Mume ana gari tatu, natembea kwa miguu

Mume ana gari tatu, natembea kwa miguu

Mnayo kampuni ambayo imeweza kununua magari, muda wa kwenda kazini ni ule unaotaka mwenyewe, kampuni hi inaiingiza pesa sana tu, hivi kozi ya udereva hapo Victoria ni Tsh ngapi kweli? Ji sevie vijipesa toka kwenye hiyo kampuni yenu and nenda hapo ukapige tution ya magari, we vipi bwn.

Back to the story, wanaume wenzangu tunao miliki magari, tuwe wakweli, wangapi hapa tumewafundisha wake zetu kuendesha? Sitashangaa most us nikisikia tuliwapeleka shule kwanza then ndipo tulipowaamini kuendesha magari ya home, hasa hizi manyo! Utasikia, we utaniharibia Clutch, mara utaharibu gear box.

Mme na mke kufundishana gari mwisho wake ugomvi. Aende driving school.
 
habari wana Mmu

Niko kwenye ndoa miaka 10 sasa,tumejiajiri tuna kaofisi ketu mjini,tunafanya kazi pamoja na mume wangu.

mume wangu ana gari 3,kwa kawaida yeye huwahi ofisini mapema kufungua,mm nafanya mawili matatu kwanza ili kuiacha nyumba sawa.

wakati nakwenda kibaruani humfahamisha mume wangu ambaye hunitumia usafiri wa bodaboda.Hata wakati wa kurejea home nachukua bodaboda na yy anakuja na gari yake full kiyoyozi.

Nikiomba anifundishe gari huwa hanijibu lolote(anapotezea) na ataanzisha mada nyingineeee. Maswala mengine ya nyumbani yako vizuri tatizo ni hapo tu kwenye usafiri.
Akienda na gari moja mawili yanapark hapo nyumbani yakipigwa jua na vumbi,na daily anachange analotaka.

nimechoka kutembea na bodaboda,potelea mbali,nimeamua kupiga zangu kwa mguu wakati magari yako home.
gari hizi amenunua tukiwa pamoja kwenye ndoa,wakati tunaoana hatukuwa hata na baiskeli.

Aaaghrrrrr,,,,,,,acha tu nisuse,inatia hasira sana na inanyongesha pia.

Dada unaitwa Patience. Angalia movie mbili tatu za Patiancia Ozwokor wa Nigeria na matatizo yako ndani yatapungua kama si kuisha!
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Wakati mwingine watu wanachukuliaga hizi kama story kutokana tu na jinsi zinavyowasilishwa.

Back to topic:nenda driving school ukasome na utajua kuendesha gari hayatapark tena hapo.
je akijua hilo gari na akapewa anao uwezo wa kulihudumia kuweka mafuta au ndo mafuta mume ahahangaike tena kumuwekea?
 
nakuona huna nia ya kujifunza gari ndio maana na jamaa anakupotezea tu. nenda driving school uje umsupraiz
Wangu hataki kwenda drivng school na ameshagonga ile bito mara 2
nifanyaje?
 
habari wana Mmu

Niko kwenye ndoa miaka 10 sasa,tumejiajiri tuna kaofisi ketu mjini,tunafanya kazi pamoja na mume wangu.

mume wangu ana gari 3,kwa kawaida yeye huwahi ofisini mapema kufungua,mm nafanya mawili matatu kwanza ili kuiacha nyumba sawa.

wakati nakwenda kibaruani humfahamisha mume wangu ambaye hunitumia usafiri wa bodaboda.Hata wakati wa kurejea home nachukua bodaboda na yy anakuja na gari yake full kiyoyozi.

Nikiomba anifundishe gari huwa hanijibu lolote(anapotezea) na ataanzisha mada nyingineeee. Maswala mengine ya nyumbani yako vizuri tatizo ni hapo tu kwenye usafiri.
Akienda na gari moja mawili yanapark hapo nyumbani yakipigwa jua na vumbi,na daily anachange analotaka.

nimechoka kutembea na bodaboda,potelea mbali,nimeamua kupiga zangu kwa mguu wakati magari yako home.
gari hizi amenunua tukiwa pamoja kwenye ndoa,wakati tunaoana hatukuwa hata na baiskeli.

Aaaghrrrrr,,,,,,,acha tu nisuse,inatia hasira sana na inanyongesha pia.
akikupa gari unao uwezo wa kuweka mafuta na kulihudumia au ndo kila siku unataka yeye awe anakuwekea mafuta wewe unakanyaga tu mmoto au? maana ni wepesi wa kulaumu lakini sidhani kama unao huo uwezo wa kuhudumia hilo gari.
 
Pretty huo ni uamuzi mzuri, lakini kama mume hataki mkewe ajue kuendesha basi anaweza kumzuia kuhudhuria mafunzo hayo kwa kisingizio chochote kile au akishajifundisha kuendesha basi funguo ya gari akagoma kuitoa. Kama angekuwa na nia ya mkewe kujua gari basi miaka mingi angeshakuja na ushauri kwamba atafute driving school ili wamsaidie.

Kuna mmoja ashaambiwa instructors watamtongoza, sijui watamshika mapaja excuse kibao zisizokuwa na msingi. Akapatikana mwalimu wa kike akaenda shule 2yrs now huyo dada hajawahi kuendesha gari la nyumbani.
 
habari wana Mmu

Niko kwenye ndoa miaka 10 sasa,tumejiajiri tuna kaofisi ketu mjini,tunafanya kazi pamoja na mume wangu.

mume wangu ana gari 3,kwa kawaida yeye huwahi ofisini mapema kufungua,mm nafanya mawili matatu kwanza ili kuiacha nyumba sawa.

wakati nakwenda kibaruani humfahamisha mume wangu ambaye hunitumia usafiri wa bodaboda.Hata wakati wa kurejea home nachukua bodaboda na yy anakuja na gari yake full kiyoyozi.

Nikiomba anifundishe gari huwa hanijibu lolote(anapotezea) na ataanzisha mada nyingineeee. Maswala mengine ya nyumbani yako vizuri tatizo ni hapo tu kwenye usafiri.
Akienda na gari moja mawili yanapark hapo nyumbani yakipigwa jua na vumbi,na daily anachange analotaka.

nimechoka kutembea na bodaboda,potelea mbali,nimeamua kupiga zangu kwa mguu wakati magari yako home.
gari hizi amenunua tukiwa pamoja kwenye ndoa,wakati tunaoana hatukuwa hata na baiskeli.

Aaaghrrrrr,,,,,,,acha tu nisuse,inatia hasira sana na inanyongesha pia.

umeshamwambia kuwa hali hiyo inakukera au ndo umekuja kumsemelea tu?pengine kwa kuwa unawahi home boda boda inakufaa ili kuepuka foleni,kama uko hapa mujini
 
Yani we ndo unakuja kunianika humu jf? Eeh kwani kuna umbali gani kutoka nyumbani mpaka kazini? Mmmh
nipo njiani narudi nyumbani nikifika utanitambua!
 
Mnayo kampuni ambayo imeweza kununua magari, muda wa kwenda kazini ni ule unaotaka mwenyewe, kampuni hi inaiingiza pesa sana tu, hivi kozi ya udereva hapo Victoria ni Tsh ngapi kweli? Ji sevie vijipesa toka kwenye hiyo kampuni yenu and nenda hapo ukapige tution ya magari, we vipi bwn.

Back to the story, wanaume wenzangu tunao miliki magari, tuwe wakweli, wangapi hapa tumewafundisha wake zetu kuendesha? Sitashangaa most us nikisikia tuliwapeleka shule kwanza then ndipo tulipowaamini kuendesha magari ya home, hasa hizi manyo! Utasikia, we utaniharibia Clutch, mara utaharibu gear box.

Umeona mahali popote ameandika anaishi Dar mkuu?
 
akikupa gari unao uwezo wa kuweka mafuta na kulihudumia au ndo kila siku unataka yeye awe anakuwekea mafuta wewe unakanyaga tu mmoto au? maana ni wepesi wa kulaumu lakini sidhani kama unao huo uwezo wa kuhudumia hilo gari.

Kwani wajibu wa mume ni nini? Hizo mali zote si wamechuma wote wawili, yeye hizo hela za mafuta ya gari lake si anatoa kwenye hiyo hiyo kampuni walioianzisha wote? kweli mwanaume anayejitambua atashindwa kumuwekea mafuta mke wake? Na kweli mwanaume anayethamini atapaki magari mawili home afu wife atembee kwa miguu?
 
Back
Top Bottom