Eti wakristo na Wayahudi watakao mwamini Allah:
Nani aliwaambia tunamwamini Allah:
Mungu wetu alisha jitambulisha mara nyingi na tunamtambua na aliabudiwa na Manabii wa kabla ya Uislamu:
Uislamu unalazimisha tumwamini Allah, Muhamadi na Qurani:
Sisi tuna Mungu, Kitabu na Manabii wetu na tunawajua kabla ya Qurani, Muhamadi, Uislamu na huyo Allah:
Hatuwezi kuabudu pamoja na Majini sisi:
Yakiingia kanisani tuyakemea kwa nguvu zote ya mtoke walio mpagawisha:
Toka enzi haijawahi kutokea Jini akasema ni mwema na wala kusema anamsaidia mtu kufanya mema au kumstawisha kimapato bila kumkufurisha kwa Mungu wake:
Mudi ndo alikuwa anapelekwa kuslimishwa
Sifa zisizomfaa Mungu katika Biblia
A. Mungu Mnyoaji:
“Bwana atamnyoa… kwa wembe uliokodiwa…” (Isaya 7:20).
Je, Mungu kweli hunyoa vichwa na ndevu kwa wembe wa kukodi?
B. Mungu Anayepiga Mluzi:
“Atawapigia mluzi mataifa…” (Isaya 5:26).
Je, Mungu anapiga mluzi kama nyoka?
C. Mungu Angurumaye:
“Atanguruma kama simba…” (Hosea 11:10).
D. Si Mwenye Nguvu Zote:
“Hakuweza kuwafukuza wenye magari ya chuma.” (Waamuzi 1:19).
Lakini kwingine inasema: “Kwa Mungu mambo yote yawezekana.” (Mathayo 19:26).
E. Mungu Apumzikaye:
“Mungu akapumzika siku ya saba.” (Mwanzo 2:2).
Qur’an: “Sisi hatukuchoka.” (Qur’an 50:38).
F. Moshi na moto kutoka puani na kinywani mwa Mungu: (2 Samweli 22:9).
Hii ni kufuru!
G. Mungu Anapanda Kerubi: (2 Samweli 22:11).
H. Mungu Anatubu: “Bwana akasikitika moyoni.” (Mwanzo 6:6).
Lakini Mungu ni Mjuzi wa yote, hatubu.
I. Mungu Anashindana na Mwanadamu: Yakobo alimshinda Mungu (Mwanzo 32:28).
J. Mungu Kama Mlevi: “Kama shujaa aliyelewa divai.” (Zaburi 78:65).
K. Mungu Hutupa Kinyesi: “Nitatupia kinyesi usoni mwenu.” (Malaki 2:3).
L. Mungu Mdanganyifu: (Isaya 45:7, 2 Wathesalonike 2:11).
Lakini Qur’an inasema Allah ni “mbora wa wapangaji,” si mdanganyifu. (Qur’an 3:54).
M. Mungu Amwamuru Nabii Kutembea Uchi: Isaya alitembea uchi kwa miaka mitatu (Isaya 20:2-3).
Qur’an: “Allah kamwe haamrishi machukizo.” (Qur’an 7:28).