Kifo ni kifo tuMume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia.
Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia Vyombo vya Habari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
kifo ni kifo tu😁😁 gentlemanR.I.P Mzee Hafidhi Ameir🌹
Ha ha ha we jamaa unanchekesha sana.Nakipa pole kifo kwa kusumbuka kumtafuta huyo mzee, kifo popote ulipo pole sana na kazi nzuri, agiza kitimoto ujipoze
Toka jsn ninazoMbona umefika mapema, ulikua na info kabla nini?
Wasilete taharukiKifo ni kifo tu
Kauli kama hizi zinatuvua nguo makamanda wenzangu CHADEMAEe Mungu ahsante kwa matendo yako makuu
KwmbaaaaaaRIP Baba,
Mungu asaidie Ma-GenZ wasiropokwe!
Mbona yeye hakuwa na utu siku ya MO29? Kifo ni kifo tu!Uwe na utu,hii ni lugha ya ajabu
Niliona wenzangu wanacheka ila hawakuwa wakicheka msiba wangu.Ndio kulia kulivyo unapolia wapo wenzio wanacheka unavyolia hujawahi kuona?