TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

Kipaumbele changu kikubwa katika huu Msiba ni kumuangalia Mstaafu Kikwete kama atalia Machozi ya Kweli au atalia yale Machozi ya Mamba tu pekee. Tafadhali sitaki kuulizwa swali lolote kwanini nimeandika hivi ila kwa wenye Akili kubwa nina uhakika wa 100% kuwa watakuwa wameshanielewa.

R.I.P Mzee na Pole kwa Mfiwa.
Wewe ndio huwa huwa unajiita game changer?
 
Pole Sana Mama yetu.

1000012124.jpg
 
Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia.

Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia Vyombo vya Habari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hasإ
إ
Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia.

Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia Vyombo vya Habari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
إنا لله وإنا إليه راجعون
 
Khah! Haiwezekani!!!!1
 
Nilianza kufurahi nilipoona anatangaza Makamu wa Rais nikajua mambo safi .Kumbe off taget
 
Back
Top Bottom