CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 11,740
- 26,211
Nilijua samia.
Amina Ya Rabil AlamiinaAmen.
🥰😍😘Kuanzia saiv mm ndo mrithi wa mamaenu
Hivi Binti wa zamani amepotelea wapi? 🤔🤔Ndo navua boksa hapa
Ni uhuzuni na uchungu sana sijui waliotoa hiyo amri waliikuwa wamevuta bangi gani!Bora yeye anapata nafasi ya kumzika mpendwa wake wale wa kwetu wa October 29 alienda kuwachoma
Yupo Paris busy sana na majukumuHivi Binti wa zamani amepotelea wapi? 🤔🤔
Naam!Mbamizwa ndege
MashaAllahMashallah. Kaondoka ktk dunia akiwa muislam
R.I.PBig up GOD.
The old man has been dragged into mad because of his wife evil doings.Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia.
Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia Vyombo vya Habari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Wewe umekasirikia Nini?Yaan watu ni wajinga sana unacheka kifo, mume wa rais ni over 70, sasa hapo unashangilia nini
Mungu amuweke Pema PeponiNmesema wenye akili timamu ndo wamefurahi
Labda yuko Roma Italia anawapea tu wasaidizi wa papa Leo.Yupo Paris busy sana na majukumu