peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 17,084
- 28,869
Tuma Lipa namba! Ila ongeza nyama choma hapo kilo 2
Tuma Lipa namba! Ila ongeza nyama choma hapo kilo 2
Mbona umefika mapema, ulikua na info kabla nini?Kizimkazi kwa mama mkuu hiyi ni video kabisa. Njia panda ya Kwenda Dimbani na Mkunguni
Serikali haina dini! ... na taratibu zote zinajulikana!Kwahiyo Mama atakaa eda kama desturi na taratibu za dini yake?
Gubu la mwanae abdul limetosha kumharibia sana marehemu AmeirWanaume wengi hawana gubu. Kuna mume wa asha rose migiro, huenda hata hakuna anayemjua, kuna waume wengi wa viongozi wanawake lakini huwa hawajulikani. Kwa kawaida wanaume hawapendi ku walk under a shadow of a woman.
Sema mzee hakuwa na makuun Mungu amlaze mahali pema peponi.
Uwe na utu,hii ni lugha ya ajabuHizi ni habari njema sana. Asante Mungu. Ngoja naye aone uchungu wa kufiwa.
Wewe acha upumbavu wa kuwa chawa, tuambie ni kifungu gani cha sheria kinasema watu wapigwe tu risasi na kuuliwa sasa kwa nini mahakama zisipigwe marufuku kuwepo kwa nini ziwepo.Sijaona mtumishi yoyote kashangilia kifo cha yoyote zaidi vile Vifo vimetokea kwa ukiukwaji wa Sheria zetu
Mbona D9 mbona 7+7
hakuna Vifo ???
Jamhuri inawapenda Raia wake sana tatizo kujitia
upofu wa Sheria ndio Jamhuri inachukua hatua ✍️
Chunga sana,yatakukuta tu na weweEeeeh mungu,mchukue na huyu bibi
Wale vichaa wa tekateka wanalijua hilo!?"Maisha ya binadamu hapa duniani, ni hadithi tuu"- Mzee Ali Hassan Mwinyi.
Ujumbe: Tupendane, tusitesane, tusiuane, sote ni wapitaji tuu hapa duniani.
Ila sisi walevi tunasemaga ukweli tu, na sikuzote unatugharim....🫣Usiongeze neno utaharibu
Kama ni mama yako kwani nini usiandika kwa kumpoteza "baba yako!?"Pole za dhati kabisa zomfikie Abdul Ameir Hafidh, Wanu na mama yangu Samia 🥹
Mungu awatie nguvu na faraja mioyoni mwenu kwa kumpoteza mpendwa wenu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👆Acheni kumpangia Mungu ujinga.
Tatizo liko wapi kwani ?Kama ni mama yako kwani nini usiandika kwa kumpoteza "baba yako!?"