TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia.

Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia Vyombo vya Habari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Nadhani kuna malaika hakuelewa maelekezo ya kazi yake...
 
Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia.

Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia Vyombo vya Habari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Mzee poa sana hakutaka makuu, Mungu huinua awatakaye, mwenyenzi Mungu amlaze mahala pema peponi. Ndiyo ilikuwa muda wa kula maisha ila ndiyo hivyo duniani siyo kwetu!
 
Hao wenyewe Wana siasa wako,wafanyabiashara,polisi Dola na watumishi umma unawaona sio wapumbavu Wana akili nyingi sana kama wewe wameshangilia vifo vya watu na kuvibariki... Hujui kitu bro!!

Sijaona mtumishi yoyote kashangilia kifo cha yoyote zaidi vile Vifo vimetokea kwa ukiukwaji wa Sheria zetu

Mbona D9 mbona 7+7
hakuna Vifo ???

Jamhuri inawapenda Raia wake sana tatizo kujitia
upofu wa Sheria ndio Jamhuri inachukua hatua ✍️
 
Naungana na Makamu wa Rais kuwapa WATANZANIA wote pole kwa MSIBA mzito,

Namwombea Mzee Arfidhi Pumziko jema sana apumzike kwa Amani,
Nimewaza sana nikajiuliza hivi huyu Mama Rais angeolewa na Mume mwenye Gubu kama wanaume wa kiswahili wakina Jakaya, au msukuma sijui nani ikulu hisingekalika.

Baba alikuwa mtu mwema sana Mungu Amrehemu ampatie KAULI thabiti kwenye kaburi lake Ameeni

WATANZANIA tuombe tujue eda tunakaa siku ngapi.
 
As long as hio familia inapitia wakati mgumu watu walioumizwa watashangilia tu...

Kwenye Biblia unakumbuka Mungu alimpa adhabu Daudi?, Daudi alilala na Bathsheba, alikuwa mke wa askari wake mwaminifu aitwaye Uria, Bathsheba akapata ujauzito , Daudi akapanga njama Uria afe vitani...

Mungu akamtuma Nathani kumuambia Daudi juu ya dhambi aliyofanya...

Yule mtoto wa Bathsheba baada ya kuzaliwa Mungu akampiga kwa ugonjwa mbaya, yule mtoto akafariki licha ya Daudi kutubu , kuomba na kufunga kwa siku saba...

Daudi alitubu mbele ya Nathani ili kifo kisimpate yeye...

Wewe unafikiri Mungu alikosea kumpiga yule mtoto ugonjwa? Unafikiri Mungu alikosea? Yule mtoto alikuwa na kosa gani?

Kama umeelewa utafahamu kwanini watu wanashangilia...

Mungu alimpiga yule mtoto kwa ugonjwa ili Daudi apitie maumivu, Mfalme Daudi alifunga na kuomba kwa siku saba akilala sakafuni ili Mungu asimpige kwa ugonjwa yule mtoto afe... lakini Mungu akaamua alicho amua...

Nadhani umenielewa...
Amina mtumishi! Sadaka nilete wapi?
 
Naungana na Makamu wa Rais kuwapa WATANZANIA wote pole kwa MSIBA mzito,

Namwombea Mzee Arfidhi Pumziko jema sana apumzike kwa Amani,
Nimewaza sana nikajiuliza hivi huyu Mama Rais angeolewa na Mume mwenye Gubu kama wanaume wa kiswahili wakina Jakaya, au msukuma sijui nani ikulu hisingekalika.

Baba alikuwa mtu mwema sana Mungu Amrehemu ampatie KAULI thabiti kwenye kaburi lake Ameeni

WATANZANIA tuombe tujue eda tunakaa siku ngapi.
Wanaume wengi hawana gubu. Kuna mume wa asha rose migiro, huenda hata hakuna anayemjua, kuna waume wengi wa viongozi wanawake lakini huwa hawajulikani. Kwa kawaida wanaume hawapendi ku walk under a shadow of a woman.
Sema mzee hakuwa na makuu Mungu amlaze mahali pema peponi.
 
HAKIKA HIKI NI KIPINDI KIGUMU KWA KIONGOZI NA FAMILIA YAKE. MWENYEZI MUNGU AMPE NGUVU ATUONGOZE KWA HEKIMA NA UTULIVU. TUNAKUPENDA MAMA YETU. MUNGU AKUBARIKI NA AILAZE ROHO YA MAREHEMU MUME WAKO SEHEMU SALAMA . AMIN 🙏
 
Niletee Konyagi Kubwa
KONYAGI.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom