Rais Samia: Ndejembi ukakue, sio mwili ila akili, usiwe Samaki

Rais Samia: Ndejembi ukakue, sio mwili ila akili, usiwe Samaki

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,174
Reaction score
17,635
Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Makamu wa Rais Deogratius John Ndejembi kukua kiakili na kiuongozi, akisisitiza kuwa ukuaji unaohitajika si wa mwili bali wa hekima na busara. Amesema Ndejembi amepewa jukumu kubwa akiwa kijana kutokana na sifa, ari na uwezo wake.

Rais Samia pia amemtaka Ndejembi kutumia nafasi hiyo kwa kujifunza na kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi, akimkumbusha kauli ya Marehemu Abeid Amani Karume ya kuwataka vijana wasiwe “kama samaki” wanaopoteza akili wanapokua. Aidha, ameshukuru CCM na Bunge kwa kumpitisha na kumwidhinisha Ndejembi kuwa Makamu wa Rais.

 

Attachments

  • IMG-20260827-WA0012.jpg
    IMG-20260827-WA0012.jpg
    22.3 KB · Views: 14
  • 12106267_521609908008489_526580475_n.jpg
    12106267_521609908008489_526580475_n.jpg
    15.6 KB · Views: 15
Back
Top Bottom