TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

Mkewe nayeye wapiwapi
Akili zenu zimelala wapi ndugu

Tumesema kwa akili yako kitokee kifo cha mke wa Warioba au mume wa Tibaijuka sasa tushangilie kipi mana wao wamejiweka mbali na Matamko ya wenza wao

Sasa mzee Hafidh Ameir yeye lini katoa tamko lolote kwako upate Sababu ya kumchukia

Watu weusi ndiomana Wazungu wanatuona wanyama wamwituni

Tunauweza ukumu pasipo na Haki.
Kwani Samuya sio mke wa Ameir au mmemuozesha kwa Kikwete mazima?
 
Ila huu mtindo wa kushangilia vifo binafsi naona kama ni ujinga.
Wewe mwaka 1978 hadi 1979 ulikuwepo? Nadhani hukuwepo, na kama ulikuwepo ulikuwa mtoto. Kama vijana tulikuwa tunalazimishwa kuimba wimbo wa "Idi Amin akifa mimi sitalia ila nitamtupa Kagera (mtoni) awe chakula cha mamba". Hayo yalikuwa maamuzi ya kitaifa, kuimba nyimbo hizo.
 
Mkewe nayeye wapiwapi
Akili zenu zimelala wapi ndugu
Tumesema kwa akili yako kitokee kifo cha mke wa Warioba au mume wa Tibaijuka sasa tushangilie kipi mana wao wamejiweka mbali na Matamko ya wenza wao
Sasa mzee Hafidh Ameir yeye lini katoa tamko lolote kwako upate Sababu ya kumchukia
Watu weusi ndiomana Wazungu wanatuona wanyama wamwituni
Tunauweza ukumu pasipo na Haki.

waaafrika tuna mengi ya kujifunza, na ndiyo maana jamii zilizoendelea msiba ni kitu private na wanaohudhuria ni wale tu ndugu na marafiki wa karibu sana ambao kweli wameguswa na kweli utawaona siku ya msiba wana simanzi lkn afrika bado msiba tunataka dunia nzima isikitike na sisi wakati siyo uhalisia, msiba wako wewe mimi hauwezi kunigusa na kuniuma kama unavyofikiria, hapo afrika bado hatujajifunza, msiba ni private.

ukihudhuria misiba bongo utaona wengi wanakuja ili waonekane kama walikuwepo kusudi wasisemwe kwamba hawakuhudhuria lkn siyo kwamba wanakuja kwa sababu walimjua marahemu personally na kuguswa na kifo chake, wakitoka hapo wanaanza kukandia chakula kibaya mara sijui mbona mke wake hakulia, utasikia wala hajajenga kwao, maneno kama hayo yote mtu wako wa karibu na aliyekupenda na kukujali kiukweli hawezi kukusema hivyo kama ukiaga.

again msiba iliapswa kuwa ni jambo binafsi na unayemuhusu ndiyo atasikitika, huo ndiyo uhalisia wa binadamu.

msiba wa Mandela, obama anafanya selfie, waafrika wengi walitetetea walisema kiafrika msiba ni sherehe na siyo huzuni, nina uhakika obama kama angehudhuria msiba ya mzungu kama george Bush, au jimmy Carter asingepiga picha kama hiyo, ange-behave tofauti, kwa sababu kwa wazungu msiba ni siku ya huzuni ...
1788774380507.png
 
Back
Top Bottom