Hahahaaaaaaasema kipenzi chako usitujumuishe
Hahahaaaaaaasema kipenzi chako usitujumuishe
Mtu aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje kisha akaja kuwa Rais, huyo ni diplomat wa kiwango vya kimataifa na mtu muungwana sana. Muacheni Mzee Kikwete apumzike na wajukuu zake.Kipaumbele changu kikubwa katika huu Msiba ni kumuangalia Mstaafu Kikwete kama atalia Machozi ya Kweli au atalia yale Machozi ya Mamba tu pekee.
Yatupasa kuwa na tafrija fupi ya kitaifaAsee nimefarijika sana
Kwa hiyo hawataki tufurahia mzee wetu kwenda kupewa mabikra 1000 na mudi?Duuuuuh nasikia huko visiwani watu wamekamatwa kushangilia kifo
RIP Mzee Ali KibaoMume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia.
Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia Vyombo vya Habari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Atahudhuria mazishi ?Nimeamini Nchimbi ni kiboko!
Kazaliwa mkoa gani? Jamaa wana dawa kali sana
Barikiwa mtumishiMungu ikikupendeza mzimishe na abduli na yule dada yake, halafu jike shupa maza lao mlaze kitandan ICU maisha yake yote.
AMINA...🙏
Haongei,mtamsikia sauti yake siku bibi akikata motoAtahudhuria mazishi ?
Ndoa za watu mnadhaniadhania tu,wabongo mna shida sana!Atakuwa anafurahia. Sidhani kama alikuwa anam-regard kama mwenza tena.
Kifo ni kifo tu...Huyu hana hata chembechembe ya uchungu mwilini mwake.