Mume ana gari tatu, natembea kwa miguu

Mume ana gari tatu, natembea kwa miguu

habari wana Mmu

Niko kwenye ndoa miaka 10 sasa,tumejiajiri tuna kaofisi ketu mjini,tunafanya kazi pamoja na mume wangu.

mume wangu ana gari 3,kwa kawaida yeye huwahi ofisini mapema kufungua,mm nafanya mawili matatu kwanza ili kuiacha nyumba sawa.

wakati nakwenda kibaruani humfahamisha mume wangu ambaye hunitumia usafiri wa bodaboda.Hata wakati wa kurejea home nachukua bodaboda na yy anakuja na gari yake full kiyoyozi.

Nikiomba anifundishe gari huwa hanijibu lolote(anapotezea) na ataanzisha mada nyingineeee. Maswala mengine ya nyumbani yako vizuri tatizo ni hapo tu kwenye usafiri.
Akienda na gari moja mawili yanapark hapo nyumbani yakipigwa jua na vumbi,na daily anachange analotaka.

nimechoka kutembea na bodaboda,potelea mbali,nimeamua kupiga zangu kwa mguu wakati magari yako home.
gari hizi amenunua tukiwa pamoja kwenye ndoa,wakati tunaoana hatukuwa hata na baiskeli.

Aaaghrrrrr,,,,,,,acha tu nisuse,inatia hasira sana na inanyongesha pia.

Patience inaitajika. Kaeni chini mzungumze.
 
This is funny... Umekaa na mume miaka kumi hajakufundisha gari bado unataka akufundishe yeye?? what about driving school?? what about other people??

Utansamehe ila kwa jinsi ulivyojieleza ni kama vile mwanamke mzigo, you cant make basic decisions on your own na siajabu jamamaa kukuweka ofisi moja na yeye ni kama anakufuga tu

Women should also push for their agenda in the family... usisubiri mume kwa kila kitu, in most cases unakua unamboa tu na ni rahisi zaidi kukudharau

Imagine three cars bado unataka akufundishe and you are in the marriage for ten years

I dont want to go to other things kama mavazi, unavyojihandle kwake nk maana naweza kukosea

You definitely need help
 
.......pole bidada, mumeo mbinafsi. Sasa nenda driving school ukajifunze gari. Ukisubiri ufundishwe na mume, utasubiri miaka!!

Huko shuleni atapewa gari? Maana naona tatizo siyo kutokujua kuendesha. Atapewa moja akishajua?
 
This is funny... Umekaa na mume miaka kumi hajakufundisha gari bado unataka akufundishe yeye?? what about driving school?? what about other people??

Utansamehe ila kwa jinsi ulivyojieleza ni kama vile mwanamke mzigo, you cant make basic decisions on your own na siajabu jamamaa kukuweka ofisi moja na yeye ni kama anakufuga tu

Women should also push for their agenda in the family... usisubiri mume kwa kila kitu, in most cases unakua unamboa tu na ni rahisi zaidi kukudharau

Imagine three cars bado unataka akufundishe and you are in the marriage for ten years

I dont want to go to other things kama mavazi, unavyojihandle kwake nk maana naweza kukosea

You definitely need help

Kama kumfundisha tu au kumshauriana tu issues je kumpa gari hata kama anajua kuendesha. Mafuta ya hiyo gari la pili. Mbona hamtumii tax ila boda2
 
ndoa ni mzigo hivi bibilia inasemaje jamani

ndoa ni lazima au mi fashen ya duniani

tunapata mazito kwa kigezo cha ndoa
 
Maana yangu ajifunze angalau kidogo ili ajitetee vizuri kwa mumewe!

Huyu mziki wa mama G hauwezi mpendwa, hadi anakuja huku kulalamika, mama G angemuwashia moto huo hadi angeomba poo mwenyewe

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hata mahusiano yako na mumeo ktk mambo mengine sii mzuri ushauri wangu jaribu kuongea naye kuhusu kuendesha gari atakuelewa tu kwakuwa ni mumeo lazima unazijua tabia zake kuliko sisi tafuta muda utakaoona unafaa kuongeanaye.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kama kumfundisha tu au kumshauriana tu issues je kumpa gari hata kama anajua kuendesha. Mafuta ya hiyo gari la pili. Mbona hamtumii tax ila boda2

ndio maana nikasema mwanamke ni muhimu kupush agenda yake ndani ya ndoa... huwezi kumzuia mkeo kuendesha au kujifunza kuendesha ukiwa na magari matatu kama unamuamini

if he refuses, then there must be some serious underlying problem ambazo zimemfanya mwanaume akashindwa kumtrust mkewe na judgement zake

kama umeoa utakubaliana na mimi, in most cases ni vigumu kumfundisha mkeo, au mpenzio gari... mtaishia kubishana bila sababu because of the passion involved while teaching
 
Mumeo anafanya kazi driving school❓➖siyo wote wenye magari wanajua kufundisha.Nenda kajifunze gari.
 
hayo magari ni maagano wewe umetolewa kafara tena shukuru unatembea kwa miguu

siyo vizuri kuongea kitu ambacho huna ushaidi nacho. tulichulie hili jukwaa serious.

tajili mwenye ismail hotel lumumba street ana magorofa 20 kariakoo na anatembelea vespa full time, mpambe wake mswahili anakokota Mercedes benz ya kisasa kabisa. tupunguze kuropoka.
 
Huyu mziki wa mama G hauwezi mpendwa, hadi anakuja huku kulalamika, mama G angemuwashia moto huo hadi angeomba poo mwenyewe

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mama G balaa lake kubwa. Sisi wanaume ukimpata aina ya mama G inabidi utafakari kama ndoa ipo au haipo!
 
Huko shuleni atapewa gari? Maana naona tatizo siyo kutokujua kuendesha. Atapewa moja akishajua?

Ye anasema mume akiondoka na moja, mawili yanabaki "yanapark hapo nyumbani yakipigwa jua na vumbi". Huyo mama ana hali fulani hivi ya u-mzigo kwakweli! Hajanyimwa gari katu. Mume anamyeyusha manake hana jitihada binafsi. Usimuhurumie.
 
Huko shuleni atapewa gari? Maana naona tatizo siyo kutokujua kuendesha. Atapewa moja akishajua?
wewe una tatizo, sidhani kama umeoa au kuolewa... huwezi kuassume hatapewa akishajua kuendesha

a woman has to make efforts to get what she wants... akizubaa nayeye atapigwa vumbi kama hayo magari
 
Back
Top Bottom