TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

Ukiona mtu anashangilia kifo usipate Shida icho ni kipimo tosha kujua Upumbavu wa uwezo wake wa Akili

Vipi unashangalia kifo cha mwengine wakati nawewe utakufa ujui lini pengine leo au kesho‼️‼️

Ichi ni kipimo sahihi ya Upumbavu wa Akili ya muhusika✍️
 

Attachments

  • Screenshot 2026-08-31 at 14-41-33 Instagram.png
    Screenshot 2026-08-31 at 14-41-33 Instagram.png
    1,007.3 KB · Views: 8
  • IMG-20260827-WA0003.jpg
    IMG-20260827-WA0003.jpg
    82 KB · Views: 3
  • 410-e1582098328480.png
    410-e1582098328480.png
    511.8 KB · Views: 4
Haya mashuti yanayopigwa kuna siku mshambuliaji wetu atapata on target na tutaokota mpira wavuni muda sio mrefu.

Wapumzike kwa amani vijana wadogo ambao ndoto zao zilizimwa na familia hii.

HRjaM4wWcAAr4jW.jpg


NB:Hatutaki kelele mwili mnao mzike kimya kimya wengine October 29 walikosa hata mwili wakazika picha, viatu, na nguo.
 
Ni kweli
Ila hii ya kushangilia wengine wanavyolia ,ipo sawa?
Ipo ivi st Anne, mwana Liverpool, watu wanashangilia vifo vyao Kwa sababu ya madhila na dhihaka hao watu wa serikali/Dola na ndgu zao krbu wanavyowatendea wananchi na wakosoaji serikali Kwa ujumla jinsi wanavyofanyiwa kutekwa,kuuwawa,kung'olewa meno na plies,kulawitiwa nk na still Bado wakifa Wana dhihaki vifo vyao as if wao au ndugu zao km huyo mzee ameir hawatofariki...
Mfno kifo Cha magufuli na Cha Oct29, watu wengi wa Dola akiwemo Rais Samia alidhihaki, kifo ni kifo tu, kifo Cha magu akina zitto kabwe,ridhiwani kikwete,Makamba junior na senior,Nape Nnauye,Rais Samia mwnywe ht kbl yakutangaza kifo chake nknk kdgo kikwete mwnywe alikuwa smart na ulimi wake lkn nae anaekwa kundi hilohilo) wote hao walishangilia sana kifo Cha magufuli Bdo raia wa kawaida na watumishi... So hio ni demokrasia mbaya tuliyoiasisi, hapo Bado akifa au akiumwa ht traffic police raia wanavyofurahi aisseeeh!!
 
Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia.

Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia Vyombo vya Habari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Habari ziwafikie popote walipo https://www.jamiiforums.com/members/tlaatlaah.710403/, https://www.jamiiforums.com/threads...-una-maoni-gani-juu-ya-kauli-ya-yuda.2442166/, https://www.jamiiforums.com/search/183996094/?searchform=1&q=choice+variables&o=relevance
 
Kufa kupo kwetu sote kila siku tunazika jamaa zetu

Sasa Ajabu kufa Ipo wapi
Mweusi kweli kanyimwa akili

Mtu kama uyu anashangilia kifo cha mwenzie
Nayeye bado yupo kwenye ndoto ya kuja kuwa Rais wa Watanzania

Takataka kama hiii ije kuwa Rais wawatu milioni 60+😂😂😂
 
Ukiona mtu anashangilia kifo usipate Shida icho ni kipimo tosha kujua Upumbavu wa uwezo wake wa Akili

Vipi unashangalia kifo cha mwengine wakati nawewe utakufa ujui lini pengine leo au kesho‼️‼️

Ichi ni kipimo sahihi ya Upumbavu wa Akili ya muhusika✍️
Hao wenyewe Wana siasa wako,wafanyabiashara,polisi Dola na watumishi umma unawaona sio wapumbavu Wana akili nyingi sana kama wewe wameshangilia vifo vya watu na kuvibariki... Hujui kitu bro!!
 
Back
Top Bottom