Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,827
- 236,131
Ila huu mtindo wa kushangilia vifo binafsi naona kama ni ujinga.
Ila huu mtindo wa kushangilia vifo binafsi naona kama ni ujinga.
Bro umekaa turubai gani hapo msibani nikukwepe, tukikaa karibu tunaweza kucheka kwa nguvu tukakamatwa uchawi. 😎Ila Broh mbona hii taarifa emoji za kucheka ni nyingi sana?
Mkewe nayeye wapiwapiKossa lake ni mkewe kuwaua watanganyika MO29.
Hapana mkuu watu hawajafurahi...Wagalatia bana wanafurahi msiba 😂
Mtu wa kwanza kufurahia vifo na ambaye kifo kwake ni kawaida ni mama Yako mwarabuWagalatia bana wanafurahi msiba 😂
Tabora hamjambo?Mkuu hata Mzee wa miaka 100 hapendi kufa ndo maana huwa analilia hata muwe mnamuanika juani kama michembe ili asife...Kifo ni kifo
We mtoto wewee! ... punguza roho mbaya uongeze siku chini ya jua! 😅Asante kwa Taarifa
Nina wasiwasi hiki kifo kitasababisha vifo vingine vingi.
Unyani umetujaa.Mkewe nayeye wapiwapi
Akili zenu zimelala wapi ndugu
Tumesema kwa akili yako kitokee kifo cha mke wa Warioba au mume wa Tibaijuka sasa tushangilie kipi mana wao wamejiweka mbali na Matamko ya wenza wao
Sasa mzee Hafidh Ameir yeye lini katoa tamko lolote kwako upate Sababu ya kumchukia
Watu weusi ndiomana Wazungu wanatuona wanyama wamwituni
Tunauweza ukumu pasipo na Haki.
Jimbo liko wazi subiri eda iishe ukajichukulie goma mkuu.So jimbo liko wazi?
Kaliulize lile shangingi lakeKosa lake lipi kwenye akili yako???