Course Coordinator1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2025
- 676
- 1,622
AKIWA SOULMATE WATAFUATANAKwanini afe mume, huyu Baba alikuwa Hana shida na sisi
AKIWA SOULMATE WATAFUATANAKwanini afe mume, huyu Baba alikuwa Hana shida na sisi
Kwahiyo ana dini yake kwamba afuate matakwa yake kwamba ni raisi? ?Hii haimuhusu raisi mkuu,, hii ni kwa wanawake wasio na kazi za kufanya
Za chini ya kapeti zinasema walisha achana mda sana, walificha tu kwa sababu ya kulinda ugali na katiba.Hizi ni habari njema sana. Asante Mungu. Ngoja naye aone uchungu wa kufiwa.
Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia.
Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia Vyombo vya Habari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Sasa alikuwa analiwa na nani?Za chini ya kapeti zinasema walisha achana mda sana, walificha tu kwa sababu ya kulinda ugali na katiba.
Yanaanza kufumuka ya sirini sasa kumbe bi mkubwa alikuwa jau sana yaani ukamwambie mumeo hivyo huwenda sonona imemmaliza mzee wa watu.Kwa nini anatajwa kama mume wa Samia, badala ya kutajwa 'ALIYEKUWA mume wa Samia? Mbona tuliambiwa kuwa Samia alikwishamwacha, na kwamba alimwambia atafute mwanamke mwingine, na kwamba yeye angemlipia mahari.
Pole sana kwa wanafamilia, marehemu hajawahi kushiriki kwenye uovu wowote wa yule mwanamke na mwanae.
Noma kweli.Anatafuta mali! Hana habari ni Yatima muda hiu
Ndo hali ya uongozi ilivyo, nadhani sasa ufunguzi wa Mtumba city unaweza kudelayEm nielewesheni kidogo..
Kwahyo maza alikuwa anaendelea na shughuli zake kama kawa ilhali mzee mgonjwa!??
AM I missing sth....
Maana kesho alikuwa na event Magufuli city DOM
Ndio mana nimesema hiyo sheria ni kwa wale wanawake wasio na kazi za kufanya. Huwezi kuta mwanamke mwenye kazi ya kufanya akae ndani miezi minne hilo halipoKwahiyo ana dini yake kwamba afuate matakwa yake kwamba ni raisi? ?
Ngoja tuone hali itakuajeMke Kukaa Eda Ya Kufiwa Na Mumewe
Mwanamke mwenye kufiwa na mume kama hana mimba eda yake ni miezi minne (4) na siku kumi (10), na kama mwenye mimba eda yake mpaka azae, lakini iki wa amezaa kabla ya kupita miezi minne na siku kumi lazima akae eda hadi zipite, siku hizo.
Mwanamke mwenye eda ya kufiwa na mumewe, ni haramu kuvaa nguo za rangi; kujipamba kwa namna yo yote kwa mwili au kwa nguo kama kujitia manukato, kutia wanja machoni, mapodari, hina na kila jambo la kujipamba ni haramu kwake hata nguo nyeusi ikiwa ina nakshi au mkato wa kujipamba.
Eda huanzia siku ya kufa kwa mume ikiwa yupo hapo, na kama hayupo huanzia siku atakapopata habari hata kama kumepita muda mrefu sana. Katika muda huo wa eda hawezi kuposwa au kuolewa.
Uislamu unaamrisha unadhifu, basi wanaruhusiwa wanawake wenye eda kuoga kujisafisha na kuweka mwili safi, kukata kucha.
Anaruhusiwa kutoka nje kama ipo haja kama kununua mahitaji yake au kumwangalia jamaa au mgonjwa na kadhalika, asitoke nje paisipo na haja.
Tunaomba kwa Mola wetu atupe sote Twafiki ya kufuata maamrisho ya dini na kuepukana na yaliyoharamishwa au kufuata mambo ya Bida'a uzushi, usiona msingi.
View attachment 3665113
Ni hatari Munoo!!Hizo comments mitandaoni mhhh!!
Tumehuzunika sana,Mungu amuweke mahali pema PeponiWatanzania wote wenye mapenzi mema na nchi yetu na wenye akili timamu tumefurahi sana
Na lissu alipigwa risasi siku kama ya leo, hvy kuanzia sasa, hizi tarehe zitakuwa na jambo 😂Ally Kibao, alifariki tar 6 September
Mwenyewe bi. Mdachi alishasema kifo ni kifo tu sasa ni nani tubishe?Wagalatia bana wanafurahi msiba 😂