TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia.

Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia Vyombo vya Habari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Nilijua tu ..kahaba siyo mtu
 
Wewe mwaka 1978 hadi 1979 ulikuwepo? Nadhani hukuwepo, na kama ulikuwepo ulikuwa mtoto. Kama vijana tulikuwa tunalazimishwa kuimba wimbo wa "Idi Amin akifa mimi sitalia ila nitamtupa Kagera (mtoni) awe chakula cha mamba". Hayo yalikuwa maamuzi ya kitaifa, kuimba nyimbo hizo.
Sikuwepo kabisa
Lakini huyu siyo Idd Amin
 
Hizi ni habari njema sana. Asante Mungu. Ngoja naye aone uchungu wa ku
Hizi ni habari njema sana. Asante Mungu. Ngoja naye aone uchungu wa kufiwa.
Yap, ila haitafuta umaskini wetu bila juhudi na maarifa... Na isitoshe SSH alikuwa mke 2 sijui 3 Kwa huyo marehemu mzee hafidhi na still Si mnamzushiaga Mzee asiestafu yupo atasimamia shoo👽💀💀
 
Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia.

Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia Vyombo vya Habari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kifo ni kifo tu
 
Ila huu mtindo wa kushangilia vifo binafsi naona kama ni ujinga.
Ni kweli wanazngua na haifuti umaskini wetu vijana bila juhudi,akili na maarifa..
Ila Ndo demokrasia na utandawazi huo, huwezi kuwapangia watu Maisha kwamba walie au wacheke kila mtu ataguswa Kwa namna yake kulingana na huyo mhusika aliefariki au ndugu zake walimtendeaje...
Unaweza msihi au kumlazimisha ahuzunike au alie kinafki alafu anaenda chooni au usiku anacheka na kushangilia Kwa shangwe zote.
 
Ila Siyo vizuri
Msiba wowote ule unaumiza
 
Back
Top Bottom