Mume ana gari tatu, natembea kwa miguu

Mume ana gari tatu, natembea kwa miguu

akikupa gari unao uwezo wa kuweka mafuta na kulihudumia au ndo kila siku unataka yeye awe anakuwekea mafuta wewe unakanyaga tu mmoto au? maana ni wepesi wa kulaumu lakini sidhani kama unao huo uwezo wa kuhudumia hilo gari.

Mmh jamani, kwani hilo linaloendeshwa linahudumiwa na nini, sio hiyo ofisi wanayoitumikia? Nitaelewa kama kutakuwa na utetezi kuwa biashara/shughuli wanayofanya haina uwezo wa kuhudumia magari mawili, vinginevyo naona ni roho ngumu tu kwa mkewe.
 
Wakati mwingine watu wanachukuliaga hizi kama story kutokana tu na jinsi zinavyowasilishwa.

Back to topic:nenda driving school ukasome na utajua kuendesha gari hayatapark tena hapo.
hili neno fataushauri huu
 
habari wana Mmu

Niko kwenye ndoa miaka 10 sasa,tumejiajiri tuna kaofisi ketu mjini,tunafanya kazi pamoja na mume wangu.

mume wangu ana gari 3,kwa kawaida yeye huwahi ofisini mapema kufungua,mm nafanya mawili matatu kwanza ili kuiacha nyumba sawa.

wakati nakwenda kibaruani humfahamisha mume wangu ambaye hunitumia usafiri wa bodaboda.Hata wakati wa kurejea home nachukua bodaboda na yy anakuja na gari yake full kiyoyozi.

Nikiomba anifundishe gari huwa hanijibu lolote(anapotezea) na ataanzisha mada nyingineeee. Maswala mengine ya nyumbani yako vizuri tatizo ni hapo tu kwenye usafiri.
Akienda na gari moja mawili yanapark hapo nyumbani yakipigwa jua na vumbi,na daily anachange analotaka.

nimechoka kutembea na bodaboda,potelea mbali,nimeamua kupiga zangu kwa mguu wakati magari yako home.
gari hizi amenunua tukiwa pamoja kwenye ndoa,wakati tunaoana hatukuwa hata na baiskeli.

Aaaghrrrrr,,,,,,,acha tu nisuse,inatia hasira sana na inanyongesha pia.

Sikia ndugu wewe chukua hela tafuta chuo kinacho eleweka kajifunze kimya kimya,ukisha juwa yeye akitangulia nyuma washa GARI nenda muda wakutoka washa rudi home naimani Shemeji badala ya kulia kwa uchoyo wa GARI atacheka .
 
habari wana Mmu

Niko kwenye ndoa miaka 10 sasa,tumejiajiri tuna kaofisi ketu mjini,tunafanya kazi pamoja na mume wangu.

mume wangu ana gari 3,kwa kawaida yeye huwahi ofisini mapema kufungua,mm nafanya mawili matatu kwanza ili kuiacha nyumba sawa.

wakati nakwenda kibaruani humfahamisha mume wangu ambaye hunitumia usafiri wa bodaboda.Hata wakati wa kurejea home nachukua bodaboda na yy anakuja na gari yake full kiyoyozi.

Nikiomba anifundishe gari huwa hanijibu lolote(anapotezea) na ataanzisha mada nyingineeee. Maswala mengine ya nyumbani yako vizuri tatizo ni hapo tu kwenye usafiri.
Akienda na gari moja mawili yanapark hapo nyumbani yakipigwa jua na vumbi,na daily anachange analotaka.

nimechoka kutembea na bodaboda,potelea mbali,nimeamua kupiga zangu kwa mguu wakati magari yako home.
gari hizi amenunua tukiwa pamoja kwenye ndoa,wakati tunaoana hatukuwa hata na baiskeli.

Aaaghrrrrr,,,,,,,acha tu nisuse,inatia hasira sana na inanyongesha pia.

kwanza miaka yote hiyo mmebarikiwa watoto wangapi?? tuanzie hapo
 
Kama hivo ndivyo mwambie huko tayari tena kwenda kwa miguu au bodaboda najua lazima atasikia kilio chako, maana hata UKAWA wameona Sita hasikii wamejitoa kwenye mchakato wa katiba mpya sasa ameanza kuhaha maana theruthi mbili kwa Zanzibar haitopatikana katu ni mpaka CUF warudi.
 
Hata siku 1 Gar hata baba ako hawezi kukufundisha we jitaftie mda ukajifunze driving.
mie at Home niliamua kujitaftia mtu anifundishe maana wakina kaka na watu wengine hata boyfrend akawa anapiga chenga kama hizo ooh ntakufundisha jmosi zikawa nying ka mwaka.


Sent from my iPhone
 
Wanaume tubadilike jamani,kwa kufanya hivyo means unamfanya mkeo afikirie namna ya kukuibia,coz haoni manufaa ya mafanikio yenu,hata kama unaa michepuko basi jitahidi kutunza heshima ya nyumbani kwako,ni upuuzi kum-suppress mkeo just because of what is so called mchepuko!!!
 
Pole sana kwa uvumilivu wako mie nacho kushauri hebu anza driving school ukishajua kamata mkoko na wewe uenjoy haya maisha.Mie siwezi kuteseka na jua wakati magari yapo ndani na hata tukiwa na moja lazima tutumie wote
 
mumeo ana magari au mna magari? mumeo kabisaaa!nawe unamwangalia tu ! kwani hiyo ndoa ya hiyari au ya hisani? pole sana.
 
Kama ana nia ya mkewe kujua kuendesha basi asingempotezea pale mkewe anapotaka wazungumzie kuhusu kujifunza kuendesha, kwa mfano kuja na idea ya kutafuta driving school ili akajifunze huko lakini mume anapokaa kimya na kupotezea basi ni dalili kwamba hataki mkewe ajifunze kuendesha gari.

Mumeo anafanya kazi driving school❓➖siyo wote wenye magari wanajua kufundisha.Nenda kajifunze gari.
 
That's too much...hata dawa za kienyeji hazina masharti magumu hivyo...hata wife?seriously? hakupendi huyo!!
 
Pretty huo ni uamuzi mzuri, lakini kama mume hataki mkewe ajue kuendesha basi anaweza kumzuia kuhudhuria mafunzo hayo kwa kisingizio chochote kile au akishajifundisha kuendesha basi funguo ya gari akagoma kuitoa. Kama angekuwa na nia ya mkewe kujua gari basi miaka mingi angeshakuja na ushauri kwamba atafute driving school ili wamsaidie.
......huyu dada kweli mpole, ningekuwa mimi hapo tayari ningeshakuwa naendesha. Na huyo mume angeona tu tunapishana getini na gari na yeye.
 
Last edited by a moderator:
Una nyota ya farasi, kutembea sana

hahahaaaa.. ww sio kabisaaa... uyo mwanaume atakua na matatizo. hawez kuwa mbinafsi namna hii. bibie nenda driving school uyo muache km alivyo
 
Huyo mume anafikiri vizuri. Hebu fikiria mtu hajui kuendesha gari halafu analalamika. Mtu akafungue ofisi then arudi nyumbani akamchukue wife.Usumbufu na gharama. Mume sio dereva wako mama, jifunze gari halafu ulalamike umenyimwa gari. Cha pili ni gharama kuendesha gari 2 kwenda ofisi moja.
 
Kwani ulizaliwa n gari ww,stress za nn ujipatie ma presure.
Kanyaga mguu,hali ikiwa nzuri panda bodaboda.Haina haja ya kulalama.
Kabla ya kuolewa uliishije kwa mzee wako?
Hivyo v2 vya kupia tuu,kama alivipata hata kuvipoteza inawezekana vilevile.Gari sio sawa na gegedo au papuchi ukifa unazikwa nayo,ukifirisika bado yenyew itabaki kuwa yako,Ukiugua ipo na ww.
Lkn kwa gari ukiugua wenzio wanaliburuza linachakaa,ukizdiwa linauzwa unatibiwa,Ukifirisika linapigwa mnada,

Lidhika na hali yhako,wee mshkru Mungu kwa kukupa uzima,Wee unalialia kutembea kwa miguu,wenzetu wanajiburuza chni ka nyoka wanatamani hata wangekuwa na mguu mmoja tuu,wa mix na Gongo watembee.
Wengne wanalilia viatu wakati jirani yake hana mguu.
Mshkru mungu kwa yote,
Wee hauna haja hata ya kumnunia,
Alompa gari ndo kakunyima ww.
Alomnyima mlemavu miguu ndo huyohyo kakupa ww.Be happy mdada wala usmkasirikie,Akikupa lift haya asipokupa sawa tuu,
mwny masikio asikie
 
Back
Top Bottom