peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 16,876
- 28,411
Kifo ni kifo tu!😭😭😭😭R.I.P Mzee Hafidhi Ameir🌹
Amen,dua yako ikubaliwe,Mungu amuweke pema PeponiAllah amjalie mahala pema peponi, alijaalie kaburi lake liwe miongoni mwa bustani ya peponi. Atukutanishe peponi
Ampe subra Rais wetu katika kipindi kigumu.
Hii haimuhusu raisi mkuu,, hii ni kwa wanawake wasio na kazi za kufanyaMke Kukaa Eda Ya Kufiwa Na Mumewe
Mwanamke mwenye kufiwa na mume kama hana mimba eda yake ni miezi minne (4) na siku kumi (10), na kama mwenye mimba eda yake mpaka azae, lakini iki wa amezaa kabla ya kupita miezi minne na siku kumi lazima akae eda hadi zipite, siku hizo.
Mwanamke mwenye eda ya kufiwa na mumewe, ni haramu kuvaa nguo za rangi; kujipamba kwa namna yo yote kwa mwili au kwa nguo kama kujitia manukato, kutia wanja machoni, mapodari, hina na kila jambo la kujipamba ni haramu kwake hata nguo nyeusi ikiwa ina nakshi au mkato wa kujipamba.
Eda huanzia siku ya kufa kwa mume ikiwa yupo hapo, na kama hayupo huanzia siku atakapopata habari hata kama kumepita muda mrefu sana. Katika muda huo wa eda hawezi kuposwa au kuolewa.
Uislamu unaamrisha unadhifu, basi wanaruhusiwa wanawake wenye eda kuoga kujisafisha na kuweka mwili safi, kukata kucha.
Anaruhusiwa kutoka nje kama ipo haja kama kununua mahitaji yake au kumwangalia jamaa au mgonjwa na kadhalika, asitoke nje paisipo na haja.
Tunaomba kwa Mola wetu atupe sote Twafiki ya kufuata maamrisho ya dini na kuepukana na yaliyoharamishwa au kufuata mambo ya Bida'a uzushi, usiona msingi.
Goma lipo wazi hilo changamkia fursa kabla ya mtoto wa Kolomije hajakuzidi kete watoto wa Daslamu mnafeli sana.Rais samora wa msumbiji alifariki dunia,mkwe Graca Michael akawa mjane,akaolewa na Rais Nelson Mandela wa Africa ya kusini!
Sasa Tanzania....... ni nini kitatokea kuanzia sasa
Kizee kisanii sana kile lazima kitajiliza kuzuga.Kipaumbele changu kikubwa katika huu Msiba ni kumuangalia Mstaafu Kikwete kama atalia Machozi ya Kweli au atalia yale Machozi ya Mamba tu pekee. Tafadhali sitaki kuulizwa swali lolote kwanini nimeandika hivi ila kwa wenye Akili kubwa nina uhakika wa 100% kuwa watakuwa wameshanielewa.
R.I.P Mzee na Pole kwa Mfiwa.
Unataka kusema alikua anam-mendea🫢Ruto ana habari?
Hata cha kung'atwa na mbu?😂😂Kifo ni kifo tu
Yule hawezi kuwa na uchungu naye maana inasemekana waliachana kitambo mom km unavyoona huku bara...Hizi ni habari njema sana. Asante Mungu. Ngoja naye aone uchungu wa kufiwa.
Amefia wapi?
Ndio anaiwa 1st Gentleman?Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia.
Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia Vyombo vya Habari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Yes,Kifo ni kifo tu!😭😭😭😭
Mkuu huyu mzee wa watu unamuonea tu bure. Hakua na baya lolote. Alikuwa low profile.Hizi ni habari njema sana. Asante Mungu. Ngoja naye aone uchungu wa kufiwa.
Hujawahi kuyaona makaburi ya waliogopa kufa mkuu?I prefer not to speak, If I speak I will be in trouble