TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia.

Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia Vyombo vya Habari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
pole kwa Mh Rais Samia, CCm, Wazanibar wote na marafiki.
Mungu amtie nguvu kipindi hhiki kigumu mpendwa wetu SSH.
 
Uliinyaka kijiwe gani mkuu
Kwa nini anatajwa kama mume wa Samia, badala ya kutajwa 'ALIYEKUWA mume wa Samia? Mbona tuliambiwa kuwa Samia alikwishamwacha, na kwamba alimwambia atafute mwanamke mwingine, na kwamba yeye angemlipia mahari.

Pole sana kwa wanafamilia, marehemu hajawahi kushiriki kwenye uovu wowote wa yule mwanamke na mwanae.
 
Back
Top Bottom