kushiriki kwenye uovu wowote wa yule mwanamke na mwanae.
Taharuki
 
IMG_20250131_172039.jpg
 
Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia.

Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia Vyombo vya Habari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Msiba upo wapi?
 
Huyu Baba amewakosea nini Watanzania?
As long as hio familia inapitia wakati mgumu watu walioumizwa watashangilia tu...

Kwenye Biblia unakumbuka Mungu alimpa adhabu Daudi?, Daudi alilala na Bathsheba, alikuwa mke wa askari wake mwaminifu aitwaye Uria, Bathsheba akapata ujauzito , Daudi akapanga njama Uria afe vitani...

Mungu akamtuma Nathani kumuambia Daudi juu ya dhambi aliyofanya...

Yule mtoto wa Bathsheba baada ya kuzaliwa Mungu akampiga kwa ugonjwa mbaya, yule mtoto akafariki licha ya Daudi kutubu , kuomba na kufunga kwa siku saba...


Daudi alitubu mbele ya Nathani ili kifo kisimpate yeye...

Wewe unafikiri Mungu alikosea kumpiga yule mtoto ugonjwa? Unafikiri Mungu alikosea? Yule mtoto alikuwa na kosa gani?

Kama umeelewa utafahamu kwanini watu wanashangilia...

Mungu alimpiga yule mtoto kwa ugonjwa ili Daudi apitie maumivu, Mfalme Daudi alifunga na kuomba kwa siku saba akilala sakafuni ili Mungu asimpige kwa ugonjwa yule mtoto afe... lakini Mungu akaamua alicho amua...

Nadhani umenielewa...
 
Ukiona mtu anashangilia kifo usipate Shida icho ni kipimo tosha kujua Upumbavu wa uwezo wake wa Akili

Vipi unashangalia kifo cha mwengine wakati nawewe utakufa ujui lini pengine leo au kesho‼️‼️

Ichi ni kipimo sahihi ya Upumbavu wa Akili ya muhusika✍️
 
Back
Top Bottom